mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,088
- 132,557
kanjanja umeumbuka na stori zako za bange za vijiweni,bange noma
Hivi mtu una kurupukaje na stori I siyo kuwa na ukweli mkuu! Dah jamaa nomaa
kanjanja umeumbuka na stori zako za bange za vijiweni,bange noma
...@ GENTAMYCINE na wewe tunaomba ututhibitishieee
Sasa nimeanza kuamini Joe kusaga keshahamishia makazi na shghuli Abhu Dhabi( Clouds intelnation) soon alikuwa anojiwa .Nadham ameuza kiasi kikubwa cha hisa za Clouds Media(kibiashara zaidi) anadai watazidi kuimarika katka Matamasha zaid( Amesoma Alama za Nyakati)
Tatizo lako mkuu ni hilo. Ukipata mtu kukuchalenji hukawii kumwaga matusi. Nilitaka kukupa changamoto ila nikaogopa utaniharibia siku.
Tatizo lako mkuu ni hilo. Ukipata mtu kukuchalenji hukawii kumwaga matusi. Nilitaka kukupa changamoto ila nikaogopa utaniharibia siku.
Wadau ni kwelii clouds media group imenunuliwa na Rostam azizi naona ndio story zilizopo mjinii
Wenye kujua mtupe ukweluu
Mkuu ukiona mtu anakimbilia kujihami kwa matusi jua ni debe tupu hakuna alijualo zaidi ya ukurupukaji tu.
Hata Aliyekuzaa Nae Alikurupuka Kukutoa LEBA Na Hatimaye Kukuweka Ktk Hilo Hilo Debe Lililokuwa Tupu Na Ndiyo Maana Ni Lumpen Perse.
Hawa ndo baadhi ya watu wanataka kushusha UBORA wa JF, MOD chukueni hatua za haraka.
Pia tujifunze tuwe tunatoa habari sahihi na za ukweli.
Ok kwa hyo tayari tumeshasikia kuwa rostam kanunua iyo media ya cloudz kama ulivyoleta hyo thread yako hapa ndani tayari tumesikia aya unataka nini tena labda si umeshaleta info sepa bas kama vp....??
Mod mmeshindwa kazi?
GENTAMYCINE a.ka MWALI KIGEGO usiyejua kwa nn umechezwa na kufundwa, Aahahahaha Eti nimepewa taarifa na mwenye mbwa hahahahaha pole sana mwenye mbwa anaishi ABU DHABI.
ukiona unaweza kusoma meseji ya kijibwa si ajabu na wewe umeumbwa na unapatikana kwenye specie moja na MBWA. Sasa mbwa mwenzangu maana naamini binadamu hawawezi kujua mbwa wakibweka tunaongea lugha gani ? ila kwa kuwa umegundua ninabwekaje haya sasa tubweke ili watu wajue kuwa GENTAMYCINE NI MBWA miongoni mwa mbwa wanaobweka jamii forum ahahahaha ni vizuri ungejitambulisha kuwa wewe ni aina gani ya MBWA .
Unanipa wasiwasi kujua ww kama ulielimika na ukaelewa nini maaana ya kuropoka na kuongea kwa evidence? WEWE MBWA MWENZANGU( GENTAMYCINE) Unaonekana ni product ya SHULE ZA KATA, maana wenyewe hawajui hata kwa nini wanasoma na mwishowe huishia kuandika mashairi kwenye answer sheet zao, sioni sababu ya wewe kuorodhesha matusi badala ya kueleza ukweli.
hata kama ni masuala ya kisiasa hakuna mwanasiasa mwenye kuongea kwa kukurupuka, ukienda CDM wanaongea kwa fact , UKIENDA CCM nao wanaongea kwa fact ila wewe ndio MBWA UNAYEBWEKA BILA KUONA MWIZI sasa kama unaweza weka namba yako tukufanyie YOU HEEEEEEEEEEEEEEEEEARD ili wakufunge domo lako.
kama kweli wewe mwanaume na unajiamini weka namba yako ya simu udhibitishe madai yako.
si ajab ndio wale wanaotumia madawa ya kulevya