"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

Inawezekana una nia njema ila umetumia lugha ngumu sana kiongozi. Watu tunatofautiana utafutaji wa pesa na maisha kwa ujumla . Sio kila mmoja anaweza kupata pesa bila kutoka ndani kama wewe, hivyo yeye kusema hivyo sio kosa na ndo uhalisia wake mfano mzuri ni mimi. Nimeingia lindo saa 7:30pm bila kutoka ndani ni kweli siwezi kupata chochote.
 
Kwasababu wewe una uhakika unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, mume wa dada yako anakupa vijisenti unanunua bando, unalalia kitanda cha mwanaume ambaye alinunua kwa jasho. Basi unaona wanaume wengine malofa wajinga eti kwasababu tu hawawezi kula hadi watoke kutafuta maisha.
Nyie vijana wa sikuhizi ndio maana mnafirwwwwa sana
Lofa mwingine! Mawazo ya peasants!
 
Wewe ni mpumbavu hunaakili.wenzenu wanalipwa huku kukuhamasisha wewe kufanya vurugu then wakuue kisha yeye alipwe pesa.kama sio uzwazwa ni nini? Nenda katoke kesho uwone utavyobwagwa ubongo chizi wewe.fanya kazi pimbi wewe
Unaweza mtaja mtu yoyote ambaye kahamasisha vurugu? Kyuma kama nyie ipo siku tutakutana tu. Ndugu zetu wamefariki kisenge senge oktoba 29 kimakosa halafu mnaita waharifu!
 
Wewe ni mpumbavu hunaakili.wenzenu wanalipwa huku kukuhamasisha wewe kufanya vurugu then wakuue kisha yeye alipwe pesa.kama sio uzwazwa ni nini? Nenda katoke kesho uwone utavyobwagwa ubongo chizi wewe.fanya kazi pimbi wewe
Naomba niunge na mimi nilipwe, nipo choka mbaya
 
Inawezekana una nia njema ila umetumia lugha ngumu sana kiongozi. Watu tunatofautiana utafutaji wa pesa na maisha kwa ujumla . Sio kila mmoja anaweza kupata pesa bila kutoka ndani kama wewe, hivyo yeye kusema hivyo sio kosa na ndo uhalisia wake mfano mzuri ni mimi. Nimeingia lindo saa 7:30pm bila kutoka ndani ni kweli siwezi kupata chochote.
Sasa kama ili wewe uweze kula ni lazima utoke nje kila siku ukipata ajali ukavunjika au ukiumwa nani anakulisha kwa wiki nzima au mwezi? Na kwa nini unafikiri hilo ni jambo la kuwatangazia au kulalamikia watu wasiohusika na mfumo wako wa hovyo wa maisha ya ufukara??
 
Riziki mafungu saba.

Kauli za walala hoi hizi.
Peasants!
The Context: The Eighteenth Brumaire of Louis Bonaparte
Marx coined this analogy in his 1852 essay, The Eighteenth Brumaire of Louis Bonaparte, where he analyzed the rise of Napoleon III in France. He was deeply frustrated that French peasants, despite living in extreme poverty, largely supported a conservative regime that worked against their own long-term interests

2. The Mechanics of the Metaphor
Marx compared peasants to a sack of potatoes for two main reasons:
  • Isolation and Lack of Connection: Just as a sack of potatoes is simply a collection of individual tubers sitting side-by-side without any internal bond, French peasants lived on isolated, disconnected farms. They lived in similar conditions but rarely entered into communal or political relationships with one another.
  • Lack of Class Consciousness: Unlike urban factory workers (the proletariat) who worked together daily and naturally developed collective solidarity and shared goals, peasants were apolitical. Because their economic interests were entirely localized to their own tiny plots of land, they could not organize into a coherent political class without the leadership of another group.

3. The "Idiotism" of Rural Life
This concept ties into another infamous (and often mistranslated) phrase attributed to Marx and Engels in The Communist Manifesto: "the idiocy of rural life". [1]
While today the word "idiocy" sounds like an insult about intelligence, the original German word Marx used, idiotismus, traces back to the ancient Greek word idiotes. In the 19th century, it meant being a private individual who is completely isolated from the larger community and disengaged from broader public, political, or communal concerns. It was a description of their political detachment, not their intelligence. [1]

Modern Perspectives
Marx's assessment of the peasantry is one of the most debated parts of his theory. Many scholars and later Marxists—particularly in agrarian and developing parts of the world—argued that Marx underestimated the political and revolutionary potential of the peasantry. If you dive into radical political economy here in Tanzania, scholars like Issa Shivji have extensively adapted and critiqued these classical Marxist ideas on the peasantry to fit the realities of local political movements and rural labor.

T
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Hawajielewi.
 
Wewe ni mpumbavu hunaakili.wenzenu wanalipwa huku kukuhamasisha wewe kufanya vurugu then wakuue kisha yeye alipwe pesa.kama sio uzwazwa ni nini? Nenda katoke kesho uwone utavyobwagwa ubongo chizi wewe.fanya kazi pimbi wewe
Mawazo ya peasants utayajua tu! Halijui kuwa linanyonywa ..absolute impoverishment! Takataka mavi!
 
Nchi yenye uchumi mzuri kama Marekani still kuna watu wanafanya kazi zenye ujira wa siku (Unskilled labor) na wasipotoka hawali kweli.

Ila nimejifunza kitu kwenye post Yako.
Ukiwa mjinga na una confidence wewe ni mtu smart sana.
 
Kwasababu wewe una uhakika unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, mume wa dada yako anakupa vijisenti unanunua bando, unalalia kitanda cha mwanaume ambaye alinunua kwa jasho. Basi unaona wanaume wengine malofa wajinga eti kwasababu tu hawawezi kula hadi watoke kutafuta maisha.
Nyie vijana wa sikuhizi ndio maana mnafirwwwwa sana
Jitu kama wewe ni wale described by Karl Marx as lumpen proletariat, jitu lacking class consciousness!
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
unamfokea nani sasa gentleman?

wewe si uishi maisha yako mazuri bila kiburi, majivuno, kejeli au dhihaka kwenye maisha ya wengine? Mbona hata hawaja kuomba kakitu na uchoyo wako?

na kwa kiburi hiyo,
my friend, kula pole pole na kwa heshima sana, itapendeza na kukusaidia sana mbeleni,

Otherwise,
Mungu halali,
na hamptupi mja wake wala hamptatii mja wake jaribu asiloliweza 🐒
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Mdomo koma
 
Wewe pamoja na wote wanaokusapoti na mada yako hii ya kiduwanzi hamna akili nyinyi ni pathetic Scumbabag Dujeumsaeng .

Sasa kama mtu maisha yake lazima atoke kila siku ale unataka asemaje , aolewe ndio ale ?

Kusema hivyo ni kutaka huruma au kusema uhalisia wako ?

Hao wa hali hiyo wanaoenda kuwa hivyo na wanajivunia hali hiyo , wamebweteka hawapambani kujikomboa ? tumia akili mtu kusema hivyo ni Kukubali uhalisia wake na Kukubali uhalisia na ukweli ni hatua Moja muhimu katika kujikomboa . Maarass nyie
 
Back
Top Bottom