Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Status
Not open for further replies.
hoja yako ni nini hasa hapa?mbona hueleweki?au ACT-TANZANIA imewashinda kunadi sasa mnaomba huruma tena kwa CHADEMA?eleweka mkuu mtoa mada

Mkuu kwanza mimi si mfasi wa chama cha wasaliti na kidini na nawachukia coz hicho chama misingi yake haipo wazi na wamekurupuka sana. Sasa hoja yangu ni kuwa CHADEMA hakuwa vizuri kwa kufanya maamuzi yale kwa mjibu wa yule kiongozi wa CCM sita mtaja jina kwa usalama wake ila yawezekana kuna ukweli. Ahsante mkuu Jole.
 
umeandika ujinga harafu unazuia watu wasikutukane, utatukanwa tu. Mimi nasema aliyekwambia ni ovyo basi nawe ni ovyo. Unasema chademaa inashndwa kwenye chaguzi kwa kuwa zito kafukuzwa? Jiulize uchaguzi wa busanda, b'mulo na ata igunga, je zitto alikuwa ameishafukuzwa cdm? Kama alikuwapo chadema kwa nini walishindwa? Ugawaji wa pesa na ununuzi wa shahada za kupigia kura unaofanywa na ccm umeisha? Yawezekana ata pesa chafu za kuonga wapiga kura zinapitia kwenye akaunti yake huyu zzk. Watu hawataki kumskia zzk kwani kasariti mageuzi. Wale wanaosema wako act, ukifuatilia ni wale vibaraka aliokuwa anawatumia kuvuruga chama
 
Mbona kila mwenye kujua katiba anafahamu kuwa Zitto mwakani Umri hautamruhusu kugombea Urais?

Huyo Informer wako asijekuwa ni Lusinde, mbunge wa Wagogo.

Maelezo yako ni mazuri i$ipokuwa nakukatalia kuwa LIVING$TONE LU$INDE $io mbunge wa wagogo>huyu lu$inde ubunge wake nina imani kuwa alichakachua maana hata mm mgogo na$hangaa akili za yule boga$i kwanza anatuzalili$ha wagogo hana akili kabi$a>hata elimu yake ukifuatilia ni ile ya kununua cheti:
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
Ndoto za Kimweri
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu

Sasa kama mwenyewe mtoa mada huna ukakika utakosa kutukwanwa kweli hapa jamvini, jiepushe kutukanwa kwa kuacha kutoa maada usiyo na uhakika nayo bro!!!!
 
Lusinde kama Mgogo, ndiyo sawa kabisa. Huyu anawafaa sana kuwa Mbunge wenu, kabila la Kishenzi kabisa hili sijapata kuona. Yaani pamoja na kuwa mpo katikati ya Tanzania na mpo Mji Mkuu, bado mnakubali kuwa na Libunge kama hili? Tena mnamuondoa Malecela, mnamuweka Lusinde halafu unataka Mnyamwezi nikubaliane na wewe kuwa Wagogo mna akili?

Tatizo lenu najua ni kula ugali Mkavu sana. Kama siyo ugali wa Uwele au Mtama, basi mnakula Wa Mhumba.

Asubuhi asubuhi hata salamu zenu ni "Chikulya chi" na majibu ni "Ndigwa du" yaani wewe saa 12 asubuhi unauliza mwenzio kala nini na jibu liwe Ndigwa du? Khaaaaa!!!! Halafu mkome kula miwa huku mnatembea maana mji mzima ni maganda ya miwa utadhani upo Morogoro. Hata Moro kwenyewe hakuko hivyo. Mtu akituletea Mkaa hapa kwetu Kikuyu Flats, anaondoka na kwenda sokoni kununua MIWA, damn.

Jioni badala ya kupanga mikakati ya kesho, mnabaki mkiimba "Myujiyuji mti wa Lulenga si wa kukata zengo......"

AMKENI BANA WAGOGO wangu. Mnatutia aibu sana. Hakuna tofauti na Sikonge kabisa na nyie ndiyo mpo Dodoma, sasa tungelibadilishana ninyi muwe SIKONGE, Yes, huku mashenzini kabisa kama Kitunda ambako Rais pekee aliyewahi kufika kwa Helcopiter ni Kikwete, basi mngelikuwa wa ajabu sana. Kitunda ukitaka kufika, inabidi upite kwanza SIKONGE, familia yangu tunakupa VIZA ndiyo uende kule kwani ni kama nchi jirani.

Ahhh, na MKOME kukeketa Wanawake. Usiku mzima na vinyimbo vyenu vya Jando "Celina Celina, eee lele, Mpagama."
Maelezo yako ni mazuri i$ipokuwa nakukatalia kuwa LIVING$TONE LU$INDE $io mbunge wa wagogo>huyu lu$inde ubunge wake nina imani kuwa alichakachua maana hata mm mgogo na$hangaa akili za yule boga$i kwanza anatuzalili$ha wagogo hana akili kabi$a>hata elimu yake ukifuatilia ni ile ya kununua cheti:
 
Hoja zako:
  1. CHADEMA waliingia mkenge bila kufanya utafiti. Mkege gani?
  2. CCM walitengeneza walaka wa kuwafitinisha CHADEMA na ZZK licha ya ule wa Kitila.Walaka huo uko wapi? Weka hapa tuusome.
  3. Lengo lako la kuandika uzi huu ni lipi? Kuisaidia CHADEMA kifute uamuzi wake wa kumfuta uongozi ZZK au kukisaidia CCM au kukisifia CCM kuwa kina mbinu kambambe? Halafu mwisho wake nini?
    Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
ACT, ni chama cha wahutu!... Agombee tuu! atapata kura kigoma.. Abebe WAHUTU wamchague!..
 
Zitto angekuwa mzalendo kwa taifa hili angeweza kufanya yafuatayo?
1. Kujipatia fedha chafu baada ya kuanzisha hoja ya mabilion ya Uswiss
2. Kuliongezea taifa hasara baada ya kushabikia ununuzi wa mitambo chakavu ya DOWANS
3. Kushiriki katika kamati ya kipitia mikataba ya madini na mwisho kula fedha za migodini na mikataba kubaki kama ilivyo
4. Kukubali kupokea 3,600,000,000/- kutoka CCM ili kukibomoa chama chake (CDM)
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu

sasa mbona umeandika kwa uhakika?
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu
wewe jinga jinga kweli, ... unaleta pumba unataka watu wakuchekee?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom