do u think mwanamke pekeake ndo mwenye makosa?,wanaume ur always right?..nakubali kibinadamu lazma nina mapungufu yangu
Huyu dada sijui anatumia kiungo gani cha mwili kufikiri.
Au sijui atakuwa anauza duka la pombe...Maana mawazo yake ni kama mtu aliyeshituliwa usingizini..!
Sasa kama hawakuoa wanahalalisha wewe kutokuolewa au?
Unazijua sababu za wao kuto kuoa?
*Kilema cha akili hatari sana*
Kuna tofauti za kimaumbile kati ya mwanaume na mwanamke, hizo ndio zinapelekea kuonekana nani yuko sahihi nani anakosea, we ukitaka kutumia mwili wako kama mwanaume ananyo utumia matokeo yenu hayawezi kuwa sawa.
Huwa unamfuatilia muuza pombe? Natumia K kufikiri, naona na wee unatumia mb..
Kumbe huwa ni mawazo ya k- kiroba..
Ila mimi umekosea huwa situmii mb- mbege.
Miye nimefurahishwa na hicho kipengele cha kubeba vitunguu keche keche hadi kwa bf ukapike loh! Mi nadhani hayo ni machache kati ya mengi na mapenzi vile hayatabiriki waweza fanya hayo yooote alafu biiinuuuuu!!! Kuleee umepigwa cha mbavu utalia na moyo!! Wangapi wameoa wanawake wavivu,wachoyo ,wanafiki nabado wanawapenda to the maximum!! Anyway bravoo najua kuna kitu hapo tumejifunza ,point taken!!! Hujambo lakini mwekundu?
Ahsante, ngoja niyaandike kwenye notebook mwaka hauishi huu utakuja kula pilau...
Maumbile yana nafasi kubwa sana ya kuweka mgawanyo wa mambo, ndio sababu utaona kutoka na maumbile yetu kuna haki za wanawake , chanzo ni maumbile.Aliyesema wanawake na wanaume wana maumbile sawa ni nani?
Kuwa sahihi ama kutokuwa sahihi sio ishu ya maumbile, mjumuiko wa fikra na tafsriri zako, na fikra za mtu ni sahihi universal.
Kwa hiyo wewe ukihalalisha wanawake kuolewa, wote waolewe? Hujui hata unasimama nini?
Kama unahalalisha kila mtu kuwa kivyake, usilazimishe yako kuwa sawa, get a life!!!!
Kama abafaa kuwa nke definately unaoa apo maana kafaulu mtihan....mke hajitambulishi majukum yanamtambulisha tu anavyoyahandle. Asprin ako wapi
Maumbile yana nafasi kubwa sana ya kuweka mgawanyo wa mambo, ndio sababu utaona kutoka na maumbile yetu kuna haki za wanawake , chanzo ni maumbile.
Pia kuna mambo au shughuli fulani ambazo mwanamke hauwezi kuzifanya kutokana na maumbile yako.
Sasa unapokataa kwamba swala la maumbile haliwezi kuonesha jambo lilo sahihi kwa mwanamke na jambo lilo sahihi kwa mwanaume, unadhihilisha jinsi unavyo endelea kutumia k- kiroba kufikiri.
Ni wapi nimehalisha wanawake wote waolewe?
Matumizi ya k-kiroba kufikiri ni balaa
*KILEMA CHA AKILI NI HATARI ZAIDI*
True, ndio maana waumini wanaimba 'mke mweeeeema, anatoka kwa Bwana, nimemwooomba Bwana anisaidie'. Maana yake, do ur best, leave the rest to mother nature.
Ndio maana utakuta mtu anasema, sikuwahi fikiria kama nitamwoa Mwaju, nilipanga kumwoa Mwadawa kabisa.