Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

...Sidhani kama CCM wamewahi mhofia Zitto. Bali hilo husemwa sana na CCM wenyewe (ZeMacopolo, Ritz nk) ili kumpa kichwa Zitto aikoroge CDM

Sidhani kama zitto alishawahi kutaka kuivuruga chadema,nadhani ni mpishano wa mitizamo tu ambao unaweza ukatafriwa vibaya na simple minds...
 
Matendo ya Lwakatare yasifanywe ni malengo ya taasisi.

Mkuu wangu JMUsh1 hebu acha kuchochea kuni mbichi, Zitto azoeleke kwa mkanganyo wa kauli zake kwani ndiyo njia aliyoichagua yeye, Sisi tumpongoze kwa mema aliyoyafanya kama hili la kutoa tamko na mengine tubakishe ya kesho kwani naona vijana wa lumumba wapo stand by kueneza fitina na propaganda ili mladi kukifitinisha chama chetu CHADEMA ambacho ndicho mkombozi wetu.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akulinde ndugu, shetani na mipango yake kamwe haitoweza dhidi yako.
hongera kwa kuhitimu mafunzo ya jkt.
 
Namwamini Zitto juu ya hili. Hakuna hata picha moja inayoonyesha Saanane amewahi kukutana na Zitto.

Mwambampa na Shonza pia waliandika Saanane alitaka kukutana na Zitto ila Zitto alikwepa.

Kwahayo nafikiri Zitto hajawahi kuonana uso kwa uso na Saanane.

Kama Zitto ni mkweli Ben Saanane lazima awe muongo.

Kama hivyo ndivyo: CHADEMA inawambia nini watanzania ili tuwaamini?
 
Ben: 'Nimeshawahi kuonana na Zitto'
Zitto: '
Sijawahi kuonana na Ben'

Integrity: Sifa kuu ya kiongozi

Ukweli ndio msingi wa uaminifu kwa kiongozi. Kiongozi ni Yule anayesema ukweli siku zote na sehemu yoyote.

Nimegundua kitu kimoja ndani ya CHADEMA: Baadhi ya viongozi si wa kweli.

Ni nani mkweli kati ya Zitto na Ben Saanane?

Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza

kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?

Kikwete ndio kwanza ana 6% ya ahadi zake leo ni mwaka wa nane....je huyu utamwitaje???
 
Mkuu wangu JMUsh1 hebu acha kuchochea kuni mbichi, Zitto azoeleke kwa mkanganyo wa kauli zake kwani ndiyo njia aliyoichagua yeye, Sisi tumpongoze kwa mema aliyoyafanya kama hili la kutoa tamko na mengine tubakishe ya kesho kwani naona vijana wa lumumba wapo stand by kueneza fitina na propaganda ili mladi kukifitinisha chama chetu CHADEMA ambacho ndicho mkombozi wetu.
Hapana mkuu,nimeitumia kauli ile kama changamoto,kwasababu kuna wanaotaka kuihusisha tape ya Lwakatare na taasisi ya chadema.

No ill-intentions...
 
Mkuu nimekupata pamoja na kwamba una muhukumu Ludovick mapema kwa sababu ukiangalia mashitaka mahakamani, wote wana mashitaka sawa lakini wanasheria wanaowatetea ni tofauti isipokuwa moja tu ndilo tofauti na mengine, halafu lina muhusu Lwakatare. Hata hivyo mpaka pale kesi itakapoanza kusikilizwa, ndiyo tutafahamu zaidi.

Angalau tuna vidondoo kwamba,Ludovick ndiye aliyerekodi huo mkanda,ndio maana nakwambia pia Lwakatare anaweza kuwa ameshiri na kula dili na waandaaji ili kuichafua CDM,kumbuka hata polisi wamekiri hili sio tukio linalohusu chama cha siasa bali watu binafsi hivi wameipa nguvu kauli ya ZZK
 
Kikwete ndio kwanza ana 6% ya ahadi zake leo ni mwaka wa nane....je huyu utamwitaje???

Wewe unaweza ukawa zaidi ya muongo. How did you calculate your 6%, I thought it is 0%?

Halafu turudi hapa:

Viongozi wa CHADEMA si wa kweli?
 
Hayo ndo maneno ya busara na sio propaganda za magamba,na masalia.
 
Ben: 'Nimeshawahi kuonana na Zitto'
Zitto: '
Sijawahi kuonana na Ben'

Integrity: Sifa kuu ya kiongozi

Ukweli ndio msingi wa uaminifu kwa kiongozi. Kiongozi ni Yule anayesema ukweli siku zote na sehemu yoyote.

Nimegundua kitu kimoja ndani ya CHADEMA: Baadhi ya viongozi si wa kweli.

Ni nani mkweli kati ya Zitto na Ben Saanane?

Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?

Mkuu Bocho fungulia thread yake tutakuja kuchangia lakin hapa tunajadili content nyingine kabisa. Am so sor...
 
Last edited by a moderator:
Zitto Kwa ID hii umekuja jamvini kutaka kujisafisha lakini ujumbe wako ukionyesha kabisa kwamba kuna watu unawatuhumu wanataka kukuua

Zitto bila aibu kabisa umeshirikiana na akina Juliana Shonza kuweka hiyo habari kwenye gazeti frontline ili mission iwe accomplish mwandishi kwa kuogopa gazeti linaweza kushitakiwa amebalance story kwa kuwauliza akina Dr Slaa na Ben Saanane na mwisho wa siku kujiona huna pa kushika ulidhani wataacha habari inaelea

Zitto habari ya leo imekuacha uchi mchana peupe imeonyesha wewe ndio engineer wa mambo yote anayozushiwa Dr Slaa na viongozi wengine, leo unakuja na verified user ID wakati siku zote upo hapa jamvini na ID zingine confirmed kuwa unazitumia na watu wajuzi wa utambuzi wa ID humu ndani ukiwasaidia akina Shonza,Mwampamba kutukana viongozi
Mchana umevaa ngozi ya kondoo usiku wewe ni Simba mla watu ,umeshuka hadhi kwa sababu unapaswa kujibu maswali mengi kama unataka kuuawa mbona hujaenda polkisi propaganda yeyenyewe ya kichina imekufanya uonekane huna akili ya kupanga mission za kuvuruga chama hawa ulikuwa unafanya nao nini
attachment.php
 
Vizuri sana Zitto kwa ufafanuzi mzuri.Gazeti la Mtanzania siku hizi limekuwa kama gagulo la kuandika uchochezi,chuki,fitina,majungu na uzandiki dhidi ya Chadema hasa likimuandama Dr Slaa.

Sijui kwanini Hussein Bashe anaruhusu gazeti hili kuandika upuuzi kama huu.

Again Thankyou Zitto you have made my day.

Bashe naona pale yupo kama kivuli sijui kama ana mamlaya yoyote
 
paragraph ya kwanza inaleta shaka kama ISO majungu na majigambo,hakika kuna kareflection ka hulka ya jeykey na ZZK(zana za kilimo)))
 
On Point, wanasiasa wanajua siasa zao

Hata hivyo aliwahi kusema pia atakayemuuwa huko alikotoka hakutabaki hata panya.

Ndo siasa za wanasiasa...

However sisiti kumpongeza Zitto kwa kuwakemea masalia.
 
Sidhani kama zitto alishawahi kutaka kuivuruga chadema,nadhani ni mpishano wa mitizamo tu ambao unaweza ukatafriwa vibaya na simple minds...
Ushahidi upo mwingi sana ila ukiwa na complex mind huwezi kuuona.
 
Wewe unaweza ukawa zaidi ya muongo. How did you calculate your 6%, I thought it is 0%?

Halafu turudi hapa:

Viongozi wa CHADEMA si wa kweli?

Kweli mission accomplished Kiongozi mmoja wapo muongo huyu hapa anasema hajawatuma wapeleke habari Mtanzania anafanya nini na mtindi wa huyu dada hapo pembeni
attachment.php
 
Kama Zitto ni mkweli Ben Saanane lazima awe muongo.

Kama hivyo ndivyo: CHADEMA inawambia nini watanzania ili tuwaamini?

Dah kweli Zitto kawatibulia move watoto wa Lumumba na ndugu zao Ganzi na Shonza, mlidanganywa na Mwampamba na Shonza mkaingia line leo you are trying hard to escape away from your own shadows, furaha yangu ni kuwa uhakika wa PANYA wetu kuendelea kuishi ni mkubwa, Kudos Zitto.
 
Hapana mkuu,nimeitumia kauli ile kama changamoto,kwasababu kuna wanaotaka kuihusisha tape ya Lwakatare na taasisi ya chadema.

No ill-intentions...

Basi hapo nimekupata vyema mkuu JMUsh1
 
Last edited by a moderator:
Twashukuru Zito na tunaomba hili gazeti linalojiita Mtanzania liandike maneno yako uliyasema maana walisema fulani kasema sasa wewe mhusika umenena na waliripoti hiyo habari vinginevyo tunaanza kampeni ya kutonunua gazeti hili nchi nzima.
 
Back
Top Bottom