Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Status
Not open for further replies.
Sikia dongo lako clauds umeambiwa unatumia madawa ya kulevya. Pole GENTA

Ebwana Sijalisikia Wamelisema Saa Ngapi? Huwa Hawana Marudio Ili Niwasikilize? Hakika Hakuna Kama GENTAMYCINE East Africa, Africa Na Duniani.
 
Mwenyewe Kusaga kakanusha haijauzwa wala hakuna mpango wa kuiuza, acheni ujuaji mwisho mnaongea uongo.
 
Ila kwa upande mwengine naweza kumuamini GENTAMYCINE maana huyo huyo rostam ndo aliinunua habari corporation wakati wa kuelekea uchaguzi 2010. Pesa yq kufanya ivyo anayo so sion sababu ya kushindwa.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuih wa tz kwa maneno??kwanini nyie nao msinunue vyenu acheni hizo mie hapa naitaka tbc fm na tbc one mjue
 
Jamani kwa mlikofikia naamini mna vipaji sana c bora hiyo mitusi mnayomwagiana hapa mngeiweka na kwny mashairi ya taarabu ili muwe mnatukanana kwa nyimbo na sisi tuendelee kuburudika
 
Acha uongo wew, akuna kitu kama hicho,

Na Tena Wakizidi Kubisha Na Kujifanya Wanani Diss Sasa Nitavunja Ukimya Na Kutaja Majina Ya Watu Walionipa Hizi Taarifa, Nitaweka Namba Zao Hapa Na Nyadhifa Zao Na Hadi Mahala Tulipokuwa. Na Bahati Mbaya Hao Watu Wote Ni Maarufu Hapo Isipokuwa Tu Huyo Mmoja Ambaye Ni Mwandamizi Hapo...........Nyie Clouds Endeleeni Kunichokonoa Nimwage UGALI, MBOGA,SAHANI, MCHUZI Na Mpaka Maji Ya Kunawa Hapa. Na Cha Kushangaza Hata Huyo Mmoja Wao Aliyenisihi Kuwa Nisimtaje Nasikia Leo Kanipiga Dongo Studioni Na Najua Unanijua Hivyo Una Dakika Zako Chache Tu Za Kunitafuta Tena Kwa Njia Ile Ile Uliyonipata Na Uniombe Radhi La Sivyo Nakuumbua Humu Na Ulivyokuwa Mburula Hata Wakati Unanipa Hizi News Nilikutegeshea Camera Bila Kujijua Na Pia Nilikurekodi. Nilinyamaza Nikijua MNGEJITATHMINI Kwanza Ila Kumbe Mnajifanya Kunigeuka Na Kutumia Kipindi Chenu au Media Yenu Kunidiss Sasa Nataka Wewe Mtangazaji Nguli Hapo Na Wewe Mfanyakazi Mwandamizi Hapo Mniombe Radhi GENTAMYCINE Upesi La Sivyo Nawamwagia UHONDO Na UDAMBWIDAMBWI Wenu Wote Members Humu Kisha Watapima Mimi Na Nyie Nani Ni MNAFIKI na MKWELI Na Ikibidi Hata Sauti Zenu Nazo Nitazitupia Humu. Mnamwibia Ruge Na Jose Makaratasi Yao Nyeti Halafu Mnajipendekeza Kwa GENTAMYCINE Niwasaidieni Kusema Yaliyomo Kisha Mnanigeuka Na Kunisema Redioni. Nasubiri Mniombe Msamaha Tena Haraka! Nawashukuruni Pia Kwa Kuniambia Kuwa Nabwia Unga ILA Ukweli Wenu Wote Clouds Wa Kuhusu Sakata La Marehemu Mangwea Na Kifo Chake Na Madawa Ya Kulevya NINALO. Nawajua Kuliko Hata Mnavyonijua Na Nina Yenu Kibao Na Yenye Ushahidi Tena Uliyotimilifu. Madawa Ya Kulevya Mnayosema Natumia Ndiyo Yananisaidia Ktk Kujua UPUUZI Wenu Ktk Jamii. Niliwaheshimu Mno Ila Sasa Nawachenjia!
 
Kama kaamua kutanua wigo wa biashara zake Ni vizur
Au Kuna ubaya mtu kutanua kibiashara
Wa tz tuache majungu na roho mbaya
 
Mods wawe makini na huyu mleta thread hii, ni mtutsi mwenye chuki na Tanzania.

Kuuzwa Kwa Clouds Media Na Ututsi Wangu Vinahusiana Vipi Hapa? Kwani Imenunuliwa Na Mwanamume Paul Kagame? Jaribu Kufikiri Kidogo.
 
JF Imeanza Na Ubora Wake, Inaendelea Kuwa Na Ubora Wake Na Itazidi Kuwa Tu Na Ubora Wake Whether GENTAMYCINE na GASY WA UKWELI Wawepo au WASIWEPO Na Jiulize Swali Wewe Na Mods Nani Ni Mwerevu? Kwa Niwajuavyo Mods Na Waanzilishi Na Wamiliki Wa Hii Forum Ni Watu Wenye UTASHI WAO TIMILIFU Na UPEO Mkubwa Wa Kupima Mambo Na Masuala Na Hawana UPUUZI Kama Wako. Labda Hizo Hatua Za Haraka Wazichukue Kukutoa Wewe ILA Narudia Tena Na Tena Na Kwa MSISITIZO MKUBWA Kuwa CLOUDS MEDIA IMESHAUZWA KWA Bwanyenye Rostam Aziz Hutaki au Unaona Umeumia JINYONGE! Sikurupuki Kama UFIKIRIAVYO Na Najiamini Haswa.

Mbona kama umePANIC, nimemsikia Mkurugenzi mkuu wa Clouds Media amesema hawajauza. Sasa sisi tunamwamini mwenye Kampuni, pia kasema hiyo ni biashara kama wakiuza watasema, sasa vipi sisi tukuamine wewe mwenye FAKE ID.

Labda utulete mkataba halali.
 
Na Tena Wakizidi Kubisha Na Kujifanya Wanani Diss Sasa Nitavunja Ukimya Na Kutaja Majina Ya Watu Walionipa Hizi Taarifa, Nitaweka Namba Zao Hapa Na Nyadhifa Zao Na Hadi Mahala Tulipokuwa. Na Bahati Mbaya Hao Watu Wote Ni Maarufu Hapo Isipokuwa Tu Huyo Mmoja Ambaye Ni Mwandamizi Hapo...........Nyie Clouds Endeleeni Kunichokonoa Nimwage UGALI, MBOGA,SAHANI, MCHUZI Na Mpaka Maji Ya Kunawa Hapa. Na Cha Kushangaza Hata Huyo Mmoja Wao Aliyenisihi Kuwa Nisimtaje Nasikia Leo Kanipiga Dongo Studioni Na Najua Unanijua Hivyo Una Dakika Zako Chache Tu Za Kunitafuta Tena Kwa Njia Ile Ile Uliyonipata Na Uniombe Radhi La Sivyo Nakuumbua Humu Na Ulivyokuwa Mburula Hata Wakati Unanipa Hizi News Nilikutegeshea Camera Bila Kujijua Na Pia Nilikurekodi. Nilinyamaza Nikijua MNGEJITATHMINI Kwanza Ila Kumbe Mnajifanya Kunigeuka Na Kutumia Kipindi Chenu au Media Yenu Kunidiss Sasa Nataka Wewe Mtangazaji Nguli Hapo Na Wewe Mfanyakazi Mwandamizi Hapo Mniombe Radhi GENTAMYCINE Upesi La Sivyo Nawamwagia UHONDO Na UDAMBWIDAMBWI Wenu Wote Members Humu Kisha Watapima Mimi Na Nyie Nani Ni MNAFIKI na MKWELI Na Ikibidi Hata Sauti Zenu Nazo Nitazitupia Humu. Mnamwibia Ruge Na Jose Makaratasi Yao Nyeti Halafu Mnajipendekeza Kwa GENTAMYCINE Niwasaidieni Kusema Yaliyomo Kisha Mnanigeuka Na Kunisema Redioni. Nasubiri Mniombe Msamaha Tena Haraka! Nawashukuruni Pia Kwa Kuniambia Kuwa Nabwia Unga ILA Ukweli Wenu Wote Clouds Wa Kuhusu Sakata La Marehemu Mangwea Na Kifo Chake Na Madawa Ya Kulevya NINALO. Nawajua Kuliko Hata Mnavyonijua Na Nina Yenu Kibao Na Yenye Ushahidi Tena Uliyotimilifu. Madawa Ya Kulevya Mnayosema Natumia Ndiyo Yananisaidia Ktk Kujua UPUUZI Wenu Ktk Jamii. Niliwaheshimu Mno Ila Sasa Nawachenjia!
Hahahaaaaa.....si ulisema tetesi mkuu....au ubadilishe heading mkuu...
 
Duh mbona umetumia maneno makali sana kwa mwenzako .....mtakie radhi bana

Mkuu Hata Usisikitike Kwa Matusi Yake Hayo Kwangu ILA Ninachoshangaa Tu Mimi Nikitukanwa Watu Humu Wanaunyuti ILA GENTAMYCINE Akirudisha Tu Inakuwa Matatizo. Kwa Jinsi Nilivyozoea Matusi Hapo Wala Hakuna Alichonitukana Na Labda Nimsihi Tu Aendelee Kunitusi Kwani Nafurahi Mno Ninavyowatoa Jasho Watu Humu Na Nimeshamjua Huyo Kuwa Ni Staff Wa Waliouzwa Kwa Rostam Hivyo Mipovu Ya Uchungu Na Hasira Inamtoka.
 
kanjanja umeumbuka na stori zako za bange za vijiweni,bange noma

Wakati Wewe Ukishadadia Na Kufurahi Mimi Kuumbuka Sasa Nimeshawapa ULTIMATUM Hao Unowashashadia Ya Kuniomba Radhi Vinginevyo NATIRIRIKA KILA KITU HUMU KUHUSU Ni Akina Nani, Ilikuwa Wapi, Lini, Saa Ngapi, Picha Na Sauti Zao. Leo Ndiyo Leo!
 
Hahahaaaaa.....si ulisema tetesi mkuu....au ubadilishe heading mkuu...

Nawapa Hadi Saa 5 Na Dakika 59 Waniombe Radhi Kwa Njia Ile Ile Hao Watu Watatu Waliyonitafuta Kunipa Taarifa Hizi Na Bahati Nzuri Sana Wanajijua Na Hata Muda Huu Nao Wamo Humu WANIOMBE RADHI KWA KUNIGEUKA LA SIVYO Nawapa UTHIBITISHO WOTE Members Humu Na Jamii Kwa UJUMLA Na Najua MTASHANGAA Na KUSHIKWA Na Butwaa Wote...........Nimemaliza!
 
Wakati Wewe Ukishadadia Na Kufurahi Mimi Kuumbuka Sasa Nimeshawapa ULTIMATUM Hao Unowashashadia Ya Kuniomba Radhi Vinginevyo NATIRIRIKA KILA KITU HUMU KUHUSU Ni Akina Nani, Ilikuwa Wapi, Lini, Saa Ngapi, Picha Na Sauti Zao. Leo Ndiyo Leo!
ahahahhaha kaka ujue kuhuza hisa sio dhambi kwani ile ni legal business angekuwa ameuza angekausha wala asingekubali kujiuliza hilo swali kwani yale maswali kajipangia mwenyewe japo yameulizwa na hando.yaani leo aseme hajauza then ithibitike kuwa kauza kweli hakuna kitu kama hicho
 
Ila kwa upande mwengine naweza kumuamini GENTAMYCINE maana huyo huyo rostam ndo aliinunua habari corporation wakati wa kuelekea uchaguzi 2010. Pesa yq kufanya ivyo anayo so sion sababu ya kushindwa.

Si Wanasema Mimi Mwongo? Ngoja Muda Wangu Wa Ultimatum Niliowapa Ufike Na Kama Hawajaniomba Radhi NIWEKE Mambo Yote Hadharani Na Watakimbizana Humo Mjengoni Kwao Na kushikana UCHAWI Na Hata Kufukuzana.
 
Nawapa Hadi Saa 5 Na Dakika 59 Waniombe Radhi Kwa Njia Ile Ile Hao Watu Watatu Waliyonitafuta Kunipa Taarifa Hizi Na Bahati Nzuri Sana Wanajijua Na Hata Muda Huu Nao Wamo Humu WANIOMBE RADHI KWA KUNIGEUKA LA SIVYO Nawapa UTHIBITISHO WOTE Members Humu Na Jamii Kwa UJUMLA Na Najua MTASHANGAA Na KUSHIKWA Na Butwaa Wote...........Nimemaliza!

Saa 6 dk 11 mkuu… bado hawajaomba radhi?
Mwaga ubuyu, pamoja na shida zangu lakini hizi habari hazinipiti hivi hivi…
 
Si Wanasema Mimi Mwongo? Ngoja Muda Wangu Wa Ultimatum Niliowapa Ufike Na Kama Hawajaniomba Radhi NIWEKE Mambo Yote Hadharani Na Watakimbizana Humo Mjengoni Kwao Na kushikana UCHAWI Na Hata Kufukuzana.
muda ushapita kaka,washaomba radhi?acha mikwara wewe huna documents zozote ulizonazo!!!
 
Na kweli sijamwelewa kuna madhara gani kwa taifa kama Rostam atanunua Cloud media, Sahara media, Tumaini Media, Radio Imaaan, Radio Kwizela, Upendo FM na vituo vingine vyote !! Tatizo liko wapi, kama Clouds ni tbcc3 kama ulivyosema kuna shida gani hata ikiwa tbccm1000 ?

Hayo madhara umeyataja wewe, hii post ipo kitaarifa sio kimadhara.
 
muda ushapita kaka,washaomba radhi?acha mikwara wewe huna documents zozote ulizonazo!!!

Wewe Zidi Kunitia NDIMU Tu Nichafue Hali Ya Hewa Hapo MJENGONI Waanze Kufukuzana Na Kuchapana Makonde Na Sitanii Kabisa Mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom