"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

Nina kibunda changu cha elfu 2 muda wote nipo nacho mkononi, wasije vibaka wakakikwapua maana maeneo nayopita kila mtu ananitolea macho. Ukiniongezea na hiyo afu 3 naweza nisifanye kazi siku 2 mfululizo
Take care na hicho kibunda bro
 
Ulicho comment maana kauli zenu wana manupulate hizi mnatumia kama nilivyo ona ulivyo sema.
Sijakuelewa, mimi nimewasilisha kauli za malofa za kujifariji ili wasiandamane..!!

Wewe sijajua unasimama upande upi?
Na kipi kimekuchoma hapo SIJUI 🤷‍♀️
 
Sijakuelewa, mimi nimewasilisha kauli za malofa za kujifariji ili wasiandamane..!!

Wewe sijajua unasimama upande upi?
Na kipi kimekuchoma hapo SIJUI 🤷‍♀️
Uzuri unafahamu
 
🤔🤔nawaza kazi unayofanya au biashara unayofanya 🚶🚶🚶.Bado sijapata jibu.
Ni hivi 99.9 % ya watu duniani ni lazma watoke wafanye kazi ndo wale Sasa wewe mwenzetu hatukuelewi
Kama ndio hivyo ni wapumbavu zaidi.
 
Hii nchi imejaa watu low IQ vilaza haswa wasioweza kufikiria mbali zaidi ya mlo unaofuta.
kwa matusi wanayotukana, naunga hoja. hawawezi kujibu hoja kwa staha. Elimu, elimu, eimu... marehemu mzee Lowassa
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Kwa Mujibu wa Biblia UMASIKINI NI DHAMBI
 
Back
Top Bottom