Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

I waited so long for this moment to come! Finally here it is, watu imefyata mkia...maana majungu yalizidi
 
Mkuu Bocho fungulia thread yake tutakuja kuchangia lakin hapa tunajadili content nyingine kabisa. Am so sor...

Shardcole wewe ni GT naamini unaweza kuwa multi task usiniangushe bhana. Kumbuka ndio unajiandaa kuchukua nchi 2015, huwezi kushindwa kuchambua vitu vidogo kama hivi!

Swali la msingi ili msitubabaishe wengine: Viongozi wa CHADEMA ni waongo? Kama mnazushiana uongo, si mnaweza kupinduana mkipewa nchi?
 
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,

Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.
hii radio ni ya kinafiki sana..siku hizi mtaani inajulikana kama radio chichiem..
 
Umefanya jambo jambo jema mh Zitto maana kama jua lingezama kabla hujajibu hizi propaganda za kijinga ungewepa kichwa hawa vijana wasiojitambua kifikra

I belive in u mkuu keep it up mpaka ukombozi unapatikana.
 
Kama Zitto ni mkweli Ben Saanane lazima awe muongo.

Kama hivyo ndivyo: CHADEMA inawambia nini watanzania ili tuwaamini?

Zitto ndio muongo ana hila nimefurahi sana baada ya hila zake na michwa wa kutafuna akili zao yamemrudi mwenyewe lazima athibitishe gazeti tumenunua na limesema yeye mwenyewe alikuwepo akitegeshewa kupewa sumu sio kukimbia JF kufungua thread haraka haraka kukanisha,further steps should be taken kwa Zitto enough is enough hawezi kuwa ana instigate uchafuzi wa chama halafu anakimbia humu kujisafisha haiwezekani kabisa
 
Dah kweli Zitto kawatibulia move watoto wa Lumumba na ndugu zao Ganzi na Shonza, mlidanganywa na Mwampamba na Shonza mkaingia line leo you are trying hard to escape away from your own shadows, furaha yangu ni kuwa uhakika wa PANYA wetu kuendelea kuishi ni mkubwa, Kudos Zitto.

Sijawahi kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa CCM. Never say no.

Swali la msingi: Viongozi wa CHADEMA ni waongo?

Tukiwaamini na kuwapa nchi si mtakuja kupinduana wenyewe kwa wenyewe?
 
Ben: 'Nimeshawahi kuonana na Zitto'
Zitto: '
Sijawahi kuonana na Ben'

Integrity: Sifa kuu ya kiongozi

Ukweli ndio msingi wa uaminifu kwa kiongozi. Kiongozi ni Yule anayesema ukweli siku zote na sehemu yoyote.

Nimegundua kitu kimoja ndani ya CHADEMA: Baadhi ya viongozi si wa kweli.

Ni nani mkweli kati ya Zitto na Ben Saanane?

Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?

Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?

Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
Chama gani kinachohubiri demokrasia lakini mwenyekiti na makamanda wa JF wanampigia debe mtu mmoja
Au mmesahau zile kura zilizokuwa zinapigwa hapa kati Ya hao wawili?
Chadema ni chama ambacho hakifuati demokrasia na inawezekana hata mleta mada moyoni akawa na yake lakini imemlazimu aandike haya ili kumaliza mjadala.
Sio vizuri kujadili uhai wa mtu au kumzushia mtu kesi kubwa na mbaya kama ya mauaji, lakini tukiacha hayo ya hiyo kesi ambayo sie wengine hayatuhusu, kuna suala la hawa makamanda wa keyboard wasioweza hata kumaliza mafunzo ya wiki tatu tu jkt , Kwa sie tulio hapa JF muda mrefu tunakumbuka matusi aliyokuwa akiporomoshewa humu Mheshimiwa.
Na sio siri kwamba hapa ukitaka utukanwe matusi ambayo yanaweza kukufanya ufikirie kutwanga mtu na nyundo utosini wewe andika tu Zito anafaa kuwa mgombea urais.....
 
Siasa Bwana!!,uwendawazimu kweli.Any way acha tumwachie Mungu ajuaye kusoma mioyo ya watu
mpaka ndani mwao'
 
viva le commandante zitto!viva le commandante slaa!
viva le commandante mbowe!
juliana shonza,mtela mwampamba na wenzenu,ingekuwa busara mkaendelea kujenga chama chenu cha ccm,hoja zenu dhidi ya cdm,hazina mashiko tena.
 
Umefanya jambo jambo jema mh Zitto maana kama jua lingezama kabla hujajibu hizi propaganda za kijinga ungewepa kichwa hawa vijana wasiojitambua kifikra

I belive in u mkuu keep it up mpaka ukombozi unapatikana.

Soma between the line statement yake inaonyesha anataka kuuliwa na watu ,hawa vijana kawapanga mwenyewe amekimbia mbio kuja kukanusha baada ya kuona mwisho wa hili ni kesi mahakamani na hataweza kuthibitisha,contents za mwandishi kuwaauliza Ben na Dr Slaa hakuzitegemea alidhani hadithi itarushwa bila upande wa pili kuulizwa kiujumla mwanaume kaumbuliwa mchana kweupe,mwisho wa ufitini umefika,na chama hili wasiliache hivi hivi lazima aeleze kwa uwazi kabisa kabaki chadema kuchafua viongozi kwa manufaa ya CCM,hawa anafanya nao nini hhuko anakozunguka nao wakati anajua huwa wanakesha magazetini,mitandaoni kutukana viongozi look his chemistry na hawa vijana

attachment.php
 
Daah Asante sana Zitto kwa kuweka wazi jambo hili, asante pia kwa kuwambia ukweli waliofukuzwa cdm ili wafanye ya kwao!

Asante pia kwa kuwatumia salamu wahariri mtanzania waache kuandika habari bila kufanya uchunguzi.

Asante pia kwa kutoa ushauri mzuri kwa viongozi,wanachama na wafuasi wa chadema ili kukijenga chama!

Japo uzi wako una maswali mengi lakini acha ni kupongeze kwa kujitokeza na kukemea hizi propaganda chafu!

Leo hii umewaumbua wengi sana!
List hii hapa!
Cc makopolo
Pasco
Ritz
majebere
 
Last edited by a moderator:
wewe sio muumini wa CDM ni mfuasi wa DR pamoja na kijakazi wake Benn.

Kama Benn akiwa ni kijakazi sasa jiulize we si ndo utakuwa umefunga ndoa na Mwigulu kabisa maana naona unajitahidi kusafisha nyota za bundi ambazo hazisafishiiki kwa kutegemea ujira wa lumumba.
 
Nilisema hapa huu ni uzushi sasa Mwandishi wa habari ile anasemaje? ndio maana baadhi ya wanandishi wanaitwa Makanjanja hawa watu njaa njaa sana...
wameliaibisha gazeti lao vibaya sana...bado hawajui tu kuipigia domo ccm ni sawasawa na kumlazimisha bibi kizee akimbie mbio za marathoni na hapo hapo uwe na mategemeo ya kushinda
 
AIBU KWENU WATENDAJI, NA MHARIRI WA mtanzania inaonyesha jinsi gani mnatakiwa kufunga gaze lenu kwa uchochezi
 
Mkuu angalia, naona umetikisha mzinga wa nyuki wa matusi
Hawa jamaa wameisha kuwa proved failures tayari.
.

Kama ambavyo hata katika dini moja kuna tofauti, kamwe watanzania hatuwezi kuwa wafuasi wa chama kimoja.

Therefore, matusi ni ishara ya kuishiwa hoja. Achana nao kama watakutusi. Wengi wa machadema wamekuwa wakimtukana Zitto humu JF lakini leo kwa vile amemsafisha DR Slaa, wameamua kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Anyways of course Zitto knows what is going on, he is not stupid. Lakini swali langu liko pale pale;

Viongozi wa CHADEMA ni waongo? Wanaaminika kweli kupewa uongozi wa nchi hii?
 
Zitto ndio muongo ana hila nimefurahi sana baada ya hila zake na michwa wa kutafuna akili zao yamemrudi mwenyewe lazima athibitishe gazeti tumenunua na limesema yeye mwenyewe alikuwepo akitegeshewa kupewa sumu sio kukimbia JF kufungua thread haraka haraka kukanisha,further steps should be taken kwa Zitto enough is enough hawezi kuwa ana instigate uchafuzi wa chama halafu anakimbia humu kujisafisha haiwezekani kabisa

Wewe ndio Ben nini umekuja na ID hiyo uliyoambiwa uje nayo? Bado you need to prove your allegations kwa sababu mwingine anaweza kuja na kusema mwongo ni Ben!

Bottomline: Viongozi wa CHADEMA ni waongo?
 
Hivi kama chadema hawafati demokrasia ulikwenda kufata nini? Hahahahahahahaha mlidhani mtafanikiwa kuwagombanisha Zitto na Dr slaa sasa kawachana live mmekosa pakushika!

Wewe ni mnafiki sana tena sana lakini leo umetulizwa!

Kama ulihama chadema jenga chama chako si kutumia jina la zitto kujinufahisha kisiasa!

Ila dose aliyowapa hata kama mkikataa imewaingia vilivyo, yani wote mliokuwa mnasema ulimpango wa kupewa sumu ulikuwa wakweli leo mmekuwa flip-flop!

Back
Top Bottom