Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

Mkuu, marekani serikali na makampuni binafsi hulipa watumishi wake mishahara kwa mwezi? Wiki? Siku? Au vipi?
Kanuni muhimu ya Umarekani ni kwamba hakuna sheria moja kwa kila mtu. Hata kama kuna haki sawa kwa wote.

Kila state inaweza kupanga sheria yake tofauti, kuna state 50.

Na hizo states nazo, zina local governments za counties, kama wilaya, nazo zinaweza kupanga sheria zake tofauti.

Na hata hizo wilaya nazo, zina vimiji miji tofauti (chukulia kama Magomeni uwe mjiunajitegemea, Mwenge uwe mji unajitegemea, Ubungo uwe mji unajitegemea, na kila mji uweze kupanga sheria zake, na mara nyingine mji mkubwa kama Dar uwe na sheria zake).

Nikazi sana kujibu swali hili kwa mkupuo kwa kuangalia mifumo ya Marekani, wamejiwekea mifumo iwe flexible kutokana na mahitaji yao.

Ila, watu wengi huwa wanalipwa kila wiki au kila baada ya wiki mbili. Ni nadra sana kukuta mtu analipwa kwa mwezi, sijawahi kukutana na hilo katika kuishi kwangu US.

Inawezekana, kwa watu wanaofanya kazi za kawaida, kulipwa kila mwezi kunaharibu mzunguko wa fedha.

But that's just me.
 
Mleta uzi, huu uzi wako una dhamira ya ziada nje ya ulichokielezea, msomaji na aelewe!
 
Ni kweli mtu mwenye MBA aliye maliza Stanford analipwa dola 400k?
 
Ni kweli mtu mwenye MBA aliye maliza Stanford analipwa dola 400k?
Marekani ni nchi isiyo na sheria moja kwa watu wote. Hata kama ina haki sawa kwa wote.

Kuna sehemu unaweza kunyimwa kazi kwa sababu una MBA. Hawataki MBA.

Kuna sehemu mtu mwenye MBA ya Stanford anapewa offer ya $400,000 anaikataa, kwenye ma startups huko inaweza kuwa too low. San Fransisco ukiwa na household income ya chini kidogo tu ya $120,000 unahesabiwa masikini unaweza kupewa msaada na serikali kujikimu.

Soma hapa San Francisco Is So Expensive, You Can Make Six Figures and Still Be ‘Low Income’

Huyo huyo MBA wa Stanford, akienda kufanya kazi serikalini apande ngazi mpaka White House, anaweza kulipwa $40,000 kwa mwaka, hii ni hela ambayo hata ada ya shule ya mwaka mmoja Stanford haijafika.Kwa kweli haijafikia theluthi ya gharama za kusoma mwaka mmoja Stanford kwa mtu single anayeishi off campus.

Cost ya mwaka mmoja kufanya MBA Stanford kwa mtu single anayekaa off campus, kabla ya financial aid ni around $120,000

"Cost of attendance is one of the primary components used to calculate your financial aid package. Below is the estimated cost of attendance, including tuition and other expenses, for a first-year MBA student for the ten-month academic year (15 Sep 2018 – 13 Jun 2019)."

Ona hapa Cost of Attendance

Katika list hii hapa chini ya mishahara ya wafanyakazi wa White House, kuna "Associate Director" (typically mtu kama huyu amesoma angalau graduate school, inawezekana shule kama Stanford) analipwa $ 40,000 kwa mwaka

Ona mishahara yao wenzetu wanaweka wazi hapo chini. Sisi hatujui wafanyakaziwa serikali wanalipwaje.

https://www.whitehouse.gov/sites/whitehouse.gov/files/docs/disclosures/07012017-report-final.pdf

Marekani ni maisha ya kukokotoa namba, hakuna jibu la moja kwa moja.
 
Nachojua mimi kama kuna shughuli unaifanya na inakupa kipato basi kuna siku itakupa pesa mpaka usiamini. 1997-1998 kipindi kile cha el nino ndio mwaka niliopata pesa kwa urahisi na kwa faida ya kufuru.

Nilikuwa nabadilisha unga wa sembe kwa kupewa ng'ombe. 1997 kulikuwa na mvua kubwa iliyopwlekea wakulima kushindwa kulima. 1998 kukawa na njaa. Hapo hapo nikatumia kama fursa. Sembe tani 10 kwa ng'ombe 20. Asikuambie mtu nikichafuka pesa nikiwa bado dogo kabisa.
hongera ila saizi hope zime isha
 
Nashukuru mungu sna (ALHAMDULLILAH) mwaka 2018, umekuwa mwaka wangu wa mafanikio kwan baada ya kupitia changamoto nying za maisha, kudharaulika , chuki na fitna . Hakika mwenyez mungu alikuwa na lengo la kunifikisha hapa nilipo kwasasa nimeweza kumilik pesa ambazo zimenizid umri.
Siri kubwa ni kui trained akili yako kuekekea mafanikio na kumtumainia mungu tu. Na kujifunza kuwa MSIRI wa nini unafanya , itakusaidia Kukupa changamoto za kufikia mafanikio.
Jiunge na watu wenye mawazo chanya juu ya mafanikio, ikibid kuwa nao karbu sana. Bila kusahau hakuna naetaka kukuona UNAFANIKIWA, hivyo jiandae kuwa na madui wengi.
Wako ktk safar ya mafanikio.
mkuu nipe njia na mimi japo kidogo kwa inbox nione inakuwaje
 
Hyo mungu veep ni yule Mungu ninaemjua mm au mungu yule wa insta wakushikwa na manyonyo
 
Hii Kasi ya Rais Magufuli ni noma sana .

Hongera mkuu
 
Kwakuwa umesema ni SIRI tunashindwa kuelewa umefanya nini SIRI yako ikatimia na umeingiza milioni ngap/SIRI mpaka ujiite millionaire.
Kha! Yaani kumbe ukiwa msiri tu basi pesa zinaanza kumiminika kwenye akaunti zako bila hata kujua ABC ya investment,bila hata ya kuwaza kulima tuta la mchicha na kwenda kuuza kilombero,bila hata ya kuwa na uelewa wowote juu ya financial managing,total hogwash!! Halafu eti wewe ni milionea hata kuandika kisanifu huwezi! We nenda PM kwa Miss Natafuta ukamdanganye umle puchi ukalale zako ghetto!
 
Amdanganye nani.document kwanza mzigo baadae
 
Back
Top Bottom