Duh sio utani.... Kwa haraka haraka imenikumbusha sana nyakati za Mzee wetu Hayati Dr Omar (RIP). Nakumbuka wakati ule yeye alikuwa wa kwanza kwenye mafuriko na maafa mengine mengi tu. Sasa nadhani hitimisho langu ya hili japo ni kichekesho lakini ni hili:
1. VC amewekwa ili awe anaonyesha sura ya raisi/uwepo wake kwenye maafa
2. Mara nyingi shingo haitakiwi kuzidi kichwa so jamaa anakuwa anapewa vijikazi ambavyo vingi ni blah blah blah tuuu ili asionekana anang'ara kuliko bwa'mkubwa
3. Sijui ni kwa nini bahati nzuri au mbaya wote hawa wanakuwa na "title" DAKTA.....
Kibaya ni kwamba wengi tunategemea mengi lakini haiwezekani nchini kwetu sababu wengi hata hivyo wanakuwaga oldies so by the time wakimaliza kibarua na current hana nguvu ya kuingia kinyang'anyiro kijacho (running mate au even prezidaa mwenyewe)!!!
Tuendelee kumwangalia mzee wetu (tena mwenye busara sana kwa kweli), akiendelea kuchit-chat na wachuuzi magengeni kuanzia Bokombe, Handeni, Mpanda mpaka kule maeneo ya Tunduru akikagua nazi na mchicha nk.
Kaazi kweli kweli jamani......