Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Siri ya CHADEMA, CCM na Zitto hii hapa

Status
Not open for further replies.

Nicolas J Clinton Gabone

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
897
Reaction score
559
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia.

Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua.

Hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi.

Hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama.

HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ
 
Mkuu Zitto alitumika kwa CCM akiwa anafahamu anachokifanya!!! Alipenda hela na utajiri kuliko chama. Kwani wakati wanatengeneza video vya uongo si ZZK alikuwa anafahamu? Alipokuwa rafiki wa Mwigulu ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kuisambaratisha CDM ZZK hakujua? Hakika kama kweli unakipenda chama chako ni lazima utumie akili utambue unapotumika na usipotumika. Hakulazimishwa, alitaka mwenyewe baada ya kupatiwa hela nyingi na nyingine zilipitia account za watu nje ya nchi!!! Kama kuna Chama kinamtaka Zitto Kabwa kimchukue tu!! Si walisema akiondoka CDM itakufa? Ahhhh wapi? CDM is there to stay in the absence of Mbowe, Slaa, Mtei, Zitto, na wengine wengi. CDM is the only and only opposition party in Tanzania!!
 
wewe hata kudanganya hujui kabisaa ! Hivi umesoma kata gani ?
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ

Kuna siri gani sasa hapo ?
 
p.umba tu.. nmepoteza muda wangu bure. Mtaota sana mwaka huu
 
Alikuwa na thamani kwao akiwa CDM! Wamchukue wampeleke wapi?
 
Mbona kila mwenye kujua katiba anafahamu kuwa Zitto mwakani Umri hautamruhusu kugombea Urais?

Huyo Informer wako asijekuwa ni Lusinde, mbunge wa Wagogo.
 
Kuna watu tujieshimu kidogo kama vijana tafadhali nakuomba unapochangia usinitukane wala kuniita majina tofati na hayo ninayo yatumia, hizi ni taarifa zaweza kuwa kweli au la! sasa changia kwa hekima na kama huna tafadhali heshimu uhuru wangu wa kujieleza usinilishe maneno siasa za matusi acha sipendi kumradhi kwa usumbufu
 
hoja yako ni nini hasa hapa?mbona hueleweki?au ACT-TANZANIA imewashinda kunadi sasa mnaomba huruma tena kwa CHADEMA?eleweka mkuu mtoa mada
 
Chama Cha Democrasia na Maendelea CHADEMA kilingia mkenge baada ya kutaka kumtimua Zitto bila kufanya utafiti wa kutosha kama kweli jamaa ana hatia. Zitto ni kijana mwenye kipaji cha pekee hilo baadhi yenu mnalijua ila CCM kwa kumuogopa Zitto kama kiongozi mahili na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa hata kama ana mapungufu ya kibinadamu kama mimi na wewe wakatumia nafasi ya kumchonganisha na chama chake kwa kusudi la kuogopa kuwa kijana huyu kuna mambo mingi anajua, hoja zake kuwa na mashiko kwa makundi yote wakatengeneza walaka wa siri licha ya ule wa Kitila, CCM ilifitinisha Zitto kwa hofu ya kijana huyu kuwa kiongozi kwa chama kwa maana wanaamini kuwa Zitto ndiye angekuwa mwiba kwao na hivyo kushindwa kwenye chaguzi, hivyo basi CHADEMA ikaingia mkenge na kumchafua na kushindwa kugundua njama za CCM kauli ya Tyaison inatabili kutokuwepo kwa kijana huyu kuwa wanaweza kukishinda chama. HABARI hizi nimezipata kwa kiongozi mmoja kutoka CCM baada kutaka kujua kauli kuwa ZITTO ndiye Rais 2015 kupitia ACT - TZ

kwanza hii siyo siri mapunghu ya unafiki na usaliti hatuyataki
 
mbona watetezi wa Nyepesi hamjionyeshi wazi? wekeni majina yenu hadharani mjulikane
 
Msaliti ZZK nae anajadilika tena hapa JF??? tulikwisha funga, kama ameonewa atapewa haki na mungu huko mbinguni.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom