Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Status
Not open for further replies.
Hawezi anzisha kitu huyo fisadi gamba alianza kununua habari coporastion sasa clouds naanza kuickiliza na kuingalia mara ya mwisho mwisho kumbe
 
Duuuu! kazi ipo. Kwa hiyo radio uhuru ndogo hiyo sasa
 
politically motivated! kwa hiyo huo utumbo wa clouds media ndo bado walikuwa hawajabinywa na ccm!!!?
sasa baada ya hapo itakuaje!
huu mwaka chupi zitapata pancha.
 
Waswahili husema asiejua maana haambiwi maana! Nauheshimu usemi huo especially nyakati hizi!

Misemo mingine ilishapitwa na wakati, kama ni hivyo kwa nini unawapeleka watoto wako shule !! Wewe unathani maana unayoijua lazima kila mtu aijue au kazi ni kupinga tu kila kitu kinachofanywa na Serikali bila kushirikisha akili. Wewe mali za Rostam zinakuhusu nini ? Tafuta za kwako.
 
Akili yako inafanana kabisa na jina unalolitumia nakushauri ujivue ilo jina kwanza ndipo uandike nina hakika utakuwa umefunguka
 
Mkuu, hivi kwa nini unatumia nguvu nyingi kutukana, badala ya kunielimisha nielewe madhara yatakayosababishwa na Rostam kuinunua Clouds media ambacho ni kitu binafsi.

Nakiri kabisa kuwa sioni kama kunatatizo kwa kuwa ni biashara binafsi, miye naona hakuna madhara maana hiyo ni biashra binafsi kama vile wewe ungeweza kukinunua na kuendelea na biashara yako.

Aidha, kuhusu jina sijui kama hata wewe unaelewa maana ya jina lako katika lugha za watu wengine.
 
Mkuu, hivi kwa nini unatumia nguvu nyingi kutukana, badala ya kunielimisha nielewe madhara yatakayosababishwa na Rostam kuinunua Clouds media ambacho ni kitu binafsi.

Nakiri kabisa kuwa sioni kama kunatatizo kwa kuwa ni biashara binafsi, miye naona hakuna madhara maana hiyo ni biashra binafsi kama vile wewe ungeweza kukinunua na kuendelea na biashara yako.

Nisamehe kama umeona nimekutukana. Katika jamvi hii kuna washiriki ambao wako kivita na hawataki kuelewa hata ukiwaelewesha hawataki kuelewa. Ok ninavyoona ni kuwa huyo anaetaka kununua keshaona chombo kinakubalika na kama walivyofanya kwa gazeti la rai na mtanzania ndivyo atakavyofanya huko
 
Ahaa, Mkuu si unaona sasa naelekea kuelewa hoja yako ilipolala, ina maana kwa kuwa hicho chombo kinakubalika hasa kwenye kundi fulani hivi, kinaweza kuja tumika kwa ajili ya propaganda wakati ukifika, niko sawa ? Hata hivyo, unaweza kuta ndo Clouds inajimaliza hivyo, ingawa niko nje ya Tz, sithani kama hayo magazeti yanafanya vizuri sasa hivi.
 
Baki Hivyo Hivyo Na Huo UPOPOMA Wako. AU Niwawekeeni Na Nyeti Nyingine Ya Kuhusiana Na Hili? Najiamini Na Sijakurupuka Wakuu!

Ushaaminika kwani clouds ni tawi la ccm since then. Hao wanaobisha ni team Membe ambao wanaona njia inaanza kuota misumari ya nchi kumi.
 
Ahaa, Mkuu si unaona sasa naelekea kuelewa hoja yako ilipolala, ina maana kwa kuwa hicho chombo kinakubalika hasa kwenye kundi fulani hivi, kinaweza kuja tumika kwa ajili ya propaganda wakati ukifika, niko sawa ? Hata hivyo, unaweza kuta ndo Clouds inajimaliza hivyo, ingawa niko nje ya Tz, sithani kama hayo magazeti yanafanya vizuri sasa hivi.

Ni kweli hayafanyi vizuri tena kama yalivyokuwa yanamilikiwa na Jenerali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom