Siri kwa wanawake wasaka ndoa miaka nenda rudi

He he he, ai noo yuuu, kwa umbea wa hapa lazima usimamishe nywele.

So huwezi kesha ukisotea ndoa, hasa kma unajua thamani yako.

Kuna majina umetaja apo moyo umefanya paaa!😱😕😱
 
wanaume acheni uvivu mnataka kupata haki za ndoa mkiwa nje ya game
ni ujinga kujishusha shusha kumfulia mtu hata posa hajatoa unajishusha hadhi mwanamke jipe thamani ya juu kama unataka utamu wa bidhaa inunue mambo ya kuonjaonja mwishowe ukinai hayakubaliki
 
Anyway, hayo mambo yanayohalalisha na maumbile ni yapi?

Unaweza dhania una akili saaana, kumbe ni deep kijikoni. Na uache kutumia mb..

Nimesha kujibu kwamba situmii mb-mbege

Mwanzo ulisema hivi;
Kuwa sahihi ama kutokuwa sahihi sio ishu ya maumbile, mjumuiko wa fikra na tafsriri zako.

Hata kama ni kikutajia itakusaidia nini?

Wakati wewe ume-sticky kwenye kuamini fikra na tarsiri zako za matumizi ya k-kiroba?
 
Wangu alinifanyia yote hayo nilipojitambusha kwao na kumuweka ndani alinibadilikia na kumtafuta house girl afanye kazi ye kutwa nzima kwa jirani, ilinikera sana hiyo tabia hivø nafikilia kumwacha tu
 
wanaume acheni uvivu mnataka kupata haki za ndoa mkiwa nje ya game
ni ujinga kujishusha shusha kumfulia mtu hata posa hajatoa unajishusha hadhi mwanamke jipe thamani ya juu kama unataka utamu wa bidhaa inunue mambo ya kuonjaonja mwishowe ukinai hayakubaliki

Habari yako jirani?

Ujue hata nyie mnapenda sana kuonjaonja ndiyo maana tunawapa mafunzo kwa vitendo.
 
miss neddy mswalie mtume.....
 
Last edited by a moderator:
Habari yako jirani?

Ujue hata nyie mnapenda sana kuonjaonja ndiyo maana tunawapa mafunzo kwa vitendo.

habari yangu nzuri kiasi nimeingizwa mjini leo
hapo kwenye kuonja onja hebu fafanua tunapenda kuonja nini
 
Ukifanya hayo kwa lengo la kuisaka ndoa, halafu usipoipata unaweza ukachizika..!

Kama unafanya, fanya tuu kwa mapenzi uliyonayo kwa huyo bf wako na sio kwa kutegemea ndoa..!
Na hautakiwai kufanya hayo kwa ajili ya ndoa fanya kwa mapenzi uliyonayo juu ya huyo mwanaume kama unafanya kwa ajili ya ndoa maana yake ukipata ndoa hayo utaacha kuyafanya? ushauri wangu fanya kama moja ya mapenzi kwa huyo mwanaume
 
habari yangu nzuri kiasi nimeingizwa mjini leo
hapo kwenye kuonja onja hebu fafanua tunapenda kuonja nini

Pole kwa kuungizwa mjini.

Rudi kwenye post yako utajua nimemaanisha nini, maana ndio msingi wa jibu langu.
 
ahaaaaaa haujakutana na mapretender wewe,,,utafanyiwa vyote hivyo,,weka ndani uone balaa lake,,hivyo siyo vipimo bhana,,kama ipo ipo tu,,
 
wanaume acheni uvivu mnataka kupata haki za ndoa mkiwa nje ya game
ni ujinga kujishusha shusha kumfulia mtu hata posa hajatoa unajishusha hadhi mwanamke jipe thamani ya juu kama unataka utamu wa bidhaa inunue mambo ya kuonjaonja mwishowe ukinai hayakubaliki
Naomba comment hii aione Pacha wangu,mbona hupatikani siku hizi shem?
 
Wangu alinifanyia yote hayo nilipojitambusha kwao na kumuweka ndani alinibadilikia na kumtafuta house girl afanye kazi ye kutwa nzima kwa jirani, ilinikera sana hiyo tabia hivø nafikilia kumwacha tu
The door is open ...if not your fantasy
 
ahaaaaaa haujakutana na mapretender wewe,,,utafanyiwa vyote hivyo,,weka ndani uone balaa lake,,hivyo siyo vipimo bhana,,kama ipo ipo tu,,
Unampa tu adhabu ya divorce
 
Back
Top Bottom