Habari Za Uhakika Nilizozipata Kutoka Kwa Mtu Wa Ndani Kabisa Na Very Senior Kutoka Clouds Media Inayomiliki Redio Mbili Clouds FM Na Choice FM Pamoja Na Runinga Ya Clouds Tv Imenunuliwa Na Tajiri,
Mwanasiasa Na Mfanyabiashara Maarufu Hapa Nchini Tanzania Rostam Aziz Na Kwamba Kuanzia Wiki Iliyoisha Wafanyakazi Wote Wa Hiyo Media Walikuwa Wakiingia Mikataba Mipya Na Management Mpya Ya Bwanyenye Huyo Na Kwamba Kununuliwa Huku Kwao Hao Ni Politically Motivated.
Kazi Ipo Mwaka Huu!!!
GENTAMYCINE a.ka
MWALI KIGEGO usiyejua kwa nn umechezwa na kufundwa, Aahahahaha Eti nimepewa taarifa na mwenye mbwa hahahahaha pole sana mwenye mbwa anaishi ABU DHABI.
ukiona unaweza kusoma meseji ya kijibwa si ajabu na wewe umeumbwa na unapatikana kwenye specie moja na
MBWA. Sasa mbwa mwenzangu maana naamini binadamu hawawezi kujua mbwa wakibweka tunaongea lugha gani ? ila kwa kuwa umegundua ninabwekaje haya sasa
tubweke ili watu wajue kuwa
GENTAMYCINE NI MBWA miongoni mwa mbwa wanaobweka jamii forum ahahahaha ni vizuri ungejitambulisha kuwa wewe ni aina gani ya
MBWA .
Unanipa wasiwasi kujua ww kama ulielimika na ukaelewa nini maaana ya kuropoka na kuongea kwa evidence?
WEWE MBWA MWENZANGU( GENTAMYCINE) Unaonekana ni product ya
SHULE ZA KATA, maana wenyewe hawajui hata kwa nini wanasoma na mwishowe huishia kuandika mashairi kwenye answer sheet zao, sioni sababu ya wewe kuorodhesha matusi badala ya kueleza ukweli.
hata kama ni masuala ya kisiasa hakuna mwanasiasa mwenye kuongea kwa kukurupuka, ukienda
CDM wanaongea kwa fact ,
UKIENDA CCM nao wanaongea kwa fact ila wewe ndio
MBWA UNAYEBWEKA BILA KUONA MWIZI sasa kama unaweza weka namba yako tukufanyie Y
OU HEEEEEEEEEEEEEEEEEARD ili wakufunge domo lako.
kama kweli wewe mwanaume na unajiamini weka namba yako ya simu udhibitishe madai yako.
si ajab ndio wale wanaotumia madawa ya kulevya