Siri ya SHEIN

Duh sio utani.... Kwa haraka haraka imenikumbusha sana nyakati za Mzee wetu Hayati Dr Omar (RIP). Nakumbuka wakati ule yeye alikuwa wa kwanza kwenye mafuriko na maafa mengine mengi tu. Sasa nadhani hitimisho langu ya hili japo ni kichekesho lakini ni hili:
1. VC amewekwa ili awe anaonyesha sura ya raisi/uwepo wake kwenye maafa
2. Mara nyingi shingo haitakiwi kuzidi kichwa so jamaa anakuwa anapewa vijikazi ambavyo vingi ni blah blah blah tuuu ili asionekana anang'ara kuliko bwa'mkubwa
3. Sijui ni kwa nini bahati nzuri au mbaya wote hawa wanakuwa na "title" DAKTA.....

Kibaya ni kwamba wengi tunategemea mengi lakini haiwezekani nchini kwetu sababu wengi hata hivyo wanakuwaga oldies so by the time wakimaliza kibarua na current hana nguvu ya kuingia kinyang'anyiro kijacho (running mate au even prezidaa mwenyewe)!!!

Tuendelee kumwangalia mzee wetu (tena mwenye busara sana kwa kweli), akiendelea kuchit-chat na wachuuzi magengeni kuanzia Bokombe, Handeni, Mpanda mpaka kule maeneo ya Tunduru akikagua nazi na mchicha nk.

Kaazi kweli kweli jamani......
 
Shein_BeiNyama_.jpg



Sasa huyu anatazama hii nyama kwa makini ili iweje? hata sijui anafikiria nini...labda anafikiri adhuhuri itafika s
 
Shein_BeiNyama_.jpg



Sasa huyu anatazama hii nyama kwa makini ili iweje? hata sijui anafikiria nini...labda anafikiri adhuhuri itafika s

Yaani mimi mwenzenu hii thread itanipasua mbavu, yaani sina hamu. Hakuna uwezekano kweli wa yeye kutumiwa pia maana najua lazima hata yeye acheke. Again guys asanteni sana, yaani nimecheka hapa mpaka naonekana chizi kwa watoto, this is very serious indeed!
 
Thanks Brazameni hii thread ilianza kama utani but it give a good sense of what our Leader doing, non-active works poor vision to reduce inflation and job creation

Big five to you
 
Swali la leo:

Rais anatoka BAGAMOYO

Makamu anatoka PEMBA

Waziri Mkuu anatoka SUMBAWANGA

Katibu Mkuu ( CCM ) anatoka TANGA

Ukitaka kuwaroga uende wapi?
 
Swali la leo:

Rais anatoka BAGAMOYO

Makamu anatoka PEMBA

Waziri Mkuu anatoka SUMBAWANGA

Katibu Mkuu ( CCM ) anatoka TANGA

Ukitaka kuwaroga uende wapi?

another classic from SHEIN...TAZAMA tabasamu lake hilo


IMG_7212.jpg

jk akifurahia jambo na makamu wa rais dk ali mohamed shein na waziri mkuu mh. mizengo pinda baada ya kuhitimisha shughuli ya kupisha baraza jipya la mawaziri
 
BROTHERMEN
Huyu VP anatokea mbali sana huyumtu kwao hata mjumbe wa nyumba kumi hapati Kwa hiyo hapo kafikaaaaa hana safari yoyote Simunawajua ccm watu kama hewala bwana ndio wanaofaa,Nina fikiri kama angalikuwa hamad sikirii kama angelikubali kutembea na MIKASI kila siku.
NA INAONYOSHA UHAI WA CCM VP WOOTE WATATOKEA PEMBA.
 
Dr Shein at work, Arusha hapo akimsaidia Mkasi Yoweli M7 kufungua Bunge...

Source: Michuzi Blog
 
shein.jpg


Makamu wa Rais Dr Ally Mohammed Shein (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mke wake Bi Mwanamwema mbele ya sehemu ya kihistoria ya Taj Mahal iliyopo Jimbo la Uttar Pradesh
nchini india leo Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein yupo nchini india kwa ziara ya kikazi ya siku nane ambapo alikua mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa ushirikiano wa kibiashara kati ya India na Afrika,uliozinduliwa leo mjini New Delhi katika ziara hiyo Makamu wa Rais ameongozana na Waziri wa Viwanda, Biashara na masoko Dk. Mary Nagu, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa, David Mwakyusa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar, Dk Mwinyihaji Makame.Wengine ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Seif Idd, Mbunge wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM ), Christopher ole Sendeka na Mbunge Viti Maalum, Chama Cha Wananchi (CUF), Riziki Omary Juma.Makamu wa Rais Dr Shein na ujumbe wake wanatarajia kurejea nchini Jumatano ijayo.
 
No offense but is Shein=Mama Salma Kikwete?? in terms of their role in government??

Nauliza tu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom