Labda ni maisha, hasa waendesha vyombo vya moto! jambo dogo tu, unasindikizwa na matusi juu!!Malezi, malezi, malezi.
Huyu anaanziaga kule tik tok sasa kuja kupangilia hapa anakuwa anarukaruka tuu mpangilio zero.Mbona sioni connection yake na mafanikio kama title inavyojinasibu
Hahahaaa jana nimechiri sehemu, kuna jamaa ana baiskel akataka kuovertake gari katikati sasa jamaa wa gari akasimama akatoka akafoka kweli...Hahaha, kero sana.
Maisha yanawanyoosha na wanashindwa kuzuia hisia.
Usha panic tayari 😂Toa ushamba, kama umeshindwa kuelewa si ungeuliza? Soma mada zangu alafu kalinganishe na ushubwada wa tik tok
Hamna kitu unajua.Emotional intelligence is a superpower.
Mbona kucontrol iyo emotional hapa imekushinda🤫Toa ushamba, kama umeshindwa kuelewa si ungeuliza? Soma mada zangu alafu kalinganishe na ushubwada wa tik tok
Haya nenda tik tok kamsikilize Dr.Kweka anafundisha vizuri ukitoka uje uedit huu uchafuBaada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia.
Hahaha sasa wewe umekuja kuni jaribu alaf unategemea nini? 😂Hamna kitu unajua.
Mbona kucontrol iyo emotional hapa imekushinda🤫
Haya nenda tik tok kamsikilize Dr.Kweka anafundisha vizuri ukitoka uje uedit huu uchafu
Skia, sijapannic wala nini huyo amkeja na gia ya kujaribu mtu, ni ujinga wa hali ya juu. So alitegemea ni mwache wapite smoothly.Usha panic tayari 😂
Reactivity yenyewe ndio hapa sasa.
Umekosa utulivu
Siri ya kushinda ni kuwa detached tuKiukweli watu wanapanic mno na kuna like tusi pendwa ni dakika 2 tu. Nakumbuka nilikuwa stand ya mabasi nyegezi Mwanza kuna bwana mmoja alishuka pale akawa anatoka nje sijui kilitokea nini kuna wale ma agent akawa anamtukana yule bwana yule ye akawa kimya anamtazama tu wala hajibu jamaa kawakaa sana akaulizwa swali kwa ustarabu tu "hivi uko sawa" alafu akatembea mpaka nje jamaa alishtuka mno kuona gari iliyomfuata yule father.
Yani hata hakuangaika nae kabisa.
Sasa sisi wengine tungetaka ligi twende sawa wote kumbe sometimes haina haja fanya mtu ajione mpumbavu mwenyewe.
"Stop being a bitch"☝️Hahaha sasa wewe umekuja kuni jaribu alaf unategemea nini? 😂
Stop being a bitch, you shouldn't have replied in the way you did kama ungelitambua hiyo emotional intelligence yenyewe acha kujifanya mwanasaikolojia wakati wewe ndo mjinga
Emu tulia kwanza kuna kitu kinaitwa emotional disorder.Skia, sijapannic wala nini huyo amkeja na gia ya kujaribu mtu, ni ujinga wa hali ya juu. So alitegemea ni mwache wapite smoothly.
Wewe ishi kuliko toka, unajua umeleta negative vibes alaf unajifanya guru! Mpuuzi tu. Sasa kama unayajua haya kwanini ulijibu ushenzi mwanzo? Kwanini ukiweka kejeli?"Stop being a bitch"☝️
Emu tulia kwanza kuna kitu kinaitwa emotional disorder.