Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

Lakini nimechungulia kamusi inakwambia mtu anayemiliki Pound million moja au dollar million moja na zaidi...sasa swali linakuja je paundi au dollar million moja sawa na m1 ya kiTZ..hapa tunazungumzia value(Purchasing power)
Labda umilionea unaenda na hela ya nchi.

Ukiwa Zimbabwe kila mtu trillionaire.

Hahahaaa.
 
USIRI..... Hapa huwezi eleza umefanikiwaje...
mi naona anamaansha uwe unafanya mishemishe kimyakimya maana kuna majitu mengine yakijua unafanya kitu fulani umekwisha unaporomoka chini kwa slope ya 1
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Stop derailing the thread.

Hapa tunaongea umilionea, Yesu alikataza umilionea na hapa hafagiliwi.
Sasa ni wakati wa kumuitroduce Mungu to the thread![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Nashukuru mungu sna (ALHAMDULLILAH) mwaka 2018, umekuwa mwaka wangu wa mafanikio kwan baada ya kupitia changamoto nying za maisha, kudharaulika , chuki na fitna . Hakika mwenyez mungu alikuwa na lengo la kunifikisha hapa nilipo kwasasa nimeweza kumilik pesa ambazo zimenizid umri.
Siri kubwa ni kui trained akili yako kuekekea mafanikio na kumtumainia mungu tu. Na kujifunza kuwa MSIRI wa nini unafanya , itakusaidia Kukupa changamoto za kufikia mafanikio.
Jiunge na watu wenye mawazo chanya juu ya mafanikio, ikibid kuwa nao karbu sana. Bila kusahau hakuna naetaka kukuona UNAFANIKIWA, hivyo jiandae kuwa na madui wengi.
Wako ktk safar ya mafanikio.
Hongera kwa kupiga hela ndefu mkuu. Mungu amekuona.
 
Kwa akili za mademu wa kibongo hapo watajazana PM halafu kajamaa kataanza kiwatafuna mmoja baada ya mwingine,
Mpaka waje kustuka kwamba jamaa ni msaga mashine wa kijiji wala hana hayo mamilioni...kashawamaliza
 
Milionea au mwenye hela hajisemagi...ACHA UTAPELI. Pesa ni mtu kama wewe, ukiwa nayo itaongea yenyewe shubaamit.
 
Umeniwahi mkuu, Kimarekani millionea ni mtu mwenye assets na cash (ukiondoa nyumba anayoishi, hii haihesabiwi) zinazozidi dola za Kimarekani milioni moja.

Sasa Tanzania milionea ni nani?

Mtu mwenye mali na fedha zilizozidi shilingi milioni moja?
Ukiwa na gari ya milion 30, nyumba kimara au tegeta, duka k.koo basi huku wewe ni milioneaa.
 
Back
Top Bottom