Haujamuelewa! Clouds ni tbccm3!
Hapo kama namuona papaa Ephraim kibonde akikalia kiti cha ukurugenzi wa clouds media,---Kama taarifa hii ni ya kweli.
ww una akil,, big-upIkiwa kweli ntakupa milioni kumi ila note kutoka kwangu hizi ni tarifa za uongo kabisa ambazo hazina kichwa wala miguu.
Kwani boss wa chanel ten,si ndo huyohuyo RostamVery soon itakuwa kama TBC ,na itabaki na wtazamaji kiduchu,watu wataendelea kuangalia ITV na Channel 10 tu.
kwa kura zinapigwa kwa njia ya redio au tvAisee basi tena LOWASSA kaishakua rais manake atapata promo ya kufa mtu ha ha hanha