"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

"Sisi hadi tutoke ndio tule"- Kauli ya malofa

“Serikali haiwezi kukuletea chakula” Hayajiulizi kwanini yenyewe yanawapa serikali kodi zao kama wao hawawapi chakula? Malofa yanatia kinyaa kushare nayo oxygen..!!
Nchi ina watu vibuyu haswa wenye midomo mirefu kama chuchunge utadhani kichwani wana chochote kumbe ni maboksi tu.
 
MaCCM yanakaririsha watu kama Kasuku ujinga wa ajabu sana, jitu zima kabisa limekula chumvi ya kutosha miaka 30-60 bado linaongea ujinga kama huu wa kula hadi litoke nje.
Wapo sahihi kwa upande huo.

Ina maana maisha yao ni 'work to Eat/hand to mouth' bila kutoka nje hana namna ya kuishi.

Ndio mfumo wa nchi zetu za Dunia ya 3.
 
Huyo ni kaka yako mkuu sikatai, vipi na sisi ambao ndugu zetu waliuawa wakiwa hawapo kwenye maandamano?
Tukubali kwamba serikali iliua watu wasio na hatia
Na tukubali waliochochea maandamano hawakuwa organized kiasi cha kuruhusu maandamano yao yawe na vikundi vya uhalifu ndani yao.

Kuna mwaka Chadema walifanya maandamano hadi Ofisi za UNz mbona hatusikia hata mmoja amekanyagwa, achilia mbali kuibiwa wengine.
 
Wapo sahihi kwa upande huo.

Ina maana maisha yao ni 'work to Eat/hand to mouth' bila kutoka nje hana namna ya kuishi.

Ndio mfumo wa nchi zetu za Dunia ya 3.
Sasa kwa nini wanapaza sauti na midomo yao kama chuchunge wanatafuta huruma, kuwakasirikia na kulalamikia watu wasiohusika kwa huo ulofa na ufukara wao wa maisha ya hand to mouth?
 
“Serikali haiwezi kukuletea chakula” Hayajiulizi kwanini yenyewe yanawapa serikali kodi zao kama wao hawawapi chakula? Malofa yanatia kinyaa kushare nayo oxygen..!!
Sijakuelewa ila ushawahi kuishi nchi za nje.Maana kuna mda hata waziri mkuu namuona matako wa hii serikali
 
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.

Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?

Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Sigdrata mbunge wa chauma kawapasha ukweli kuwa serikali na ccm ndio wanaoutengeneza umaskini kwa watanzania ili iendelee kuwa madarakani. Wailaumu ccm kwa mfumo huu mbovu wa maisha na ikiwapendeza wajiunge kwenye maandamano kudai fursa za kiuchumi ziboreshwe kwa lazima kwa wote bila ubaguzi.
 
Wewe pamoja na wote wanaokusapoti na mada yako hii ya kiduwanzi hamna akili nyinyi ni pathetic Scumbabag Dujeumsaeng .

Sasa kama mtu maisha yake lazima atoke kila siku ale unataka asemaje , aolewe ndio ale ?

Kusema hivyo ni kutaka huruma au kusema uhalisia wako ?

Hao wa hali hiyo wanaoenda kuwa hivyo na wanajivunia hali hiyo , wamebweteka hawapambani kujikomboa ? tumia akili mtu kusema hivyo ni Kukubali uhalisia wake na Kukubali uhalisia na ukweli ni hatua Moja muhimu katika kujikomboa . Maarass nyie
Adriz aisee MWENYEWE 😹😹

Kwahiyo ukikubali uhalisia ndio basi huwezi kukemea chochote?

Yoda point yake ni hao watu kukubali kunyanyasika na kuendelea kukaa kimya sababu wakiandamana watakosa mlo wao wa siku moja..!!
 
Sasa kwa nini wanapaza sauti na midomo yao kama chuchunge wanatafuta huruma, kuwakasirikia na kulalamikia watu wasiohusika kwa huo ulofa na ufukara wao wa maisha ya hand to mouth?

Wameambiwa amani ikitoweka hata hizo mia mia za kula hawatapata
 
Back
Top Bottom