Siri kumi(10) za dunia hizi hapa

HAKUNA SIRI YOYOTE HAPO ...
Kuhusu hiyo ya mbinguni na kuzimu, hayo yote hayapo. Amini kwamba hakuna kufa bal kuna kubadilisha mfumo tu. Sisi ni nishati, na nishati haiwezi kuharibiwa bali tu kubadilishwa.
Nani alikwambia hayo? Hayo umeyajuaje?
 
Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake huwenda leo isingekua namba moja kimauzo kwa soft drink(hili sio chimbo la Mshana Jr )...kwa hiyo siri nyingi zimekua zikitamanisha kuzifahamu nikaona nisiwe mchoyo niwaleteeni siri kumi(10) za dunia kwa mda mrefu bila kuvuja....

10. SIRI YA U.S. JUU YA NUCLEAR
Hili lipo wazi kabisa tumeona mataifa mengi ya magharibi yakificha taarifa za nuclear facilities zilipo location zao... Kulirusha bomu la nyuklia marekani ni taarifa nyeti sana wemgi tumeona ilo na nyuklia launch code zake zinalinddwa kwa hali ya juu sana na watu wachache mpaka leo watu muhimu wachache ambao ni states officials tu,,,idadi ya silaha inazo miliki na facilities imebaki fununu tu na alfulela ulela kwa raia wake,, hiii taarifa kamwe haitotolewa kwa umma.

kama taifa lenye nguvu duniani linanyua ni kwanini taarifa hizo ni a siri,,,na endapo mtu yoyote atakaejaribu zimiliki kinyamera (illigal) atakua amejitaadharisha Maisha yake,, na huwenda kwa watu wengine endapo taarifa izo zitapatwa na taifa lingine linalomiliki pia nyuklia,, huenda wanayo picha nzima dunia itakavyokua endapo vita ya nyuklia ikitokea (Mungu atuepushe kwa hili . Amen)

9. MAENEO(LOCATION) WANAPOCHIMBUA MADINI YA MAFUTA
Maeneo wanapochimbua mafuta marekani imeendelea kua siri kubwa ya location gani yalipo,, hili nalo kwanini imekua siri kwa serikali ya marekani? kumekua na uvumi ambao umekua ukitapakaa kwamba endapo ukigundua kiwanja chako kina mafuta na ukareport basi serikali itanunua chapu kiwanja chako, na wewe utaapishwa kufanya siri location ya kiwanja chako,,,huenda sababu inayo fanya ili iwe siri ni huenda wanaogopa ardhi hiyo ikijulikana watu matajiri watanunua watachimbua watapisha bomba wakinge mafuta wajipigie mapene (kaamate PESA MINGI). kwaiyo location za machimbo ya mafuta wanayomiliki marekani hayapo.

8. HUDUMA ZA MATIBABU NDANI YA U.S NI SIRI
kulingana na baadhi ya sheria za marekani nikosa lakisheria kuvujisha taarifa za mgonjwa popote. ..hili lipo kwingi na ndo lilivyo ni moja ya siri zinazo julikana kimataifa lakini,,,,, 'kweli kote wanaweza hili?' (naombeni majibu). serikali hutengeneza hili ili, kuweza kupunguza baadhi ya manyanyaso yatakayo wakumba wagonjwa.. kiapo kinacho apwa na mtaalamu wa afya nchini marekani kinaitwa 'hippocratic oath',,taarifa ya mgonjwa hutakiwa kuwa siri mpaka pale labda kutaahadharisha mgonjwa na kutadharishwa kwa mtu juu ya ugonjwa hatari., marekani taarifa za matibabu ni siri kubwa kama siri nyingine na hufikiwa na watu madhumuni tuu.

7. NAMNA YA KUFUNGA Hapsburg Napkin,
kama zilivyo siri nyingine,, je, unajua kua pia kufunga Hapsburg napkin ni moja kati ya siri kubwa ya taifa la AUSTRIA? sasa basi ndivyo ilivyo kujua kufunga Hapsburg napkin imebakia siri kwa taifa hilo special ilifungwa na meza ya AUSTRIA-HUNGARY royalt (hii nawaandalieni uzi wake), jambo lakushangaza Zaidi nikwamba kila mtu anaejaribu ifunga anashindwa kanuni ya ufungaji wake inalindwa na state few official..kuna mvumo unavuma eti kwa nini kufunga Hapsburg imekua siri?? basi hii ni kulinda culture yao ya kizazi na kizazi...

6. VIONJO VYA KFC (RECIPE)
Kwa waliowai onja diko la kfc ushawai jiuliza jamaa wanatumia vionjo gani kukarangiza mapochopocho yao? sasa basi acha kushangaa hapo kamwe hutojua wanatumia vionjo kiwango gani na kipi... vionjo vyao ni moja kati ya siri kubwa kama siri nyingine utanunua tu formular ukaangie kuku zako but ningumu kujua recipes ingredients zake..

recipe hii iligunduliwa na Herland Sanders mwaka 1930 at Kentucky jamaa alikua anakaanga kuku nje ya cabin yake izo kuku zikawa gumzo mtaani yani kila anae kula lazima asikie mchachafyo wakuzila tena na tena na usiache mtonya na mwenzako basi jamaa akakua kiivyo biashsara ilikubali na akufungua migaahawa pande tofauti tofauti za dunia....recipe inatunzwa makao makuu kwa ulinzi mzito,

5. ENEO (AREA), 51
Duniani hamna siri list itatoka bila kuacha kuitaja area 51 kama eneo mojawapo la siri duniani,,,,, ili eneo lipo jimbo ndani ya jangwa la Nevada limekua eneo la siri ndani ndani ya miaka sitini (60) mpaka kufikia mwaka 2013 ambapo CIA walikubali kwamba lile eneo nikweli la siri la jeshi la airforce marekani na linalindwa kwa uzito mkubwa kudhibiti muingiliano na raia,, mbali na eneo hilo kulindwa kwa umakini lakini bado hakuna mtu sahihi mpaka leo anejua ni nini kinalindwa uko,,,,,,

sasa nikwasababu gani eneo hilo mbali na ndege kunyimwa kukatiza hapo hata raia kwanini wakatawe??? majibu yalijibiwa mwaka 2013 na cia kwamba ''1955 eneo hilo lilitengwa kwa lengo moju kuu nalo ni kujaribu ndege zao za siri zijulikanazo kama aquatone ndege izi zilitumika kuchunguza machimbo ya Russia soviet ya nyuklia

4. ADOLF HITLER
Histiria inasema kuwa mnamo tarehe 30, april 1945, ilikua nisiku ya kifo cha adolf hitler m akiwa kwenye moja ya bunker zake (hivi huu ni ukweli??) au wasoviety walitudanganya? basi kuna taarifa zilivuja kutoka FBI zikionyesha kuwa hitler alikua mzima wa afya baada ya vita ya pili(2) ya dunia,,, mwamba alienda kuishi kula kiyoyozi kwenye milima ya Andes

je inawezekana hitler alifake kifo chake???
FBI wanasema jamaa alifake kifo chake, niraisi jamaa kufanya ivyo maana alikua na watu wengi wanao mchukia. jambo lakushangaza nikau fbi walijua haya yote kwanini wakafanya iwe bado siri???

3. HIV/AIDS
KWANZIA MWAKA 1980 kumekuwa na debate nyingi zikitafuta chanzo cha ugonjwa wa ukwimwi duniani, theorist wengi wanaonyesha kuwa chanzo cha ugonjwa wa ukimwi ni AFRIKA.
ila kwani ni kweli?

wengine wanaamini ugonjwa huu ni wa chanzo chakutokea maabara,,ugonjwa wa ukimwi chanzo chake ni maabara! nakama haitoshi ilo basi baadhi ya theorist wanasema pia tiba ya ugonjwa huu imeshapatikana mda sana,,, ila ni kwanini haipatiwi kimataifa kwa matibabu ya watu? wanaogopa nini?, au wanatumia ukimwi kama silaha ya kibiologia? nisuala la mda tu dunia itatambua dawa ya ukimwi ishapatikanaga.

2. coca cola fomula
unafahamu kwamba mbinu ya kutengenea coca cola ni siri kama ilizo siri nyingine usio zijua? waligomewa nchini India kuuza bidhaa zao maana serikali ilihitaji kukagua formula kwanza kabla ya kuuza bidhaa zao basi wakakataa wakaondoka zao na fomula yao,, hii fomula huchaguliwa watu wawili tu kwenye familia kuilinda basi na nilazima uape kwa wanavyojua wao (usiombe ujue!!!)

1. MAISHA BAADA YA KIFO (MBINGUNI NA KUZIMU)
Hii ni siri ambayo duniani kote inabidi ijue kwamba kuna Maisha baada ya kifo. Mbinguni na kuzimu kupo kweli, na tukifa ndo hivyo zipo sehemu mbili zakwenda, mbinguni na kuzimu (heaven and hell) hii sio kulingana na jamii moja au nyingine hapana hii yatuusu dunia yote nzima, sasa basi hakuna mtu anataka kwenda kuzimu no ones wants to rest his her eternity in flames.

Kila mtu anaitaji kwenda mbinguni!,,, sasa basi ni nini siri hapa? ni namna gani tunaweza kwenda mbinguni. Maisha baada ya kifo yapo kweli kuna watu wanasema kabisa na walikufa ila wakarudi na kushuhudia kuwa mbinguni na jehanamu kupo kweli na kuna watu uko,, kuna wanao adisia kuzimu kulivyo na jinsi kunavyo Tisha na wapo walio kwenda mbinguni nakusimilia jinsi kunavyo vutia...

kama umependa drop chochote
kama umejifunza weka comment

wako fungi06,,,,,
(hili sio chimbo la Mshana Jr )...kwa hiyo siri nyingi zimekua zikitamanisha kuzifahamu nikaona nisiwe mchoyo
 
Mbinu 1000 zinazotumiwa na CCM kupata ushindi kila Uchaguzi Mkuu unapoitishwa Tanzania ni SIRI inayolindwa sana pale Chimwaga Dodoma!
 
UKIMWI chanzo chake ni maabara maana yake ni kitu cha kutengenezwa (biological weapon) huu ni mradi watu wanapiga pesa hakuna ugonjwa hapa!
 
Freemason mwenye degree za juu hii ndio makitu zao make ukijiunga masonic unaoneshwa kabisa Maisha yataendeleaje baada ya uwepo wako
 
Back
Top Bottom