Siri ya Mwenge wa Uhuru

Siri ya Mwenge wa Uhuru

Umemuuliza kaka yako?
haya yote yasinge komaa tatizo nyie wanaume wa dar mmezoea kuchati tuuu et mnasubir polisi
ila hawa vibaka wakiacha kukaba tuu wakaanza na kuwalawiti labda ndio mtachukua hatua

nahisi mtakuwa shapu kupambana kwa pamoja na kulinda jamii hasa wana wake mana haiwezekan nyie mlie lie humu mitandaon na wanawake wenu nao walie lie

Du hii kali.mm kuna bro wangu anakimbiza mwenge mwaka huu na juzi nilienda kumuona ilala na kapata zawadi nyingi sana ,sasa namsubiri arudi lazima nimuulize kuhusu uhalisia wa mwenge.
 
Wengi watakusikia lakini hawawezi kukuelewa.Na ni kazi ngumu kuwaelewesha kwa sababu many us are totally brain washed.
 
Naakubaliana na mtoa mada mwenge ni ibada ya washirikina na huazimishwa Tz tu kila mwaka
 
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Wadanganye wenye akili kama zako
 
Mwenge unawavuvia watz nguvu za giza tu.hauna maana!..
 
Kwa uelevu nilionao ninatambua ya kwamba dhana nzima ya mbio za mwenge na uwepo wa mwenge unahusika moja kwa moja na ibada za kishetani. Sina uhakika sana na uwepo wa matambiko huko Rombo kama ulivyotabainisha.
Kwa babu na wazee wetu wenye uelewa na nini kilifanyika wakati Tanzania inakaribia kupata uhuru na siku ya 9/12 wanaeleza wazi jinsi Taifa hili lilivyokabidhiwa kwa mashetani na yule ambaye Watanzania zaidi ya 70% walikuwa wakimtukuza kama Baba yao, (Kambarage).
Kuna ushahidi ambao Kambarage ameshawahi kuutamka mbele ya kadamnasi jinsi alivyozindikwa na wazee wa Mzizima(mafundi wa jiji) kabla ya kwenda UN.
Siku mmoja wa wanajeshi wa Tanzania(nadhani kwa jina atakua anaitwa Nyirenda kama sijakosea) alipopandisha mwenge na bendera ya Taifa kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote barani Afrika, ndiyo siku Tanzania ilipojikabidhi rasmi kwa baba wa uovu, na kwa heshima hiyo Taifa letu likatunukiwa heshima kubwa katika vyeo vya kichawi Afrika.
Mkuu umenikumbusha huyo soldier, anaitwa Alexander Nyirenda.
 
Haswaaa, nilicheza halaiki ya kuzima mwenge mkoa wa Mwanza miaka hiyooooooo
Uwe unaiamkia basi, mie dadako eti
Basi ujue tunajuana,mimi pia nilicheza halaiki Mwanza kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu ya CCM,tulicheza moja,mbili,tatu nne,tano,sita ,saba nane,mpaka tukamaliza mafuzo na kwenda kucheza halaiki CCM Kirumba,mimi nilicheza shule ya msingi Nyanza,wewe je?.
 
Wnaodili na mwenge wote kwa hiari hata kwa kuhudhulia tu mahala ulipo mwenge au kuukubari bora waache kusali maana ni washirikia

Haiwezekani kwa namna yoyote watu wakubali kwamba mwenge una msaada wowote katika jamii huku tukipoteza mapesa meengi kuukimbiza nchi nzima, eti "mbio za mwenge" na waaomi wanaridhika, mwenge una mbio?
Huko ni mojawapo ya kurogeka
 
Basi ujue tunajuana,mimi pia nilicheza halaiki Mwanza kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu ya CCM,tulicheza moja,mbili,tatu nne,tano,sita ,saba nane,mpaka tukamaliza mafuzo na kwenda kucheza halaiki CCM Kirumba,mimi nilicheza shule ya msingi Nyanza,wewe je?.
Umenikumbusha mbali, eti moja, mbili, tatu, nne, tano sita Saba nane, tukitaka kurudia Mara ya pili tunasema kiazi, moja mbili......
Yawezekana tunafahamiana, mie nilikuwa nasoma mwenge s/m, halaiki yetu tulikuwa tunachezea lake secondary... Halaiki ya uchumi
Mwl wetu wa halaiki alikuwa mfupiiii ndio sababu tulikuwa tunamwita kiazi....
 
Umenikumbusha mbali, eti moja, mbili, tatu, nne, tano sita Saba nane, tukitaka kurudia Mara ya pili tunasema kiazi, moja mbili......
Yawezekana tunafahamiana, mie nilikuwa nasoma mwenge s/m, halaiki yetu tulikuwa tunachezea lake secondary... Halaiki ya uchumi
Mwl wetu wa halaiki alikuwa mfupiiii ndio sababu tulikuwa tunamwita kiazi....
Kwa hiyo bado unaishi Mwanza?
 
Lakini nchi yetu haina balaa kama Congo, rwanda, burundi, uganda, kenya, nk kama wenge ni kitu kiovu na laana na tena future yetu ni bright kuliko mataifa mengine ya Africa
 
Back
Top Bottom