Hahah et msaga mashine, em tuheshimu wasaga mashineKwa akili za mademu wa kibongo hapo watajazana PM halafu kajamaa kataanza kiwatafuna mmoja baada ya mwingine,
Mpaka waje kustuka kwamba jamaa ni msaga mashine wa kijiji wala hana hayo mamilioni...kashawamaliza