Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Status
Not open for further replies.
Lengo hasa ni nini, ni kuua vyombo vya habari vinavyofanya vizuri au ni kuviboresha zaidi.

Lazima kuna motive nyuma ya kila jambo moja kubwa ninaloliona ni kujinufaisha binafsi.unaelewa hierarchy of needs ilivyo hao jamaa hawahitaji tena fedha kama njia ya uchumi tu bali wanataka physiological need ambayo ndo inayoonesha utukufu wao(status symbol) na ili kuzima chochote kinachoweza kuwasurubu kwa matangazo wanahakikisha kuna mbadala Wa kuzuia!
 
tbc + clouds + uhuru radio + mzalendo v/s ipp + tanzania daima / powers of the news / mlalahoi
 
Habari Za Uhakika Nilizozipata Kutoka Kwa Mtu Wa Ndani Kabisa Na Very Senior Kutoka Clouds Media Inayomiliki Redio Mbili Clouds FM Na Choice FM Pamoja Na Runinga Ya Clouds Tv Imenunuliwa Na Tajiri,

Mwanasiasa Na Mfanyabiashara Maarufu Hapa Nchini Tanzania Rostam Aziz Na Kwamba Kuanzia Wiki Iliyoisha Wafanyakazi Wote Wa Hiyo Media Walikuwa Wakiingia Mikataba Mipya Na Management Mpya Ya Bwanyenye Huyo Na Kwamba Kununuliwa Huku Kwao Hao Ni Politically Motivated.

Kazi Ipo Mwaka Huu!!!
Mimi sioni la ajabu lolote hapo. Hayo ni masuala ya kibiashara tu. Mtu anaweza kuanzisha kampuni na kisha kuamua kuiuza. Hakuna tofauri na mtu anayenunua gari au kujenga nyumba na kisha baadaya kuiuza.

Inawezekana mmiliki wa awali ameona ameshindwa kuiendesha au anataka kubadili biashara. Mbona hoteli, shule zinauzwa na juzi juzi kulikuwepo Shop rite ikauzwa na sasa ni Nakumati! Hayo mambo ya political motivation hayana hoja kwasababu hayo ni maamuzi ya mwenye mali.

Anaweza hata akamua kuitumia kwa mambo ya kidini. Hakuna la ajabu na hiyo kazi unayosema haipo!
 
Nilijua wachangiaji wa hii mada ni great thinkers kumbe loool! ni ushuzi thinkers(Hapa nawalenga walioponda bila vielelezo). Wewe ndg unayejiita Gentamycin unakurupuka na kuandika uongo kwa lengo gani hasa? tena bila kujua hata vyeo vya hao unaowataja kuwa Seniors wa Clouds FM.

Kwa kifupi Clouds ina Wakurugenzi watatu tu nao ni Joe Kussaga, Ruge na Sheba Kussaga. Sasa huyo kidampa wako aliyekupa uongo kuwa yeye ni senior wa clouds wakati clouds haina raia wa kigeni hata mmoja ambaye ana cheo cha juu ni uongo na pia usianze kuonesha chuki binafsi kwa watu waliokuzidi kimaendeleo.

Gentamycin inaonesha wazi hujjui kuchanganya akili zako na za kuambiwa, umepewa umbea na wewe kurupuuuu unaaanza kuchafua watu na kampuni zao. Clouds Fm SUPER BRAND RADIO haijauzwa na wala hiyo mikataba unayoisema siyo ya huyo bwanyenye unayemsema.

Pia hilo jengo ulilokuwa unalolitaja halitumiwi tena Clouds Fm , hiki ni kielelezo tosha kuwa aliyekuambia hajui hata uongozi wa ofisi ya clouds upoje.Napenda kukujulisha kuwa siku nyingine ukiona hujui mambo kwa kina usijaribu kutafuta umaarufu usio natija kwa jamii.

ukitaka kujua zaidi nitumie PM.
 
Rostam Aziz ni mfanyabiashara kama wengine kununua au kuwekeza pesa zake anapoona kunafaida sio kosa labda abadir malengo ya uanzishwaji wa clouds fm na aweke yake ambayo yana negative effect kwa taifa hapo tutakuwa na la kujadili
 
SHANTI

Sasa Kwa Maelezo Yako Haya Marefu " Je Nani Ni Mbwa Nani Ni Mwenye Mbwa? ". Kicheo Hapo Clouds Wewe Ni Jibwa au Mwenye Jibwa?
 
Last edited by a moderator:
SHANTI,

Huna Hadhi Ya Kutumiana PM Na Mimi Weye! Nimekosa Watu Wa Kutumiana Nao PM Hadi Leo Hii Nikutumie Wewe? Kwa Lipi ULILONALO?
 
Last edited by a moderator:
Nilikwisha Waambieni Kuwa Ipo Siku Tu Mtanipigia Salute. Nyie Hamshangai Tu Ni Kwanini Najiamini Kiasi Hiki? Tafakarini Kwa Kina Mtanielewa Tu.

mkuu this is a great news maana sasa naona njia ya lowassa inaendelea kusafishwa
 
Gentamycine unapaswa utambue kuwa ndugu kussaga ni mjasiriamali anyeona mbali...kamwe hakuuza isipokuwa ameuza hisa na akaingia ubia ili kuipanua clouds na kuiongezea uwezo isambae nchi nzima..hayo ya politics ni yako

Habari Za Uhakika Nilizozipata Kutoka Kwa Mtu Wa Ndani Kabisa Na Very Senior Kutoka Clouds Media Inayomiliki Redio Mbili Clouds FM Na Choice FM Pamoja Na Runinga Ya Clouds Tv Imenunuliwa Na Tajiri,

Mwanasiasa Na Mfanyabiashara Maarufu Hapa Nchini Tanzania Rostam Aziz Na Kwamba Kuanzia Wiki Iliyoisha Wafanyakazi Wote Wa Hiyo Media Walikuwa Wakiingia Mikataba Mipya Na Management Mpya Ya Bwanyenye Huyo Na Kwamba Kununuliwa Huku Kwao Hao Ni Politically Motivated.

Kazi Ipo Mwaka Huu!!!
 
Sijapata Habari Hizi Kwa Mbwa Wewe Bali Nimezipata Kutoka Kwa Mwenye Mbwa Tena Yupo Hapo Hapo ILA Amenisihi Nisimtaje. Fuatilia!

Tatizo lako mkuu ni hilo. Ukipata mtu kukuchalenji hukawii kumwaga matusi. Nilitaka kukupa changamoto ila nikaogopa utaniharibia siku.
 
Mwenendo wa clouds ulishaonyesha, so si kitu cha kushangaza, wafanyakazi waandike wameumia, after two yrs ishakufa, au itakuwa saw na uhuru fm
 
Wadau ni kwelii clouds media group imenunuliwa na Rostam azizi naona ndio story zilizopo mjinii
Wenye kujua mtupe ukweluu
 
Yelewi......!!! Kununuliwaje? Yaani nauliza ameinunua ikwa maana ya kulipia matangazo ama amekuwa mmiliki wa Clouds Media Group? Fafanua mkuu.
 
Kusaga atatoa ufafanuzi kesho .....Hando kadhibitisha ......
 
Hapo kama namuona papaa Ephraim kibonde akikalia kiti cha ukurugenzi wa clouds media,---Kama taarifa hii ni ya kweli.

BWIGA na KIBONDE mnauhakika wa UKUU wa Wilaya hasa wilaya ya KINONDONI Novemba 2015.Hongera BWIGA na KIBONDE baada ya Makonda atakapoondolewa ukuu baada ya LOWASA kuingia madarakani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom