Sisi tunao post kila siku

Sisi tunao post kila siku

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    4 KB · Views: 2
Kupost post kila siku mada zisizo kichwa wala mguu, kila siku, kwa kujipa umuhimu wewe zaidi, mara unasema unaonewa, unachukiwa, ukiulizwa utoe ushahidi huwezi, ni sawa na ushuzi tu hapa JF.

Unajambajamba mada bila breki tu halafu unaona ni muhimu.
It's because people like you, see me as a threat..

Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine,

Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher
 
It's because people like you, see me as a threat..

Ishi maisha bila kukwazika na furaha ya mtu mwingine,

Na kuchukia kupo sana, hasa kwa watu wanao vibrate higher
Unajipa umuhimu usio nao.

You are a pest, not a threat.
 
Wewe unao? Na kwanini uone kuwa huo ni umuhimu kama sio kuwa triggered?

Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa.

You are not on my level.

Straight to my ignore list.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Hata ndondi watu wanapigana walio uzito sawa.

You are not on my level.

Straight to my ignore list.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Safi kabisa, maana hata usinge jibu ni yale yale tu, the need to tell me is a proof kuwa wewe ni debe tupu
 
Chiwawa wewe andika tu ilimradi humvunjii mtu heshima
Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli .

Kaja na uzi mwingine tena

 
Daaah huyu Dogo huwa anafurahisha kwa kweli .

Kaja na uzi mwingine tena

Oooh kumbe! Basi ndio maana anapenda sana kuandika humu. Ni sehemu ya yeye kuchangamana na kupunguza stress.
 
Back
Top Bottom