Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Nimewaambia wanaume wenzangu hawakutaka kunisikia.

Haya hebu funguka siri kama ipi huwezi mwambia mmeo... ofkoz ukiondoa ya kuliwa tigo au kupigwa mtungo.


Hapo kwenye mtungo hawez mpaka anaingia kaburini
 
sitakuja mwambia kama nilikuwa "kimboka by night" addict kabla hatujaanza hii safari yetu ya matumaini.
palikuwa na mvuto pale... Hasa pale kwa nje kuna ki upepo
na vi binti una select> halafu una click> next
 
Mbona naona coments nyingi ni za wanaume tu? Wanawake je mbona hawasemi kitu kuhusu mada hii!!!!!?
 
yaan nawaonea huruma wanaume jinsi ambavyo hamjui wanawake wana siri nzito.
 
Hongera kwa kujuta...umeonesha kuijali ndoa yako
BIG UP...MUNGU akubariki sio wengine humu kila siku kuweka thread za michepuko
kwanini binti mzuri kama wewe unajiita tofali?
 
Last edited by a moderator:
mchepuko
Khaa!! Hivi kwanza unaanzaje kumwambia siri zako mkeo wakati hata kwenye vitabu mmeambiwa muishi nao kwa akili???:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom