Niliposikia habari hizi kwa mara ya kwanza, nilishtuka na nilitamani sana kuelewa ni nini kilichotokea na nikiamini ya kuwa dakitari Wiliburodi amelikoroga...lakini nilipokuja kusoma mwenendo mzima ni vigumu sana kwa akili ya kawaida kuelewa ni nini kilikuwa kinafanyika..na hata kama ndivyo ilivyotokea bado imekaa kama mchezo wa kuigiza zaidi kuliko uzito wa jambo lenyewe...ZITO+DAKTARI WILIBURODI+SUMU...mmmm...ni wale tu tulioenda kunywa kikombe cha babu wa loliondo ndio itatuingia akilini.."other wise " naona kama mchezo wa kuigiza....Any way bila kujali "starring" alikuwa ni bwana saa nane au saa tisa lakini mtazamo wangu kwa hizi sarakasi zooote zinazoendelea kila kukicha...ni ukweli usiopingika ya kuwa CDM "it is just a house" kwa mtu kama ZITO.,,"Mr Zito you need a home"...CDM waachie watu kama kina mnyika, Lema, Lisu, Halima, Analelya, bi Helen, kina Markus na wengineo. Sisemi MAGAMBA panakufaa la hasha...Wewe ni great thinker.....THINK....Natamani nikuone pale magogoni miaka mitano au kumi ijayo kwangu weye ni mwanasiasa wa ukweli kwa tanzania ya sasa, Weye ni JEMBE kaka, hapo kwa babu Eduu sio..........TAFAKARI...