BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
BadiliTabia,wala usihangaike nao hawa,embu waulize nani ana ubavu wa ku print hii thread na kumpelekea mkewe asome? Nani Aspirin?Baba Enock?Eiyer?Tata?Fidel?Kloro?nani? Subutu yao!
But come to think of it again, how comes mwanaume anajitapa kuwa yeye ni mwanaume bila kumuacknowledge mwanamke behind him?? Hivi wewe mwanaume kwa jinsi ulivyo unaweza kweli kusimama na kujisifia kuwa I AM THE MAN bila kujua kuwa huyo Mwanamke unayesema UNAMMILIKI si kuwa UNAMMILIKI bali ni an EQUAL PARTNER in Business??.................... kumbukeni kuwa kuna wanaume ambao kama si kwa ushauri, juhudi za wanawake zao wasingekuwa hapo walipo.
Hii thread imeportray kama vile wanawake ni passive actors katika maisha ya mwanaume wakati sivyo! I beg to differ. Babu samahani lakini
Hahahaha......... kuna sababu nyingi bana...
Hawa mabinti wasio na wanaume zao nani atawakata kiu yao?
Mhhhh,
Hapa naona kama kuna vita fulani....mnyukano dhidi ya ukweli halisi na jaribio la kuikaribia image ya u dot com!!
Mkuu ukweli unauma sana. Ndo maana kwenye uzi wa Bishanga sikukataa na hapa ndo maana nikasema akili zako changanya na za kuambiwa utapata jibu.
Mhhh mkuu sijui kama ni msafi kiasi cha kumtupia mwenzangu jiwe ila na mimi siko tayarei kumtupia mtu jiwe
QUOTE]
Mkuu ukweli unauma sana. Ndo maana kwenye uzi wa Bishanga sikukataa na hapa ndo maana nikasema akili zako changanya na za kuambiwa utapata jibu.
Mhhh mkuu sijui kama ni msafi kiasi cha kumtupia mwenzangu jiwe ila na mimi siko tayarei kumtupia mtu jiwe
Eh umenikumbusha swali la Bigirita: Kuwa
Mwanaume akiwa hajaoa anajulikana kwa Prefix ya Mr wakati Mwanamke anakuwa Miss
Mwanaume akioa anabaki na Prefix yake ya Mr wakati Mwanamke anahamia kwenye Prefix ya Mr na kuongezea s (Mrs)
Ndoa inapovunjika mwanaume anabakia the same Mr wakati mwanamke anaipoteza r na kubakiza Ms.
So maisha ya Mwanamke always yanarevolve around Mwanaume!!
Kifupi: Sina point tena hapo
Pamoja na hayo yote, sheria inasema huwezi uza kitu ambacho hauna umiliki, sasa swali kwa ODM ikiwa una full umiliki naomba uniuzie makoloni yako na ile ownership of property i pass kwangu?
Kama upo tayari nijuze fasta.
...lol....usimung'unye mstaafu, mwaga nyuki hapa....!
...umeona ee?...e bana acha nami ni myuti sasa...
usikute natengenezewa tofali huko, kufumba na kufumbua natupiwa kombora nikeshe nalo usiku kucha....
wewe si unaona mkulu klorokwini ameingia mlangoni ki ubavu ubavu kisha akatokea dirishani?
...lol...comrade bana....sequestration of the the jury, au siyo?..hahahah!
heheeh hii ni high profile case bana! hauoni hata malegend wa MMU leo wanalembeana mawe laivu kama bunge la somalia, sequestering is the only option left.
Huu mtanange kuliko madrid na baselona aisee!
endeleeni kuunogesha mimi acha nikahubiri injili PM, mazambi yameongezeka sana sku hizi na maadili yameporomoka bila lifti. khaaa!
Endeleeni mimi nawasoma tu
...klorokwini, kwa heshima na taadhima hebu anzisha topik yenye mdahalo wowote ule tufanye diversion kidogo ya
topik hizi bana, aarrgghhh.... hizi mada hazijakaa vizuri hata kidogo....najishtukia nakuwa against na makamanda wenzangu wote....
...najiskia kama nichukue likizo jukwaa hili la MMU, nihamie kule kwa washabiki wenzangu wa imarati!...
Dah! kamanda thank for the honour lakini tatizo sina dhamana ya muda wa kusimamia thread ndio maana nadandia thread za watu tu, lakini mbona si uanzishe tu au tumshtue MJ1 atupatie akmidiz principle tukamilishe kile kiporo cha sylabuss yetu? . Wapigaji debe tupo anzisha tu kamanda
e bana tatizo langu wiki hii sijui mwezi mchanga?, kila topik natamani niwe against tu...
Ankal kumbe bado uko macho hayaa njoo uchukue Finest Scotch WhiskyKamanda lakini trust me wewe bana against yako inakubalika kimataifa! yaani mimi nafurahia sana bana nikuwe against na wewe maana nikimaliza mjadala basi sku ya pili lazima mtaani watanikoma kwa mapwenti. Na nadhani watu wote hapa JF wanaku value hivyo. Kama MMU ndio TZ basi mkuu ungeshinda uchaguzi tu, hakuna slaa wala kikwete wala maalim sefu