Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mimi honestly bodaboda ananisaidia safari zangu za fasta fasta. Afu naweza nikamuagiza mizigo na ikafika salama, na naweza nikamtuma aninunulie vitu kwa gharama zake na atavileta hadi home, namkabidhi cash yake basi. Kwa hiyo wanasaidia sanaasilimia 80 ya wanawake wana namba za watu wa bodaboda kwa matumizi tofauti.
Ongelea wadada wenzio wanavyowatumia kwa kazi zao chafu za kupaa samaki[emoji2] [emoji2] [emoji3]Mimi honestly bodaboda ananisaidia safari zangu za fasta fasta. Afu naweza nikamuagiza mizigo na ikafika salama, na naweza nikamtuma aninunulie vitu kwa gharama zake na atavileta hadi home, namkabidhi cash yake basi. Kwa hiyo wanasaidia sana
Teh me nimeongelea binafsi yangu banaOngelea wadada wenzio wanavyowatumia kwa kazi zao chafu za kupaa samaki[emoji2] [emoji2] [emoji3]
Mmh hayo mengine mbona yapo, Kila kitu kina 2 sides, ila me niliongelea kwenye positive sidedhamira inakusuta Heaven Sent! unaogopa watakuweka mtu kati!
Ni kweli ajali nyingi za boda boda zinawaua wanaume, ila nadhani ni kwakuwa wanawake tu waoga, hivyo hupanda boda boda za tunaowafahamu na kuwapa maelekezo ya kuwa makini wawapo barabarani mapemaaaa!Ndio usafiri rahisi,kona kona dakika mbili nimefika ninapotaka kufika...
Ajabu wanaoongoza kupata ajali za bodaboda ni abiria wa kiume,hapa huwa sijui ni kwanini...
Khaaah! Ex shemeji sema haki ya rrondo[emoji134]ila honestly sometimes mpaka nawaonea wivu wenye bodaboda na bajaj! Wanapakia vifaa vya ukweli....
Kadogo kako kako wapi?Khaaah! Ex shemeji sema haki ya rrondo[emoji134]
Kanahudumia ndoa.Kadogo kako kako wapi?
Nilikuwa nipo kazini....alafu walilipia huduma ya kuwasubiria....si unajua mjini pesa....!!!!Haaaaaaa umenichekesha
Btw unajiweza masaa yote hayo unasubiria mwenzako amalize kugegedwa lols
hahahahah vipi mkuuu unawaza kuingia katika fani nawe ufaidi?ππππππππila honestly sometimes mpaka nawaonea wivu wenye bodaboda na bajaj! Wanapakia vifaa vya ukweli....
nafikiria kuwa napiga part time mida ya jioni jioni....hahahahah vipi mkuuu unawaza kuingia katika fani nawe ufaidi?ππππππππ
sawa mkuu.endelea kutunza siri za wateja.Mie ni bodaboda niko kahama kiukweli wapandaji wa hii biashara ni wanawake yani hata kama ni safari fupi wao hawataki shida,tofauti na sie wanaume.
Pia bodaboda wanazipenda kwakuwa inakufikisha hadi nyumbani,pia ni bei rahisi kuliko tax.
Kama ni ni michepuko hiyo ni tabia ya mtu