kalamu ya chuma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 214
- 63
milioni 5 kwangu ni milionea ahahahaha jamani mambo haya kama kusadikika hivi sawa lakn
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu njoo pm milionea wangu
watu na vipaji vyaoHebu njoo pm milionea wangu
Umeniwahi mkuu, Kimarekani millionea ni mtu mwenye assets na cash (ukiondoa nyumba anayoishi, hii haihesabiwi) zinazozidi dola za Kimarekani milioni moja.Hivi mpaka uwe na million ngapi ndo unaanza kuitwa milionea...?
Kamata fursa mama. Naona miss chagga alikuachia kiti maana simuoni humu sikuhizi[emoji23]Hebu njoo pm milionea wangu
Kibongobongo ukiwa na milion unajiita milioneaUmeniwahi mkuu, Kimarekani millionea ni mtu mwenye assets na cash (ukiondoa nyumba anayoishi, hii haihesabiwi) zinazozidi dola za Kimarekani milioni moja.
Sasa Tanzania milionea ni nani?
Mtu mwenye mali na fedha zilizozidi shilingi milioni moja?
Umemsahau miss chagga mkuu. Sijui kapotelea wapi sikuhiziMkuu akina Miss Natafuta na akina Demiss wakija pm wapotezee!![emoji53][emoji53][emoji53]
Sasa milioni mbona hata hela ya shopping weekend haijafika?Kibongobongo ukiwa na milion unajiita milionea
Mkuu dawa ni kwenda kukata nyasi goba![emoji53][emoji53][emoji53]Hongera mkuu, sisi wengine vyuma vinaendelea kukaza!
Mkuu Bwana Yesu asifiwe![emoji53][emoji53][emoji53]Umeniwahi mkuu, Kimarekani millionea ni mtu mwenye assets na cash (ukiondoa nyumba anayoishi, hii haihesabiwi) zinazozidi dola za Kimarekani milioni moja.
Sasa Tanzania milionea ni nani?
Mtu mwenye mali na fedha zilizozidi shilingi milioni moja?
Kanipa tender ingine juzi ofisini kwao....dili kubwa!Mkuu dawa ni kwenda kukata nyasi goba![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji53][emoji53][emoji53]Kanipa tender ingine juzi ofisini kwao....dili kubwa!
Unafahamu kwamba kwetu tunampenda sana Yesu siyo?Mkuu Bwana Yesu asifiwe![emoji53][emoji53][emoji53]
Mbona sasa hujajibu 'amen'?Unafahamu kwamba kwetu tunampenda sana Yesu siyo?
I have vicars for a grandfather and a great-grandfather on both sides of my families.
Lakini nimechungulia kamusi inakwambia mtu anayemiliki Pound million moja au dollar million moja na zaidi...sasa swali linakuja je paundi au dollar million moja sawa na m1 ya kiTZ..hapa tunazungumzia value(Purchasing power)Sasa milioni mbona hata hela ya shopping weekend haijafika?
Ukimnunulia bibie Italian leather handbag ya Alessandro Mari ya bei rahisi USD 120, ukamnunulia dogo tablet ya bei rahisi aangalie Youtube videos in HD, Amazon Fire HD ya USD 140, ukajinunulia mtwango presidential wa Jihnston & Murphy wa $ 150, halafu mmalizei siku kwa dinner ya $80 mbona milioni imekwishavukwa hapo?
Tena hapo umechagua vitu vya bei rahisi rahisi hujatakakufanya matumizi mabaya ya fedha!
Kwa rate ya Google ya leo 1 USD = 2,279.50 TZS.
Hapo juu jumla ni USD 490.
490 X 2279.5 = 1,116,955.
Hapo bado sijaweka kodi na tip kwenye restaurant.