duuh, hii kama ni kweliNiliwahi kumpakia mdada mmoja hivi mida ya asubuhi...nilimpeleka gesti ya kwanza nikaambiwa na jamaa nimsubiri nje na niagize ninachokitaka....nilisubiri hapo kama masaa manne...hadi alipotoka na safari ikaanza wakati tunaondoka akaniambia twende kimara...huko akanielekeza sehemu hiyo ambayo sijawahi kuiona...hapo napo akapokelewa na jibaba moja hivi na kama kawaida nikaambiwa nisubiri hapo nje na muhudumu akaambiwa anihudumie lolote lile.....hapo napo nilika kwa takribani masaa manne.....yule dada alipotoka tukaanza safari kuelekea nyumbani ,wakati tupo njiani mara ghafla ikapigwa simu...na baada ya simu akaniambia tupitie ubungo...ambapo tulikutana na jamaa mmoja hivi mwenye likitambi likubwa...hapo hatuja kaa sana kwani nahisi mteja wangu alikuwa ameshachoka na ilikuwa mida ya mumewe kurudi nyumbani....
Dah yaani wanawake hawa....
Kama hivinapenda sana bodaboda aliyepakiza demu akikaa mbele yangu, haswa zile boxer maana wadada wakikaa kwenye boxer wanajibinua hatari, teh!
church brothers and sisters.....kazi ipo
Ndio usafiri rahisi,kona kona dakika mbili nimefika ninapotaka kufika...
Ajabu wanaoongoza kupata ajali za bodaboda ni abiria wa kiume,hapa huwa sijui ni kwanini...
Haha,hakuna mkate mgumu mbele ya chai..Kwa sababu nyie mnawashika so romatic, akili zao zinatulia
Wanaendesha taratibu na kwa makini, hawatamani mshuke
Haha, umemaliza kila kituHaha,hakuna mkate mgumu mbele ya chai..
I greet you all
Nimesoma kwa makini gazeti la Mwananchi toleo la jumapili 21/02/2016
utafiti wao wanadai Baadhi yawanawake
wametoa taarifa kwa watafiti wa Mwananchi kuwa wanapenda bodaboda kwakuwa zinawawaisha kwenye 'michepuko'/ kuwahi kwa wapenzi wao!
Pia liliungwa mkono na madereva wa bodaboda,ambao walikiri kuwa hubeba wanawake wengi kuwapeleka kwenye nyumba za wageni,baa na maeneo mengine kama hayo.
Wanaume ukiona mwenza wako anaongelea kupenda sana huu usafiri sio katika maswala ya kazi.Kaa chonjo!.wengine utasikia 'bodaboda wangu' anakuwa na namba ya dereva wake wanayepelekana kila kona!
Michepuko ni mingi angalieni akimaliza na wewe bodaboda anampeleka mabwepande faster kula kichwa kingine!
Mwisho ukiona Mdada kaupura kwenye bodaboda hawahi kazini au biashara elewa anasambaza upendo!
hata wewe unayewabeba hujui! huu utafiti ni wanawake haijarishi kaolewa au kaoa au hajaolewa!Mkuu unaposema wanawake maana yake ni wale walioolewa, sasa huo utafiti mbona hauelezei mabinti ambao hawajaolewa kwa mfano wanafunzi nk?
Aisee nimeishia kucheka hapa.Acheni kunirusha roho wakuu
mkuu sio Dar tu! hawa bodaboda wanaficha maovu sana! naamini hata wao wanapiga hizi nyapu kimyakimya.Hawa bodaboda wana siri kubwa sana za familia za watu
Hata wao huwa wanapoozwa wasizitoe,
Wanawake wa Dar kwakweli wamenishinda tabia kabisa...!
Yaani bodaboda ana siri za mama na binti yake baba ukipita wanakuchora tu!
Kwamfano huyu azizi kwakweli kifua chake ni kina mengi sana...!
mko wachache wa hivyo! wengi wanawaishwa kuchuna mabuzi!Binafsi wananisaidia mahitaji ya haraka haraka sokoni
Ila sisi(wanawake) ndo tunapokea wageni nyumbani so ni rahisi mgeni kufika nyumbani kwa mawasiliano ya ukaribu na bodaboda man anampokea mgeni na kumleta mpaka nyumbani