nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 445
- 300
nimeiona shemeji!
ila huu uzi umekuwa mtraaaamu kama nikupitie sa hiz nikupe bia tatu chapchap!
yani hapa wanajitaaaaamba wenyeae wangejua kuwa hata hizo siri wanazoamini ni siri si wake zao wanajua!let alone kuwa hao she ndo wana siri mpk dah!
Shida yao hawajui vifua vyetu vina kazi zaidi ya kubeba manyonyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!