Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

Ganzi aka Stela Mwampamba! U suck it pal! Kiko wapi sasa? Hadi presidaa kawakana? Wap my hero Ben wa Saanane?
 

Aunty naomba niongeze kidogo. Hapo unasema inawezekana wanamkubali genuinely nadhani sio kweli.

Wangekua wanamkubali wangemtakia mema. Na wangemtakia mema wasinge thubutu kutunga uongo huu kua walikua hotel ambapo Zitto hajawahi fika, with someone Zitto hajawahi ona.

Hii inaonesha kua wanataka kutumia beef yao ya kijinga na ben saanane kwa kujitafutia umaarufu kupitia jina la Zitto. After all they were once in the same team, they use the same methods.

Mtu wowote mwenye akili timam, mwenye uchungu na chadema hawezi ku-entertain uongo kwa kufikia malengo yake. In this particular case the ends don't justify the means.
 

Mkuu kuna kitu unaDIG aiseee!!!!! tengua kauli, nasema tengua kauli, ohooooo ngoja nikuonyeshe sasa kama mimi ndo tajri wa kigoma braza K, eeeeeeeehhh unacheza na mimi wewe.
 

Sasa na wewe unashindwa kufahamu jasusi mjuzi hadi aaminiwe na katibu mkuu kufanya mauaji kwa kiongozi mmkubwa nnchini anaweza kufanya ujinga wa kulewa chakari kwenye mision kama ile halafu akamatwe na sumu na vijana wasiopitia mafunzo ya usalama,halafu wamuhoji bila hata ya kumnyofoa hata kucha moja,naye akiri kuwa anakwenda kumpa sumu ZZK.Mnasema Ben ni muuaji na jasusi,wale Shonza na Mtela hawana hata robo ujanja wa kupambana na mikono ya Ben.Nashawishika kwamba hiki unachoandika hukiamini hata kwa asilimia sifuri ila kwa kuwa upo kazini ndio maana unashindana na ukweli
 
HIlo ndo jembe bana mtazusha kila aina ya maneno lkn mtaambulia patupu
 
Hilo liredio hua linabugi kila kukichwa, sijui la nani? Mapamba na Mavyonza kwisha kazi yao.
 
...ahsante Mungu kwa kutubainishia maadui zetu mapema..."kila ubaya waufanyao gizani,ukuja roho na nyuso za wanafiki"...
 
Kuna mahali niliandika hayo kuonyesha kuwa at least one of them must be a liar
 
Nakuheshimu sana ZZK, wewe ni kiongozi unayejua unachofanya. Naunga mkono maono yako na namna unavyoyasimamia masuala ya msingi kwa chama na Taifa.

Kuwa makini sana na watu wanaotaka kutumia jina lako kuchafua chama. Naamini Dr. Slaa ni tishio kwa kila mpinzani wa CDM, ni wajibu wa kila mmoja akiwemo Dr. Slaa mwenyewe kuitunza heshima hiyo. Ninawaamini sana kuelekea 2015 tutafanikiwa.
 
Wakati unaandika hapo juu ulikuwa unakunya.. Naona umetandaza hapo kinyesi!
 
Heshima ya Upande mmoja! Hapa Zitto utapongezwa kwakuwa tu 'umem-save' 'nabii' SLAA. Hawa hawa ndio wanaokuporomoshea matusi kila siku! Lengo lao wakutumie tu kama 'kile kifaa' kisha waku-dump! Sijui kama hulijui hili!
Wewe unawashwa na nini? Nenda JKT, kwa kujitolea.
 

Kamanda Zitto,hongera sana kwa kauli ambayo inaendelea kuwaonyesha watanzania kuwa ni CDM ni moja.Watanzania bado tunakumbuka moto wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.

ukiongozwa na Mh. Mbowe, Mnyika, Sugu, Mdee, Wenje,Lissu na wewe mwenyewe Mh. Zitto kwenye masuala mbali mbali yahusuyo Taifa letu. Tunawakumbusha wale wote wanaosubiri Dr. Slaa na Zitto wagombane watasubiri sana! M4C inasonga mbele,
 
Hata kama Zitto asingekana habari hiyo bado ningeamini ni uongo na uzushi. CDM imechafuliwa sana na jina la Zitto linarudiwa kutajwa lakini amekuwa kimya. Leo hii ndio umeona haya?
 
Muheshimiwa Zitto hapa ulikuwa unamaanisha nini! kama leo unadai huko CDM hakuna threat ya kukutoa uhai
 
Last edited by a moderator:
Unafanania na vigezo vya rais ninayemuota kila siku za maisha yangu!kama jana ingekua kesho,leo hii Zzk angekua rais wa tanzania kuptia chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…