Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,

Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.

Clouds kwani kuna mwanaume pale wewe.Wale wote si ni Wapaka kucha Rangi?Yani kwa mwanaume mwenye akili timamu kushabikia magamba,lazima umuangalie mara mbilimbili.Yani hii redio siku hizi sisikilizagi kabisa.Kwanza it seems they dont know which big group of the community they are representing and they dont link that with that big populations's perception.Kama unajua msimamo wa vijana currently ambao ndio wengi ,na ndio your biggest fun, then ukafanya against their wishes ujue watakudis ,utajikuta alone.ndo hao majamaa.Sasa hivi mtu yeyote ukimuuliza Clouds FM atakwambia wababaishaji,waganga njaa,hamna lolote.
 
Safi sana kwa ufafanuzi,
Nadhani imefika muda sasa hilo gazeti kuukannusha ukurasa wa mbele haraka iwezekavyo waigoma washtakiwe na kulipa fidia ambayo itakuwa dundisho kwa vyombo vingine vya habaro vyenye kuropoka kila kukicha!
Zitto Kabwe unatakiwa kuhakikisha kuwa Gazetii husika limekanusha huo uvumi tenda ukurasa wa mbele!
 
Rafiki yako amerikoroga ujuaji mwingi hili limemvua nguo imethibitisha yeye ni kichwa cha masalia alionywa na Ben kwamba Juliana Shonza na Mtera Mwampamba huwa hawafikiri kabla ya kutenda kitu kinachowekwa kwenye gazeti ni maandishi ni ushahidi utakao kaa milele,bila kuwa na strategy nzuri ya kutengeneza propaganda wengine wanaweza kuishia jela,Zitto ni master minder hii article wiki iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii kundi lao lote la masalia kwa ID mia walizonazo ukiwemo wewe mulimsakama sana Ben, na mwishowe mumeamua kupeleka Mtanzania mwandishi bila ajizi amewauumbua amewauliza wahusika wamesema ya kwao sasa ni kazi ya Zitto Kuwaambia Watanzania kwamba hakuwatuma hao masalia wake,nani atamwamini tena ,sterling wa kuchafua chama kwa manufaa yake mwenyewe soma message yake anasema chama hakiwezi kushinda kikiwa na mifarakano ipi wakati yeye ndie anavuruga chama baada ya pindua mbowe kushindwa sas target ni Dr Slaa hembu niambie anafanya nini na hawa baada ya kuwa kila siku wanatukana viongozi wote wa Chadema kasoro Zitto ana lugha gani sahihi atakayotuambia wananchi kuwa si sehemu ya waliopeleka mada gazetini,Kuchamba kwingi mwisho utatoka na mavi ndivyo gazeti la Mtanzania lilivyomtenda Zitto,kumdharilisha beyond uwezo wake wa kujijitetea ,Denis Msaky best friend wake yuko kwenye centre ya Lwakatare ukijumlisha moja na moja huwa mbili

attachment.php









Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
Chama gani kinachohubiri demokrasia lakini mwenyekiti na makamanda wa JF wanampigia debe mtu mmoja
Au mmesahau zile kura zilizokuwa zinapigwa hapa kati Ya hao wawili?
Chadema ni chama ambacho hakifuati demokrasia na inawezekana hata mleta mada moyoni akawa na yake lakini imemlazimu aandike haya ili kumaliza mjadala.


Sio vizuri kujadili uhai wa mtu au kumzushia mtu kesi kubwa na mbaya kama ya mauaji, lakini tukiacha hayo ya hiyo kesi ambayo sie wengine hayatuhusu, kuna suala la hawa makamanda wa keyboard wasioweza hata kumaliza mafunzo ya wiki tatu tu jkt , Kwa sie tulio hapa JF muda mrefu tunakumbuka matusi aliyokuwa akiporomoshewa humu Mheshimiwa.
Na sio siri kwamba hapa ukitaka utukanwe matusi ambayo yanaweza kukufanya ufikirie kutwanga mtu na nyundo utosini wewe andika tu Zito anafaa kuwa mgombea urais.....
 
Hii media hii inalazimisha sana uadui na chadema! Sasa sijui sura zao wanazificha wapi?

Clouds kwani kuna mwanaume pale wewe.Wale wote si ni Wapaka kucha Rangi?Yani kwa mwanaume mwenye akili timamu kushabikia magamba,lazima umuangalie mara mbilimbili.Yani hii redio siku hizi sisikilizagi kabisa.Kwanza it seems they dont know which big group of the community they are representing and they dont link that with that big populations's perception.Kama unajua msimamo wa vijana currently ambao ndio wengi ,na ndio your biggest fun, then ukafanya against their wishes ujue watakudis ,utajikuta alone.ndo hao majamaa.Sasa hivi mtu yeyote ukimuuliza Clouds FM atakwambia wababaishaji,waganga njaa,hamna lolote.
 
Ubarikiwe sana kamanda kwa hatua hii ya kukanusha kile ambacho maadui wa CHADEMA, wamekifanya kwa kutumia jina lako.
Watu hawa wametumwa kutekeleza mpango kamambe wa CCM kama ulivyoasisiwa na akina Wassira na timu ya chama chao kuichafua na hatiamaye kuisambaratisha kabisa CHADEMA (kwa jinsi wanavyoamini).
Nashukuru pia kwa ushauri ulioutoa kwa watu hao na kwa wana CHADEMA pia.....
WEWE NI KIONGOZI MAKINI, HONGERA SANA!
 
Hapa haitoshi tu wewe kukana,walime barua wakanushe ukurasa wa mbele.inaonyesha kuwa akina Bashe washaanza Vita na cdm kumsafishia MAMVI njia but sio kiivyo.
 
Kwenye post kama hizi huwezi kuwaona watu kama Mwampamba, Shonza na Mwigulu. Hawazipendi kabisa kwa sababu zinawakosesha posho za Lumumba
 
Zitto karibu mara baada ya kuangusha Migunga kule Gendagenda ulipo kuwa JKT Kikosi cha 835KJ.Nashukuru kwa kuwebeza hawa Watu wanaotaka kutumia leseni zao za vyombo vya habari kwakutaka kuwagombanisha Watu wa Taifa hili ili hali waliopewa dhamana ya kuwasimamia nao wakiwa mstari wa mbele kuwashabikia.
 
Wewe ndio Ben nini umekuja na ID hiyo uliyoambiwa uje nayo? Bado you need to prove your allegations kwa sababu mwingine anaweza kuja na kusema mwongo ni Ben!

Bottomline: Viongozi wa CHADEMA ni waongo?

Unaanza kujinq"atang"ata ulimi na kuropoka haitamsaidia Zitto hana pakutokea Gazeti la Mtanzania la leo linasema Zitto alishuhudia sumu aliyonayo Ben na aliyepeleka taarifa hiyo ni JUliana Shonza ambaye pia amesema Zitto alifahamu taarifa inapelekwa Hana pa kujificha Zitto unafiki wake nje, kama si mwongo akatae kwenye ukurasa wa Mtanzania mbele ama akathibitishe mahakamani hiyo sumu na kwa nini aliificha kwa mama yake bila kupeleka polisi alipothibitisha kwamba mipango ya Dr Slaa kumuua ilikuwa peupe
 
Ni bora uchukiwe kwa uhalisia wako kuliko upendwe kwa unafiki wako. Ukimya wako ulisababisha majibu mengi lakini kauli yako imeidhinisha jibu moja tu kuwa ni habari ya kufikirika. Adhabu inayostahili kwa gazeti hili sio lazima kulipeleka mahakamani bali ni wananchi kulisusia kwa kutolinunua ili iwe funzo kwa mengine.
 
Pole mkuu,
Inaonekana madongo ya Mh. Zitto aliyoyatupa gizani yamekupata. It's only politics nothing else.

Kweli mission accomplished Kiongozi mmoja wapo muongo huyu hapa anasema hajawatuma wapeleke habari Mtanzania anafanya nini na mtindi wa huyu dada hapo pembeni
attachment.php
 
Yani imefikia hatua nikiona kile kipindi cha maisha ni nyumba tbc1, nazima tv au nabadili channel, sababu ya mtangazaji Kibonde.
 
Asante Zitto kamwe tusimpe
nafasi mtu atugawe. Tunaelekea wakati mujimu sana katika historia ya
Taifa letu, nao ni ukombozi wa nchi yetu kwa nguvu ya umma. 2015
Yes.

Mbinu zote za ccm za kutaka kuisambaratisha cdm zimekwama, tuskilizie watakuja na ipi. Chadema cyo Nccr au Cuf chama cha watu makini
 
Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
Chama gani kinachohubiri demokrasia lakini mwenyekiti na makamanda wa JF wanampigia debe mtu mmoja
Au mmesahau zile kura zilizokuwa zinapigwa hapa kati Ya hao wawili?
Chadema ni chama ambacho hakifuati demokrasia na inawezekana hata mleta mada moyoni akawa na yake lakini imemlazimu aandike haya ili kumaliza mjadala.
Sio vizuri kujadili uhai wa mtu au kumzushia mtu kesi kubwa na mbaya kama ya mauaji, lakini tukiacha hayo ya hiyo kesi ambayo sie wengine hayatuhusu, kuna suala la hawa makamanda wa keyboard wasioweza hata kumaliza mafunzo ya wiki tatu tu jkt , Kwa sie tulio hapa JF muda mrefu tunakumbuka matusi aliyokuwa akiporomoshewa humu Mheshimiwa.
Na sio siri kwamba hapa ukitaka utukanwe matusi ambayo yanaweza kukufanya ufikirie kutwanga mtu na nyundo utosini wewe andika tu Zito anafaa kuwa mgombea urais.....

Naona unavizia tenda za ugamban kwa kupost utumbo JF, Njaa mbaya sana aiseee..!
 
Kauli kama hii ilishawahi kusemwa na JK "...simfahamu na wala sijawahi kumuona mmiliki wa DOWANS" wakati DOWANS ndo kaiangusha serikali yake nzma na cha ajabu aliye mahakamani kuishtaki serikali yake juu ya mkataba wa DOWANS ni yulyule aliyemuweka madarakani kwa hela za KAGODA - Rostam".
Hata kama ni kweli Rais alitaka kutuaminisha kuwa hajui kama DOWANS ni mali ya Rostam lakini kitendo cha kuiangusha serikali yake kilitosha kumpa interest ya kumtafuta na kumjua.
Leo Zitto anatuambia hanjui Ben Saanane. Hata kama kweli alikuwa hamjui mwanzoni, lakini kitendo cha Ben kuangusha serikali yake ya masalia ingempa interest ya kuonana na Ben na kumfahamu. Ikumbukwe kuwa Zitto hawezi kuwakimbia masalia akina Shonza na Stella Mwampamba. Zitto hajawahi kuwakana kiuwazi masalia wenzake wote. amekuwa akisema kwa kumeza maneno tu. angalia thread yake ya kuomba radhi mwishoni mwa mwaka jana hayupo specific, anaomba radhi kiujumlajumla tu. Leo pia anasema WALIOHAMA sio WALIOFUKUZWA kama akina Shonza na Mtella. Kwa nini anaongea kiujanjaujanja, Ataje majina ya anaotaka waache kuizungumzia CDM, mbona wao wako wazi sana? wanamtaja mbaya wao Dr Slaa waziwazi, wanamtaja Mbowe waziwazi. (HAWAJAWAHI KUMTAJA ZITTO KWA UBAYA - Hili linathibitisha alichokisema Ben kuwa Zitto ndo alikuwa prezo wao). Zitto come out! ongea kwa kufungua kinywa vizuri na sio kumung'unyamung'unya maneno.
kwa hiyo unakubali kuwa jamaa alitaka kumwua Zitto,maana unalazimisha kuwa wanafahamiana na kumbuka zitto alisema haya kitambo sana kuwa yawezekana kwa sura hawajawahi onana,ukiacha mawasiliano ya kupigiana simu
 
Gazeti la Mtanzania lina ajenda ya siri juu ya uhai wa demokrasia ya nchi, mwisho ukweli kama huu unapofichuka mapema namna hii ni aibu kwao na wanaumbuka mapema.

Kwa habari za namna hii soko la magazeti yao litawaponyoka mapema sana, najua leo mmeuza sana, lakini kesho na kesho kutwa itakuwa ngumu maana huwezi kuishi kwa habari za uongo na ukadumu.
 
Sentensi ya mwisho paragraph ya pili kutoka mwisho mbona kama vile unamuhukumu mtuhumiwa Lwakatare !. Huijui Lunch time HOTEL !kazi kweli kweli kweli!
 
wameliaibisha gazeti lao vibaya sana...bado hawajui tu kuipigia domo ccm ni sawasawa na kumlazimisha bibi kizee akimbie mbio za marathoni na hapo hapo uwe na mategemeo ya kushinda

Hilo gazeti linafaa zaidi kwa kufungia vitumbua vya mama lishe.....
 
Back
Top Bottom