Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Siwezi kumwambia kuwa stimu zangu kingono kwake zishakata.

Ata amekuwa akiniuliza mbona tukiwa kazini siku hizi unapenda kufumba macho?namwambia tu nikifumba macho ndio naisikilizia kazi vizuri, wakati sio kweli..usahihi ni kuwa uwa napiga kigizagiza ili nisimuone yeye bali mawazoni mwangu niwe naimagine napiga demu mwingine kabisa.
 
Sitamuambia kuwa Lowassa aliiga kauli ya kusema 'Safari ya Matumaini' kutoka kwa Wasabato walioianzisha hii kauli mwaka 2008 na Mch. Godfrey Mbwana.
 
Siwezi kumwambia kuwa stimu zangu kingono kwake zishakata.

Ata amekuwa akiniuliza mbona tukiwa kazini siku hizi unapenda kufumba macho?namwambia tu nikifumba macho ndio naisikilizia kazi vizuri, wakati sio kweli..usahihi ni kuwa uwa napiga kigizagiza ili nisimuone yeye bali mawazoni mwangu niwe naimagine napiga demu mwingine kabisa.

Mmh yaani wanaume nyinyiiiii!
 
Haya sasa....wamama mmesikia na picha mmeona kwenye part -1 sasa kazi kwenu
nahisi ntazimia hapa...ahaha
 
Alicheat nikalipiza ..nilihisi maweza kumchoma kisu afe basi nikaona tuwe ngoma droo. Na sijuti.
 
Siwezi kumwambia kuwa stimu zangu kingono kwake zishakata.

Ata amekuwa akiniuliza mbona tukiwa kazini siku hizi unapenda kufumba macho?namwambia tu nikifumba macho ndio naisikilizia kazi vizuri, wakati sio kweli..usahihi ni kuwa uwa napiga kigizagiza ili nisimuone yeye bali mawazoni mwangu niwe naimagine napiga demu mwingine kabisa.

You need Jesus.....
 
Last edited by a moderator:
sitakaaa nimwambie kwambaaa niliwah ..................................
 
Sitokaa nimwambie kuwa ile namba nnayochat nayo watsap niliyoisevu "Mwajuma" ni ya x wangu.
 
Hawajui siri zao ni chache kuliko tulizonazo akina sisi

Na hawatakaa wazijue ng'o

Wakati nyie mnatamba hamtawaambia wake zenu mmechepuka na wadogo zao na maosigelo, mkae mkijua na wao hawatokaa wawaambie mnalea watoto wasio wenu.

Shauri zenu.

Bora mi nimejikalia kimya maana hamuwezi jua wake zenu wako JF na wanajua ID zenu.

Do not underestimate the uwezo and ze usiri wa zem women.....
 
Aisee....

Roho Mtakatifu na akutembeleee

Back
Top Bottom