Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Status
Not open for further replies.
Huo ndio ukweli lkn chama kimeshapukutika na wengime keshokutwa wanaondoka chamani eti hawaelewani na mbunge wa wavuta bangi wa Hukooo Aru....
 
kuliko zitto bora tupate raisi kama lusinde tu tujue moja au kurudisha colonialism
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ

Sijaelewa kabisaa!!
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu

sasa kama umeandika pumba ndo tukuangalie tu peleka ukwasi wako huko mbele
 
Hivi nyie jamaa mbona kama mnaandika utumbo sana?
Yaani CCM wamesema kuwa walimfitinisha Zitto na CHADEMA halafu CCM haohao wamesema Zitto ndiye raisi kupitia ACT?
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ

labda rais wa ukoo wenu!
 
Huo ndio ukweli lkn chama kimeshapukutika na wengime keshokutwa wanaondoka chamani eti hawaelewani na mbunge wa wavuta bangi wa Hukooo Aru....

anayetaka kuondoka milango ipo wazi! kwani wakati anakuja cdm alilazimishwa? mbona katiba pamoja na ubovu wake imewapa uhuru wa kujiunga na chama wakipendacho?
Wapo wapi kina Lamwai,Kaborou,Prince Bagenda na wengineo kama hao????
Na kwa nini msimshauri na mkuu wa masalia naye akaondoka? au anahofu na posho za ubunge? mzalendo gani huyo aliye mchumia tumbo?
 
Niliposoma neno "kipaji"nimekukubali kuwa zzk ana kipaji cha usaliti,bgup.
 
Huyo zitto katudhalilisha sana wachumi,hakufanya opportunity cost kati ya umaarufu wake alioujenga kwa miaka mingi ni senti chache za CCM. Shule haikutumika hapa. Ni sawa umesoma la kwanza mpaka PHD afu unazembea unakufa kwa ngoma miaka michache tuu baada ya kuanza kula matunda.
 
we sio mchumi ni msukule, toa mbege zako hapa
 
kweli shukran ya punda ni mateke! cdm waliusahau wema wa zzk,wangwe n.k .hii itawakost 2015 kushika dola
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ

Huwezi kufanya "umalaya" ndani ya ndoa na ukabaki salama baada ya kugundulika labda mumeo awe zuzu...
 
kaulize tena zito alikutuma nini, maana umeleta pumba
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
umevimbiwa mah aba
 
Kwa msaliti kama Zitto Kabwe "Kufukuzwa Uanachama" ndiyo adhabu ndogo sana inayomfaa.....
 
Otherwise kwa watu wasiopenda USALITI kama China wangempiga risasi adharani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom