Mwenye ujuzi Halali njaa na mwenye ufahamu hafanyi kazi siku zote Ili ale.Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.
Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?
Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Kwahiyo hautaki kusikia ukweli mkuu?Endeleeni Kula hela za ccm kibwege
taWewe ni mpumbavu hunaakili.wenzenu wanalipwa huku kukuhamasisha wewe kufanya vurugu then wakuue kisha yeye alipwe pesa.kama sio uzwazwa ni nini? Nenda katoke kesho uwone utavyobwagwa ubongo chizi wewe.fanya kazi pimbi wewe
Wewe Pumbavu, wanaopata peso mtelezo ni wanaochota pesa za raia za kodi kufanyia maisha yao na kuwalipa nyie machawaHizi huwa ni kauli za kina Anko T, Juma lokole na wenzako ukiwemo wewe mleta mada!!. Mwanaume anayejua maisha na mazingira magumu ya uchumi wa Tz hawezi kutoa kauli ya kisenge kama Yako. Fuatilia kwa makini ndgu zako kina Anko T Wana kauli kama zako za kubeza watu kwasababu ya kupata pesa mtelezo. Mazafaka...
Uelewa wako ni duni sana, kama ni hivyo unavyosema hao malofa vilaza wanaopiga kelele na midomo kama chuchunge wangesema "wote" hadi tutoke ndio tule badala ya "sisi" hadi tutoke ndio tule.Nani ambae anakaa ndani na anakula? Wote lazima tutole ndio tupate rizki zetu, hata wewe unayedhani unaweza kukaa ndani na ukala, bado kuna siku lazima utoke ndio mkate upatikane, usipotoka familia haili.
So yeah, lazima tutoke ndio tule.
Uko addicted sana na mapenzi.Matajiri wa jf hawa sio wa kuwatilia maanani. Hali zetu mtaani tunajuana. Fake id zinatusitiri sana. Kuna mmoja nimeona kuke jukwaa la mahusiano anasema kaonga laki 5 kwa show ya nusu saa.
Navuta picha bongo upige mishe gani bila kutoka nje na mambo yaende kwenye mstari . Kama kazi za kutegemea internet sehemu nyingi kuna changamoto ya mtandao. Kama biashara ya kuajiri watu uaminifu ni changamoto. Lazima ufike ofisini ukasimamie mwenyewe. Hauwezi kukaa tu home uongoze mambo ya ofisini kwa simu.
Nina hela ya kutumia hata kwa miezi mitatu bila kufanya kazi. Lakini kusema nisitoke ndani ya mwezi tu mishe zangu zote zitakua zishakufa
Matajiri wa jf tumeshawazoea. Tunajua hizi ni mbwembwe tu zinazowezeshwa na fake idUko addicted sana na mapenzi.
Sigangi njaa. I can take care of myself. Lakini naelewa dynamic na chaos zilizopo kwenye uchumi wetu. Kwaiyo siwezi kuwabeza ambao kula yao inategemea kutoka. Ni ujinga kumsimanga mtu ambae haumsaidii chochote.Kauli za Kiswahili tu hizi za mediocres. Utamaduni wa Kiswahili wa mindset ya kujiweka utwana na ku romanticize kuganga njaa ni wa kipuuzi sana.