Sisi tunao post kila siku

Sisi tunao post kila siku

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
760
Reaction score
1,332
Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako..

Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi..

So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as you do. What may resonate always comes naturally.

I love writing, I love creating.

JF na mimi dam dam
 
Ambacho hakija eleweka katika post hii ni kipi?

Mbona watu mnakuwa wajinga...

Post iko so clear, kabisa. Mbona mnakuwa vichonganishi na watu msio na uwezo wa kifikra..

Kwa hiyo mimi kuandika hivyo, ndo nimetaka attention? Alaf mtu akiweka post sensitive mna aki kimya hamweki comments constructive. Mm naona nyie ndo Mna shida na hamna akili yenye utulivu

The Icebreaker Seran Binti wa zamani min -me nyie wote mna majungu binafsi na mnacho interpret kila siku ni negativity tu.

Live your own life, don't project your own sense of unworthiness to other people
 
Mimi naingia vipi kwenye upuuzi wako? Kuna sehemu nmeandika au Kuna siku nmekuzuia kuanzisha nyuzi zako?
 
Mbona una react kama hauhusiki? Na sijasema hivyo, angalia nilicho andika
 
Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako..

Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi..

So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as you do. What may resonate always comes naturally.

I love writing, I love creating.

JF na mimi dam dam
siku unapoona hivyo jua wote wanaochangia wamelewa
 
Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako..

Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi..

So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as you do. What may resonate always comes naturally.

I love writing, I love creating.

JF na mimi dam dam
Ku post thread kila siku ili mradi u post tu ni sehemu ya mtu kujipa umuhimu asio nao.
 
Usinitaje sasa kwenye habari zako, nmereact au nmekujibu ulitaka nikubembeleze au?
Je, wataka kunibembeleza?

Tatizo mnaishi katika uhalisia wa kudhani mko so freaking spesho kumbe ni wa kawaida tu. Usipende kudhani unathamani zaidi ya binadamu au wanyama wenzio.
 
Back
Top Bottom