Siri ya Mwenge wa Uhuru

Siri ya Mwenge wa Uhuru

zinasambaza ukimwi na kuleta watoto wasio na wazazi wote.

viongozi wote waliokimbiza mwenge miaka ya 80 waliondoka na ngoma.ni kweli mwenge umeleta madhara makubwa kwa taifa letu.una mchango mkubwa sana katika uenezi wa maambukizi ya ukimwi. Watanzania wanakenua tu.hauna faida yoyote.unahisiwa umebeba ushirikina mkubwa.niliwahi kusoma mahali miaka ya tisini kwamba umetengenezwa na fuvu la mwarabu chongo kutoka tabora.ccm wanaung'ang'ania kama luba.watanzania tuangalie kwa karibu tatizo la mwenge.
 
zinasambaza ukimwi na kuleta watoto wasio na wazazi wote.

viongozi wote waliokimbiza mwenge miaka ya 80 waliondoka na ngoma.ni kweli mwenge umeleta madhara makubwa kwa taifa letu.una mchango mkubwa sana katika uenezi wa maambukizi ya ukimwi. Watanzania wanakenua tu.hauna faida yoyote.unahisiwa umebeba ushirikina mkubwa.niliwahi kusoma mahali miaka ya tisini kwamba umetengenezwa na fuvu mwarabu chongo kutoka tabora.ccm wanaung'ang'ania kama luba.
 
wachangiaje acheni ushabiki wa vyama ongeeni fact mkiwa kama GT. kama huji kitu ni afadhali kuuliza ufahamishwe. mwenge kila mwaka azima uzunguk mikoa yote na wilaya zotebia kubagua. sasa iweje useme lazima upite rombo utambikiwe? wewe umeshaenda wilaya zingine ukaona wanafanyaje. Fanya uchunguzi sio kuleta ushabiki wa vyama vya siasa. Kama hujui kaa kimya.

Nafikiri ungekuja na majibu kiongozi, kuliko kuishia kuwa na jazba,presha afu umepanic sana ndugu.
 
mimi nawashangaa watanzani mnatamani kuua kila kilicho chenu sijui mtabaki na nini kinachotuunganisha kama taifa

mwenge mnataka hata kesho itangazwe mbio za mwenge zimepigwa stooop for good

mchakamchaka shuleni mmesha futa na kutokomeza kabisaa!

Muungano ndio huo mnapiga kelele usiku kucha mnatamani uvunjike hata leo jioni!

Jkt mnataka waende vijana wakujitolea na wasomi wasiguswe.
Mtaua kila kitu chenu mwisho mbaki kama taifa lisilo na identity yake.mwisho mtataka na shule mzifute sijui mtabaki na nini. Chanzo cha umasikini wetu ni kutojituma kazini na matumizi mabaya ya mali.watanzania kila mtu anataka ku win maisha hata bila kufanyakazi! Akipata kazi atakunywa pombe 24 hours seven days a week.sasa mtu akikuuliza huo mwenge wewe umewahi kuchangia hata cent tano? Jitume, fanyakazi,acha kulalamikia vitu ambavyo siyo sababu ya umasikini wa kipato.

mkuu uko sahihi
 
hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa mwenge huo unapofika rombo-kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi.

Taarifa zinaonesha kuwa kuna wazee maalum wameandaliwa kule rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.mmoja wa wazee hao aitwaye mzee malamsha amenithibitishia hicho.

Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.na kadhalika na kadhalika.ndio maana,kila mwaka mwenge wa uhuru lazima ukimbizwe mkoa wa kilimanjaro na kufika wilaya ya rombo.

Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Laana za mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na mwenge huu.

fanya utafiti wa kutosha kwanza,kisha toa hoja ili unufaishe umma.
 
Kama kweli huyo babako hafai

anafaa sana lakini zamani kuna baadthi ya maswali ilikua mwiko kuuliza,, au ku comment,, kwa mfano faida za muungano ,, sasa tunaweza kuuliza chochote
 
Salaam wakuu,
Leo hapa maeneo ya Mlandizi tunategemea Mwenge upite na uzinduliwaji wa miradi kadhaa ya maendeleo. Nimesikia myths nyingi kuhusu mwenge kama vile hauzimiki mpaka ufikie destination point na pia ikitokea bahati mbaya umezima basi wahusika hujificha kwenye chumba peke yao na kuuwasha kwa siri bila watu kuona. Some say una mikono ya mizimu nk. Naomba kufahamu kidogo kuhusu Mwenge
 
ndio waja mlandizi zahanati,dosa azizi shule,msufini ila garama za huo msafara na posho zao ni dawa tosha zahanati na vifaa mashuleni
 
salaam wakuu,
leo hapa maeneo ya mlandizi tunategemea mwenge upite na uzinduliwaji wa miradi kadhaa ya maendeleo. nimesikia myths nyingi kuhusu mwenge kama vile hauzimiki mpaka ufikie destination point na pia ikitokea bahat mbaya umezima basi wahusika hujificha kwenye chumb a peke yao na kuuwasha kwa siri bila watu kuona. some say una mikono ya mizimu nk. naomba kufahamu kidogo kuhusu mwenge

mwenge ni zindiko la nchi…
 
Huo Mwenge uzimwe upelekwe makumbusho kuepuka gharama zisizo za lazima na mikesha ambayo watu huambukizana ukimwi.
 
Mwenge ni Upuuzi mtupu na laana.Serikali ya ccm inautumia kupumbaza wananchi. Ndio maana tumekuwa kama mazezeta tu. Hatuwezi kuchukua maamuzi ya aina yoyote ile
 
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi.

Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.

Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.

Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.

Nimekudharau sana kuanzia leo.
 
wakuu mi nilisikia mwenge ni ushirikina, na kazi yake kubwa ni kuwapumbaza watanzania ili watawala waendelee kututawala. Maoni yangu ni kuwa kizazi hiki hatupumbazwi tena na washinde kabisa.

Kwa hiyo hamtaki kutawaliwa!? sasa mbona mnamtaka Mbowe agombee urais? ili amtawale nani sasa!
 
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi.

Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.

Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.

Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.

Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.

Kwanza hata dini yako unayoabudu ni ya asili ya ushirikina, unalijua hilo? Hiyo dini yako imetokana na imani ya kipagani iliyoabudu Mungu jua kutokana na mjukuu wa Nuhu aitwaye Kush aliyemzaa Nimrod. Unajua ibada ya moto ambao mnawasha kanisani ile mishumaa kwenye pasaka ni kumbukumbu ya kifo cha mtoto wa mungu jua aitwaye Tamuzi! na asili ya xmass nayo ni full ushirikina mbona hamjapata hiyo unayoiita laana? ukitaka ntakuwekea full text ya asili ya ukristo uone mwenyewe. Acha kujifanya unajua sana, na usipotoshe watanzania.
 
Akili yangu inashindwa kukataa ya kwamba kukimbiza Mwenge wa Uhuru kila mwaka sio ibada ya kishetani au kishirikina kwa vile chombo au kifaa hicho (Mwenge) huwashwa moto utoao miali na moshi lakini pia huabudiwa kama vile una uhai,unamulika na kuleta matumaini, upendo , amani, maendeleo na hivyo hutolewa sadaka za kuteketezwa kama
kuchinja ng'ombe, wanyama pori na mafuta ya kuteketezwa.
Ibada hizi zilishamiri sana zile za ukomunisti ambapo iliaminika hakuna Mungu na hivyo ungeweza kuabudu
chochote au mtu kama vile Wachina walivyoaminishwa kua Mao Tsetung ndiye mungu wao. Nadhani imefika wakati tujadiliane
kuhusu dude hili (Mwenge) na viongozi wa dini mtusaidie kuliepusha taifa na hasira ya Mungu, kwani ukiondoa wapagani, ushirikina umekatazwa katika vitabu vyote vitakatifu, lakini pia Katiba ya JMT inasema Tanzania haina dini ila watu wake wana dini.
 
Back
Top Bottom