Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Unapiga hadi saivi? Nipe akili ulianzaje? Yupo hapa kwangu mdogo wa wife na natamani nipige

piga tu anakuletea jke yanakua yananepeana yanakula shea za watoto wako alafu wasera wanajipigia
 
Sitakuja kumwambia jinsi nilivolewa siku moja mpaka nikawaomba washkaji waniwashie feni inipulize matako maana yalikuwa yanawaka moto..


hao rafiki zako ndio walikufanya matakoo uwake moto
 
Sasa me nashangaa. Unasema hutakuja kumwambia. Na humu mnavyopayuka. Hamjui kama ID zenu wanazo?
 
Hahaha nimekuita uje ujue mambo usiyopaswa kujua kwenye ndoa , habari ya uzima wako kwanza mtumishi😉


Dear I am getting ready for church now ...Nilichungulia tuu kwa bahati mbaya nikaona nijibu tuu... Habari ya Uzima Asante Yesu kwa yote ... Asante Dear for asking ... vipi upande wako Happy Sunday ...Dear hii issue ni very complicate but nimejifunza some I guess but as for me my dear i am sticking with the Truth ... I have to know every Dirt secrets and then will be its up to me to swallow it or to vomiting... We are talking about marriage here... And not friendship relationship... Thanks...
 
Nimekwisha mjibu Mr Django ambaye naye alinipa maelezo kama yako ( Ni mchangiaji aliyekutangulia hapo juu akiwa ni wa 2 kutoka wewe). Huwa na sitakuja kuwa mtu wa kukurupuka asilani!

Title inasema "mkeo". Kama husband ni mke basi sawa
 
Back
Top Bottom