Cardinary Pengo,Maaskofu mapadre,wachungaji kama kina Mwingira,Mzee wa upako,kolola,na wengine wengi ambao mnaanza na utumishi wa Mungu,Shehe mkuu wa Tanzania Simba wanamapinduzi wa kiislamu kama Ponda na kikundi chako waumini wa dini zote kasoro wapagani kwanini mmekaa kimya wakati taifa linapokea laana ya Mwenyezi Mungu kila mwaka kwa kulipeleka kwenye madhabahu za shetani anayetembea kuabudiwa na kusujudiwa na CCM aitwaye MWENGE WA UHURU.
Wakati anaambukiza ukimwi watu wetu, anawatesa wazazi wetu huko vijijini na kusimika viongozi mashetani katika taifa hili?Hivi mmewahi kujiuliza kwanini taifa hili haliendelei?Ni laana zitokazo kwa mungu wa Ccm itwaye mwenge hivyo kama kweli mnalitakia mema taifa hili Hubirini waumini wenu wakatae ibada ya mungu-mwenge na kasisi wake Ccm ili tuokoke na balaa hili!Wabilah tofiq asalaam aleykum wallahmatullah wabarakat!Atukuzwe baba na mwana na roho mtakati Aaaaaamen!!!!