Waraka wa pili (2) Kwa wasabato wote

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
3 Yohana 1:2 Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.

Katika maisha yote ya mwanadamu au kiumbe chochote kinategemea Afya thabiti ilikiweze kuendelea kuishi Vizuri na kufarahia uhai.

Binadamu ndo mlengwa mkuu wa Afya bila kuwa na Afya njema hutoweza kamwe kufanikiwa. Baadhi ya watu husema Ili uweze kufanikiwa Cha kwanza uwe na Afya njema kingine usijihusishe na kesi
Kwani haya mambo mawili humfilisi sana mtu na kuangukiwa kwenye umaskini.

Ni waraka wa pili (2)Kwa wasabato wote nikitoka shukrani zangu za kweli na dhati kabisa Kwa mafundisho yenu ya Afya Kwa njia mbalimbali.

Binafsi nimekuwa mdau na mteja wenu wa vitabu mbalimbali hasa vya Afya vya kingereza na kiswahili na nikiri vimenipa faida nyingi sana.

Faida kama ifuatavyo Kwa kifupi tu
Vimenilekeza katika ulaji unaofaa na unywaji unaofaa (hapa kwenye unywaji Nina shida zangu binafsi napenda bia ila soda sinywi japo muda sio mrefu nitaacha na bia)

Nimejifunza tiba mbadala vitabu Hivi nilivyo navyo hata hizo clinic wanazo fungua watu na kujiita ma Dr nk Kwa hakika pasina shaka wanavitabu Hivi hapo chini.

Ni vitabu vzr sana Nina muda mrefu sana situmii dawa za hospital zamani hata maumivu ya kichwa tu lazima nikanunue Panadol au Action nk.

Naawaandiki wasabato Kwa sababu nimejifunza nanyi Kwa muda mrefu sana tangu 2013.

Moja ya kitabu nilicho Anza nacho kununua kinaitwa Turejee Eden na badae niakongeza vitabu vingine.

Mafundisho yenu ni mazuri hasa ya Afya na mtu yeyote akiya faata hatojutia kamwe faida ni nyingi sana siwezi orodhesha hapa zote kwani nimesaidia wagonjwa wengi sana Kwa tiba asili Kwa kusoma tu kwenye vitabu Hivi!

Moja ya shuhuda ni mama mmoja alikuwa hapati ujauzito ni mke wa jamaa yangu baada ya kusoma nikamwambia kula Hivi tumia hivi na vile na hiki au kile usile pia tumia aina hii ya mbegu wao wote Mme & wake.

Walibahatika kupata Watoto Hadi Leo wanao wa3 nae akaelekeza mtu nae akajifungua. Siyo hao tu ni wengi na magonjwa mengine pia Huwa nasaidia watu. Bila malipo yoyote maana nasoma Bure maarifa haya.

Wazazi wangu nimewajengea utamaduni wa kusoma Kwa Bahati nzuri wote wanajua kusoma hivo Kuna vitabu niliwanunulia nao wanafaidika navyo.

Nimenunulia vitabu ndg na jamaa mbalimbali vingi tu vya Afya.

Kwa mdau yoyote wa afya asikoswe kuwatembelea Hawa jamaa hasa wainjiristi wa vitabu watakuambia kipi ni kizuri zaidi.

Mimi sio tatibu wala mganga hizi ni faida tu nilizotaja baadhi nilizo pata kwenye vitabu vya wasabato.hivo msije inbox maana sitowajibu kitu.

Jana usiku nilikuwa na mzee mmoja wa kanisa nimemwambia habari za ufalme wa Mungu au kuwa msabato anipumzishe maana hataweza kunishawishi ila Kwa vitabu awe analeta nitapokea au kununua.

Hivi vitabu chini niliuziwa 75,000/= mwaka2013. Miaka kama 2 iliyopita nilikibahatisha sehemu kinauzwa 170k sikushangaa Kwa maana vilivyomo ndani ni zaidi ya hiyo Hela! (Vipo Kwa lugha ya ki Elizabeth namimi kimombo kipo cha kupozea uji ila naelewa vizuri tu neno likinishinda nazama google chapu tu naelewa)

Mwisho:pandeni miti wapendwa hasa ya matunda ni tiba Kwa afya zetu nawaomba sana angalao basi usikoswe hata mti wapapai kwako!

Ahsanteni sana.
View attachment 2836352
View attachment 2836354
 
Asante kwa ushauri, ila itasaidia ukitoka maarifa haya kwa urefu, Maana sie wengine kizungu kama cha kina Osca.. 😁 😁 Tupe madininturefushe maisha.. Maana kwa kweli haya madawa ya hosp yanauwa wengi kwa magonjwa ya Figo, ini nk. 🙏
 
Mkuu hata Mimi elimu yangu ni form four ya kayumba lakini Huwa naelewa na nisipo elewa simu yangu Ina app ya Dictionary hivo hunisaidia sana nikiona neno Hilo halipo naingia Google ni chap tu mbona unaelewa Kwa lugha yoyote ile
 
Back
Top Bottom