Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Status
Not open for further replies.
Hoja zako:
  1. CHADEMA waliingia mkenge bila kufanya utafiti. Mkege gani?
  2. CCM walitengeneza walaka wa kuwafitinisha CHADEMA na ZZK licha ya ule wa Kitila.Walaka huo uko wapi? Weka hapa tuusome.
  3. Lengo lako la kuandika uzi huu ni lipi? Kuisaidia CHADEMA kifute uamuzi wake wa kumfuta uongozi ZZK au kukisaidia CCM au kukisifia CCM kuwa kina mbinu kambambe? Halafu mwisho wake nini?
Unaakili kama nzi!
 
Ni vema ukiwa unaandika humu kwenye huu ukumbi watu wakawa na busara, hekima na uzalendo. Usiandike kufurahisha kwa sababu iko siku hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe
 
Wapenzi wa ZZK mnaharaka subiri afukuzwe ndipo mumtetee humu kama kweli ni mwanasiasa au mzushi si muda mrefu!
 
Wapenzi wa ZZK mnaharaka subiri afukuzwe ndipo mumtetee humu kama kweli ni mwanasiasa au mzushi si muda mrefu! Kitaeleweka
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia.

Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua.

Hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi.

Hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama.

HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
Ajabu kubwa watu wanaliona leo baada ya maji kumwagika, wakati nimelizungumzia hapa JF wakati linapikwa!
 
zito bado ni jembe la ukweli na chadema mmeshapoteza dira chama cha kususa na maandamano chama cha maaskofu nan awape ikulu
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu

yaani uandike pumba tukuache nahisi umeandika ukiwa na alcohol kichwani kalambe limao.
 
Na wale wasaliti wengine kina shonza,mwigamba,mkumbo,karungu,mbona walipokelewa na ccm na act kwa shangwe?,,,tafakari chukua hatua
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom