Sitaandamana D9. Wewe je?

Sitaandamana D9. Wewe je?

Media za Tanzania hawakutimiza wajibu wao kuripoti matukio yasiyohusiana na uchaguzi na Vurugu zacha

  • Uzalendo

    Votes: 2 14.3%
  • Kukosa uadilifu

    Votes: 7 50.0%
  • Walipewa rushwa

    Votes: 10 71.4%

  • Total voters
    14
Mkuu wewe ushakua babu tuliza pu..mbu acha wenge.... kuna uzi mmoja unahusu chuo chetu pendwa Udsm, kwenye ule uzi unasimulia kwamba late 90s au early 2000's wakati unasoma Udsm ulikua unat..omba sana wadada.. Kwenye ule uzi umejielezea mikasa yako mingi ya ulaji wa mbususu.

Sasa kama wewe unahusudu skirt kiasi hicho usipoandamana hatuwezi kushangaa coz ni obvious wewe ni mtu mwenye mchango mdogo sana kwenye jamii..

Kama mimi nimemaliza Udsm 2012 ninajiona nimezeeka but nitaandamana hivyo hivyo, vipi kuhusu wewe ulikua pale campus miaka hiyo si ndio unatakiwa utulize pum..bu watu wakupambanie....

Umenikera sana bro coz ni mara kadhaa unaletaga story za kimaandazi ilihali watu wanapambania nchi... Kwa mtu aliyesoma udsm by that time inatakiwa awe matured kuliko Watanzania wengi. I'm sorry broh kama nimekuuzi utajua mwenyewe

Mkuu sio kwa ubaya hata kama umesom na upo upande sahihi wa kudai haki. Lakni Ww unaweza ukawa unaongozwa kwa misisimko Zaid ya huyo japo nae anaweza akawa hajui pia anachokisema. Kama watu waliandamana je Kuna matokeo chanya tulioyaona. Kama sivyo ni heri itumike njia bora zaidi kuliko hii inayoweza kupoteza maelfu ya ndugu zetu barabarani. Kabla ya kufanya jambo lazima upime matokeo kwanza ya kile unachokipambania. Na Kuna namna nyingi ya kudai haki hata hapa kupitia media wanaona kile tunachokitaka vilivyo. Mim sikupingi mtazamo wako Ila hiyo njia hakika yake itaendelea kupoteza wale tunaowapenda. Je tunapaswa tulipe gharama kubwa namna hii? Wewe ni msomi kaka sikupingi na sikudharau lakini busara inaweza ikawa chaguo letu Bora zaidi kwa sasa.
 
Kama wewe ndo ukiambiwaga geuka ufirigiswe unageukaga fasta sawa hamna tatizo

Na hiki ndo kinachowasumbua nyie ubongo wenu unawaza ngono mda wote na ndio maana hamuoni option nyingine ya kupambana na hii serikali dhalimu zaidi ya ile mliyotafuniwa na kina Mange ya maandamano yasiyo ya amani

Mtu ambaye ubongo wake amejaza mawazo ya kungonoka hawezi kufikiria out of the box

Tukiwasema mnatuona machawa 😅
Bila ngono usimgekuwepo hapa kuongea utumbo. Ngono ipo muda wote utake usitake, iwe kipindi cha huzuni au furaha ngono ipo pale pale.
 
Chawa kazini mmelipwa ila mwambie alokutuma kwamba watz wanahitaji mabadiliko hatuwezi kuvumilia mauaji ili mtu fulani aka lie kiti tu, uhai wa watu una thamani kuliko hocho kitu na hio red kapeti.
 
Yeye atakayeyapoteza maisha yake atayaokoa
Yeye atakayeyapenda maisha yake atayaangamiza
Round tunaandamana na helmet
 
Kweli kaka salute

Shida ni moja wanaoratibu maandamano wengi ni wanawake wao wanaenda kwa hisia bila logic

Nb: sipingi maandamano but it's danger
Hiyo "Danger" iko kila mahali ; unaweza kuwa unalima ukaumwa na nyoka au unatembea kwenda kazini ukagongwa na gari hivyo hatari iko kila mahali tunatembea nayo. Mimi naona ni vyema kwangu kuandamana ikiwa watanipiga risasi nitakuwa radhi kwani nitafia nchi yangu!
 
Mkuu wewe ushakua babu tuliza pu..mbu acha wenge.... kuna uzi mmoja unahusu chuo chetu pendwa Udsm, kwenye ule uzi unasimulia kwamba late 90s au early 2000's wakati unasoma Udsm ulikua unat..omba sana wadada.. Kwenye ule uzi umejielezea mikasa yako mingi ya ulaji wa mbususu.

Sasa kama wewe unahusudu skirt kiasi hicho usipoandamana hatuwezi kushangaa coz ni obvious wewe ni mtu mwenye mchango mdogo sana kwenye jamii..

Kama mimi nimemaliza Udsm 2012 ninajiona nimezeeka but nitaandamana hivyo hivyo, vipi kuhusu wewe ulikua pale campus miaka hiyo si ndio unatakiwa utulize pum..bu watu wakupambanie....

Umenikera sana bro coz ni mara kadhaa unaletaga story za kimaandazi ilihali watu wanapambania nchi... Kwa mtu aliyesoma udsm by that time inatakiwa awe matured kuliko Watanzania wengi. I'm sorry broh kama nimekuuzi utajua mwenyewe.
mimi mzeee wa miaka 50 lakini nitawalamba risasi kenge yeyote atayekaribia biashara yangu
 
Mkapa alimwaga nyingi kuliko hizo na hakuondoka madarakani. Akiondoka ni kwa sababu nyingine sio hizo
Wale walikuwa Wanzanzibari na hawa ni Watanganyika. Tofauti. Nchi nzima haiwezi kuangamia kwa sababu ya mtu mmoja. For the greater good, something has to happen.

Mark my words.
 
Back
Top Bottom