SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 921
- 1,548
- Thread starter
- #41
Nakuhitaji katika pm yangu mwanikeWe naye unajuaga kuhangaika na mambo yasokuhusu! Nani kajiona spesho hapa unajitungia upumbavu! Kwani kuna binadamu asiye wa kawaida labda ana miguu sita? Nina thamani kulingana na nilivyo wewe kama huna utajua mwenyewe! Unaforce kushobokewa na kila member ukiona unapuuzwa unaanza kutoa milio! Huu mwaka utataga!