and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,111
- Thread starter
- #61
Siwezi kuandamana nikatolewe utumbo kwa risasi kisha picha zirushwe CNN.
Kama hutaandamana huna haya ya kutangaza tuachie sisi waTanganyika tufie nchi yetu maadam huyu mzenj ameamua kuja kutuua kama NYUMBU!!Sije ukazamia juu ya dali🤣🤣
Binafsi naona kuandamana bila kuwa na mikakati maalum ni ujinga maana mtu unaenda risk maisha kizembe kwasababu zifuatazo:Unegjua hizo hasira huku kitaa usingeongea kishogashoga
Nitaenda kuwabamiza vibwenye wale mabikra saba walioko ahera 😎.Nenda mkuu unakosa kibwenye Cha BICHWA KOMWE - kimasihara
Wewe ni kada wa Chama Cha Majangili.Sitaandamana D9. Napenda uhai. Asanteni
Noma kweli yaani 😀.Binafsi naona kuandamana bila kuwa na mikakati maalum ni ujinga maana mtu unaenda risk maisha kizembe kwasababu zifuatazo:
1) Mtu ana risasi wewe una mikono mitupu, au umebeba jiwe, utategemea ushinde kweli? Ukizingatia huna nguvu unayoitegemea ili kumtoa kiongozi mbaya madarakani, mfano Musa alimshinda farao, sababu alikua na backup ya Mungu, sasa kwenda kizembe bila backup ni kujitaftia shida
2) Kuwa na strength in numbers kwenye maandamano, hio ni changamoto kwa hapa Tz, watu wengi hawapo tayari kuandamana sababu hawajafikwa puani, unajikuta mnaandamana mpo 50 au 100 na hamna silaha, mwishowe mnauliwa kama kuku, maandamano yangekuwa na watu at least kama 500,000 kwa dar tu wanaoelekea ikulu na 500,000 kwa Dodoma wanaoelekea ikulu, hapo maandamano yangekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa
3) Hiyo tarehe 9 Dec mfano watu wakiandamana tena, kama walivofanya oct 29 huenda wakafa wengi zaidi, hivi vitu tusifanye kwa mihemko, tutumie akili na kuangalia uhalisia badala ya kutumia tu hisia
Lisa Rina gallow bird secretarybird Mjusi Sharobalo DUBULIHASA
Mkapa alimwaga nyingi kuliko hizo na hakuondoka madarakani. Akiondoka ni kwa sababu nyingine sio hizoKumwaga damu ni kitu kizito na kukiri kufanya hivyo ni sawasawa na kumcheka malaika mtoa roho na atakuondoa kwa hasira.
Kweli kaka salute🤝Kama hutaandamana huna haya ya kutangaza tuachie sisi waTanganyika tufie nchi yetu maadam huyu mzenj ameamua kuja kutuua kama NYUMBU!!
Kweli kaka saluteKama hutaandamana huna haya ya kutangaza tuachie sisi waTanganyika tufie nchi yetu maadam huyu mzenj ameamua kuja kutuua kama NYUMBU!!
Shida ni moja wanaoratibu maandamano wengi ni wanawake wao wanaenda kwa hisia bila logicNoma kweli yaani 😀.
Ona hili chokoh la kijanSitaandamana D9. Napenda uhai. Asanteni
Hii ni hatari sana mkuu.Kweli kaka salute
Shida ni moja wanaoratibu maandamano wengi ni wanawake wao wanaenda kwa hisia bila logic
Nb: sipingi maandamano but it's danger
Risasi zitakufuata ndani ulipo..Siwezi kuandamana nikatolewe utumbo kwa risasi kisha picha zirushwe CNN.
Nguvu ya umma ipo kwenye karatasiKwa nini unasemaja hatuwezi unajua nguvu ya umma ?
Mkuu wewe ushakua babu tuliza pu..mbu acha wenge.... kuna uzi mmoja unahusu chuo chetu pendwa Udsm, kwenye ule uzi unasimulia kwamba late 90s au early 2000's wakati unasoma Udsm ulikua unat..omba sana wadada.. Kwenye ule uzi umejielezea mikasa yako mingi ya ulaji wa mbususu.
Sasa kama wewe unahusudu skirt kiasi hicho usipoandamana hatuwezi kushangaa coz ni obvious wewe ni mtu mwenye mchango mdogo sana kwenye jamii..
Kama mimi nimemaliza Udsm 2012 ninajiona nimezeeka but nitaandamana hivyo hivyo, vipi kuhusu wewe ulikua pale campus miaka hiyo si ndio unatakiwa utulize pum..bu watu wakupambanie....
Umenikera sana bro coz ni mara kadhaa unaletaga story za kimaandazi ilihali watu wanapambania nchi... Kwa mtu aliyesoma udsm by that time inatakiwa awe matured kuliko Watanzania wengi. I'm sorry broh kama nimekuuzi utajua mwenyewe.
Na hata 2030 haitowezekana, yaan hii nchi wa kuiponya ni Rais mwenyewe kwa utashi wake.Msiandamane maana kiukweli kabisa hii nchi hamuwezi ichukua .Subirieni 2030.