Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

Hahahaaa uttoh2002 sasa unawekaje urafiki na mtu kakutoa kwenu unakula vizuri halafu anakuja kukutesa na njaa lakini?

Hapo ndio utajua mahari kabla ya ndoa ni moja ya vipimo vya kujua kama muoaji ana muwezo wa kutunza mke
Huyo mwanamke mpaka analoa njaa inamaana hajiongezi asee, hajishughulishi au hana ideas ya wao kufanya kitu cha pamoja kuitoa familia kuwa tegemezi kwenye chanzo kimoja cha kipato. Kuna ule msemo sijui mwanamke akifanya nn hubomoa famila yake sasa how yani how?
 
Mke kuhudumiwa na ndugu zake au wazazi wake kwa sababu wewe umeshindwa ni fedheha.
Tupambane tuu heshma ya mume ibaki mahala pake maana heshma kwa mwanaume ndio nguvu yake, na hiyo heshma haipatikani kwa kuzaa watoto ila inapatikana kwa uwezo wa kutunza hao watoto
Pengine tatizo sio wanawake pengine tatizo sisi wanaume labda manzi analeta ideas jamaa anachomoa,pengine manzi amesha mess up sana lakini manzi kama saloon hawezi enda kwa pesa yake ya jasho alali sio ya kudanga huyo manzi is not worth it but if anaweza then she is worth everything hii sio kwa wote Ila kama ni manzi mvivu yupo yupo tu yeye umbea tu we get tired, raha mwanamke awe na ideas nzuri, vision sio mwanamke unakaa nae yeye anajua tu saloon, cosmetics inaboa heshimu ya mwanamke sio watoto tu, mawazo yake, ni wanawake wachache sana lakini hizi mchemba ambazo zinafanya hayo kwa wenza dah jirekebisheni. Mahusiano ni kujengana na kushikamana
 
Dah umeongea point sana.......sometimes nikitokaga Job naweka music anaoupenda nambambia kichizi...nikitoka hapo namwambia hivyo ndivyo nilivyokuwa nabambia kabla cjaoa....wife wangu ni mwanangu sana....nikizingua kwenye show ananambia mwanangu leo umeniparaza tu...6 yr now ...no mikwaruzo tukizinguana nusu saa mbali story zinaendelea.........✍
 
Hongera sana mkuu.

Hivyo ndivyo ndoa itanoga.

Kuwa wanandoa tu haitoshi,lazima muwe marafiki pia...
 
Pengine tatizo sio wanawake pengine tatizo sisi wanaume labda manzi analeta ideas jamaa anachomoa,pengine manzi amesha mess up sana lakini manzi kama saloon hawezi enda kwa pesa yake ya jasho alali sio ya kudanga huyo manzi is not worth it but if anaweza then she is worth everything hii sio kwa wote Ila kama ni manzi mvivu yupo yupo tu yeye umbea tu we get tired, raha mwanamke awe na ideas nzuri, vision sio mwanamke unakaa nae yeye anajua tu saloon, cosmetics inaboa heshimu ya mwanamke sio watoto tu, mawazo yake, ni wanawake wachache sana lakini hizi mchemba ambazo zinafanya hayo kwa wenza dah jirekebisheni. Mahusiano ni kujengana na kushikamana
Ila mwanamke wa hovyo unamjua tu hata kabla ya kumuoa.

Wengine wanafumbia macho uhovyohovyo wa wmanamke kisha akioa ndo analalamika ooh sijui mke wangu yuko hivi na vileeee.

Wakati huo mtu wlijua huyo demu kabla ya kumuoa hizo tabia anazo.

Chunguza kwqnza jw huyu mwanamke kwa tabia zake hizi nitaweza kuzivumilia nikimuoa ?

ekama huwezi kivumilia achana nae utapata mwingine,ila ukijifanya kufumbia machho kwa kusema atabadilika huko kunakuwa ni kubeti.
Pengine tatizo sio wanawake pengine tatizo sisi wanaume labda manzi analeta ideas jamaa anachomoa,pengine manzi amesha mess up sana lakini manzi kama saloon hawezi enda kwa pesa yake ya jasho alali sio ya kudanga huyo manzi is not worth it but if anaweza then she is worth everything hii sio kwa wote Ila kama ni manzi mvivu yupo yupo tu yeye umbea tu we get tired, raha mwanamke awe na ideas nzuri, vision sio mwanamke unakaa nae yeye anajua tu saloon, cosmetics inaboa heshimu ya mwanamke sio watoto tu, mawazo yake, ni wanawake wachache sana lakini hizi mchemba ambazo zinafanya hayo kwa wenza dah jirekebisheni. Mahusiano ni kujengana na kushikamana
 
maisha ni mazuri sanaà
Ewaaaa hapoooo ''mazuri sana'' ndo kina mwajuma ndala ndefu wanapataka hapo!! siyo wao bali wanaingiwa na shetani!.....na shetani hakai mbali nao....watarusha vya kurusha mpaka utakoma make pale wata waona mnajidai
 
Dah umeongea point sana.......sometimes nikitokaga Job naweka music anaoupenda nambambia kichizi...nikitoka hapo namwambia hivyo ndivyo nilivyokuwa nabambia kabla cjaoa....wife wangu ni mwanangu sana....nikizingua kwenye show ananambia mwanangu leo umeniparaza tu...6 yr now ...no mikwaruzo tukizinguana nusu saa mbali story zinaendelea.........
Au sio
 
Mke kuhudumiwa na ndugu zake au wazazi wake kwa sababu wewe umeshindwa ni fedheha.
Tupambane tuu heshma ya mume ibaki mahala pake maana heshma kwa mwanaume ndio nguvu yake, na hiyo heshma haipatikani kwa kuzaa watoto ila inapatikana kwa uwezo wa kutunza hao watoto
Pia jifunzeni kufanya Kazi sasa mtakaa mnatombwa tu Hadi lini

Hata Kazi za Mikono kuuza chapati nk lakini kuishi kwa kutegemea Mwanaume mme wako akutombe ili akupe ugali haifai ndo chanzo wanawake kuonekana inferior
 
Hata kama siyo rafiki, lakini kwenye suala la kujabu huwa sijibani walahi
Kukoseana adabu tu, mumeo hutakiwi kumzoea namna hiyo, nyinyi sasa mmetoka kwenye urafiki na kuleta usela mavi. Ni rafiki gani huyo unajamba mbele yake na anaona poa tu! kama sio kukosa akili, sometimes mwanamke au mwanaume unapojiexpose sana kwa mwenzi wako, unapoteza ule msisimko uliokuwepo ndani yenu.... Mnaongelea nadharia ila huo si uhalisia ndugu zangu

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom