kweli kabisa..kama anadhamira ya kweli..iliyobaki ni kumburuza huyo mwandishi wa habari kortini..Nadhani wanatakiwa wasibitishe kama sivyo tuwaburute kortini...
kweli kabisa..kama anadhamira ya kweli..iliyobaki ni kumburuza huyo mwandishi wa habari kortini..Nadhani wanatakiwa wasibitishe kama sivyo tuwaburute kortini...
Zitto karibu mara baada ya kuangusha Migunga kule Gendagenda ulipo kuwa JKT Kikosi cha 835KJ.Nashukuru kwa kuwebeza hawa Watu wanaotaka kutumia leseni zao za vyombo vya habari kwakutaka kuwagombanisha Watu wa Taifa hili ili hali waliopewa dhamana ya kuwasimamia nao wakiwa mstari wa mbele kuwashabikia.
Kamwe hatuwezi kukabidhi FISI bucha, watakula hadi mizaniKama ambavyo hata katika dini moja kuna tofauti, kamwe watanzania hatuwezi kuwa wafuasi wa chama kimoja.
Therefore, matusi ni ishara ya kuishiwa hoja. Achana nao kama watakutusi. Wengi wa machadema wamekuwa wakimtukana Zitto humu JF lakini leo kwa vile amemsafisha DR Slaa, wameamua kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Anyways of course Zitto knows what is going on, he is not stupid. Lakini swali langu liko pale pale;
Viongozi wa CHADEMA ni waongo? Wanaaminika kweli kupewa uongozi wa nchi hii?
Hilo gazeti linafaa zaidi kwa kufungia vitumbua vya mama lishe.....
Unaanza kujinq"atang"ata ulimi na kuropoka haitamsaidia Zitto hana pakutokea Gazeti la Mtanzania la leo linasema Zitto alishuhudia sumu aliyonayo Ben na aliyepeleka taarifa hiyo ni JUliana Shonza ambaye pia amesema Zitto alifahamu taarifa inapelekwa Hana pa kujificha Zitto unafiki wake nje, kama si mwongo akatae kwenye ukurasa wa Mtanzania mbele ama akathibitishe mahakamani hiyo sumu na kwa nini aliificha kwa mama yake bila kupeleka polisi alipothibitisha kwamba mipango ya Dr Slaa kumuua ilikuwa peupe
hii radio ni ya kinafiki sana..siku hizi mtaani inajulikana kama radio chichiem..
Unaanza kujinq"atang"ata ulimi na kuropoka haitamsaidia Zitto hana pakutokea Gazeti la Mtanzania la leo linasema Zitto alishuhudia sumu aliyonayo Ben na aliyepeleka taarifa hiyo ni JUliana Shonza ambaye pia amesema Zitto alifahamu taarifa inapelekwa Hana pa kujificha Zitto unafiki wake nje, kama si mwongo akatae kwenye ukurasa wa Mtanzania mbele ama akathibitishe mahakamani hiyo sumu na kwa nini aliificha kwa mama yake bila kupeleka polisi alipothibitisha kwamba mipango ya Dr Slaa kumuua ilikuwa peupe
JKT ya wiki tatu akiwa huko Rafiki yake kipenzi Denis Msacky akaamulu video aka buma ugaidi itoke,siku ambayo wanamaliza anaamwamulu rafiki yake Kipenzi kuweka front line na mapicha ya akina Dr Slaa,Ben na yeye ,Zitto he will rip what he sow, ni mwanaume wa ajabu asiye waza mbele naona yeye contract yake ya kuishi ni miaka 35 vinginevyo angekuwa makini na mchezo anaocheza hautamfikisha popote hakuna anayetumia jina lake yeye anashiriki musilete damage control hapa
Zitto ndio muongo ana hila nimefurahi sana baada ya hila zake na michwa wa kutafuna akili zao yamemrudi mwenyewe lazima athibitishe gazeti tumenunua na limesema yeye mwenyewe alikuwepo akitegeshewa kupewa sumu sio kukimbia JF kufungua thread haraka haraka kukanisha,further steps should be taken kwa Zitto enough is enough hawezi kuwa ana instigate uchafuzi wa chama halafu anakimbia humu kujisafisha haiwezekani kabisa
Hajamchnijia mbali yeyeote sema akaumbuliwa hana ujanja ,Juliana Shonza anathibitisha kwamba bado wako kwenye misssion moja kuchafua chama,Zitto wakumpa pole kila siku nasema hawezi kuwa juu ya Mungu ,na aendelee na fitina majibu yake ni hapa dunianiLeo ZITO umenoga bila kutiwa ndimu siku zote ungekuwa unawachinjia baharini kama leo
chama lisinge yumbishwa, WELL DONE KAMANDA umetoka kivingine this time
wanaume wavaa madera! wanachefuajeeeee?? vichefu chefu vitupu! wanaboaaaaa!Kuna siku nataka nifunge safari niende Clouds nione watangazaji wanafananaje kimaumbile, haiwezekani mwanaume kamili ukawa unafanya mambo ya kike vile alafu nyumbani umeacha watoto wanakusikiliza
Nani atashindana na a failure case, Zittophobia anayo mwenyewe lakini sio watu kama sisi hana mission yeyote ya kuvuruga chama aliyoshinda kila siku nikuja JF kukanusha ,kutukana kujikana kujikubali he is just a lost case ,hili la MTanzania limemtandika usoni bao la uso ha ha hazitto phobic kazin haijalishi anatetea chama nyie kuponda hamumuwezi zitto jeshi la m2 moja kalisha mbaya
Kuna siku nataka nifunge safari niende Clouds nione watangazaji wanafananaje kimaumbile, haiwezekani mwanaume kamili ukawa unafanya mambo ya kike vile alafu nyumbani umeacha watoto wanakusikiliza
Yani imefikia hatua nikiona kile kipindi cha maisha ni nyumba tbc1, nazima tv au nabadili channel, sababu ya mtangazaji Kibonde.
Yaani mashabiki wa CHADEMA wa hapa JF ni kama watoto wadogo wawezao kudanganywa kirahisi kwa peremende!! Binafsi wala sioni kinachowafanya mumsifie Zitto Kabwe kwa nyimbo na mapambio kutokana na post yake hii. Tuhuma kwamba alitaka kuuawa ni tuhuma mzito sana ambazo hazikuana leo.....zilikuja hapa JF wiki kadhaa zilizopita kama sio miezi lakini hakuzikanusha kwa uzito kama ambavyo amefanya leo!! Aliziacha habari hizi hapa JF ziendelee kuelea elea na katu hakufanya jitihada za kukanusha zaidi tu ya kudai hamfahamu Ben Saanane! Sina shaka kwamba hatua yake ya kutozikanusha habari zile(hapa JF) ndicho kimepelekea wasambazaji wa habari husika kuamua kuitoa kutoka Electronic Media/Online na kuipeleka kwenye Printing Media itakakosomwa na malaki ya watu!!! Watu wanavyomuona Zitto leo ni Kamanda utafikiri hapo awali waliamini taarifa zle!! Au mlizimanini kwa kuwa hakuzikanusha? Zilipotoka JF hakukanusha, zimetoka gazetini, anakanusha tena kupitia hapa JF!!! NI asilimia ngapi ya wasomao magazeti wanapata taarifa za hapa JF?! Kwanini hakukanusha tangu mara ya kwanza ili habari zile zisiendelee?! Au ni mimi ndie nilipitwa na ukanushaji wake?!
Sincerely speaking, hapa ninachokiona ni mwendelezo tu wa yale yale.....kwamba sasa habari imeshafika kwa jamii. Aidha, kukanusha kupitia JF wala hakutakuwa na positive impact! Kama kweli lengo lake ni kukanusha basi akakanushe kupitia other media kuliko kuishia JF pekee coz' kwa hapa alishashindwa kufanya hivyo hapo kabla!