Sisi tunao post kila siku

Sisi tunao post kila siku

Mm nna shida sana mbele za Sir God, ila naomba Sir God aanze kukutatulia matatizo yako ya akili kwanza
Mwenye changamoto ni wewe,

Unajua kabisa, huwa huwezi kuchangia hoja kwenye mada muhimu, ila kwenye kufuata mikumbo ya kijinga ndo huwa unaongoza
 
Watz ni watu wajinga instead ya kuwa mnatangaza kazi zenu ili ku attract potential client nyie mpo busy kupost pumba
 
There is no limit to what you can eat, but that does not mean you have to eat everything, everywhere, everytime.
I know and thats why I can do whatever I want, but that is seen as creepy by lower minds
 
Je, wataka kunibembeleza?

Tatizo mnaishi katika uhalisia wa kudhani mko so freaking spesho kumbe ni wa kawaida tu. Usipende kudhani unathamani zaidi ya binadamu au wanyama wenzio.
We naye unajuaga kuhangaika na mambo yasokuhusu! Nani kajiona spesho hapa unajitungia upumbavu! Kwani kuna binadamu asiye wa kawaida lbda ana miguu sita? Nina thamani kulingana na nilivyo wewe kama huna utajua mwenyewe! Unaforce kushobokewa na kila member ukiona unapuuzwa unaanza kutoa milio! Huu mwaka utataga!
 
Back
Top Bottom