Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Embu twende pm ukaniambie vizuri. Hapa ukinisifia utanifanya nifunge pm😀
Siendagi huko!
Embu twende pm ukaniambie vizuri. Hapa ukinisifia utanifanya nifunge pm😀
duh!! hii hatari
Sitakuja mwambia kama nilikuwa "kimboka by night" addict kabla hatujaanza hii safari yetu ya matumaini.
watu na siri zenu me nawaona tu
Hiyo mbona inasaidia kuficha ugumba wa mwanaume?Ndo mana mnalea watoto wasio wenu Na wake zenu awatakaa wawaambie baba wa mtoto ni nani. Mbaya zaidi anaeza kua ni wa rafiki yako au ndugu yako au ata wa babako. Sasa kaeni mseme mnasiri
Siji kumwambia jinsi gani navyopata tabu kumwambia neno "I love you"
Unapiga hadi saivi? Nipe akili ulianzaje? Yupo hapa kwangu mdogo wa wife na natamani nipige
Ni kwamba siku ya msiba Wa baba yake nyumbani kwao nilipiga dudu shangazi yake baada ya pombe kutuzidi na kushindwa kutembea njiani
Wakati nyie mnatamba hamtawaambia wake zenu mmechepuka na wadogo zao na maosigelo, mkae mkijua na wao hawatokaa wawaambie mnalea watoto wasio wenu.
Shauri zenu.
Bora mi nimejikalia kimya maana hamuwezi jua wake zenu wako JF na wanajua ID zenu.
Do not underestimate the uwezo and ze usiri wa zem women.....
Subili nikiwa kwenye ndoa nita kujibu