Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

Wakati nyie mnatamba hamtawaambia wake zenu mmechepuka na wadogo zao na maosigelo, mkae mkijua na wao hawatokaa wawaambie mnalea watoto wasio wenu.

Shauri zenu.

Bora mi nimejikalia kimya maana hamuwezi jua wake zenu wako JF na wanajua ID zenu.

Do not underestimate the uwezo and ze usiri wa zem women.....
 
Mtu akikugeza tu, atapata aibu ya maisha

Mwana usijaribu aisee, utajuta kila mwanamk ana roho yake na utashi wake ukitaka jua hilo jaribu huone

mwanangu wanatega hao daaa acha kabisa
 
Wakati nyie mnatamba hamtawaambia wake zenu mmechepuka na wadogo zao na maosigelo, mkae mkijua na wao hawatokaa wawaambie mnalea watoto wasio wenu.

Shauri zenu.

Bora mi nimejikalia kimya maana hamuwezi jua wake zenu wako JF na wanajua ID zenu.

Do not underestimate the uwezo and ze usiri wa zem women.....

mkuu aspirin ila hawa mashemeji.mmmmmh kazi sana
 
Nina a/c mbili ktk Benki tofauti... moja anaijua ila ya pili Mmmmh (pata potea) !!!
mchepuko upo hapo?
 
Last edited by a moderator:
sitakuja mwambia kuwa nilishawahi jaza Youtong,
 
nyie jisifien tu mpaka ndugu zetu mnatembea nao wanawake tuna siri nzito kuliko msivyotaraj kwa hyo inaweza kuwa ngoma dro au tukawazid loh

Nimewaambia wanaume wenzangu hawakutaka kunisikia.

Haya hebu funguka siri kama ipi huwezi mwambia mmeo... ofkoz ukiondoa ya kuliwa tigo au kupigwa mtungo.
 
Sitakuja kumuambia kuwa nina michepuko mitatu ambayo huwa nachat nayo nikiwa kazini tu na huwa naigegeda nikiwa safari za kikazi tu.....na nikiwa home nai'block hiyo michepuko ili ikipiga simu isinipate!

Dah, kumbe maisha ya michepuko magumu sana. Eti na bado ukiwahitaji wanakukubali, moja kwa moja nimegundua hakuna mapenzi kwenye michepuko hapo ni pochi yako tu ndo inahusika.
 
Wakati nyie mnatamba hamtawaambia wake zenu mmechepuka na wadogo zao na maosigelo, mkae mkijua na wao hawatokaa wawaambie mnalea watoto wasio wenu.

Shauri zenu.

Bora mi nimejikalia kimya maana hamuwezi jua wake zenu wako JF na wanajua ID zenu.

Do not underestimate the uwezo and ze usiri wa zem women.....

Siri zote anazo ficha mwanaume ni ndogo kuliko hii.
 
Dah, kumbe maisha ya michepuko magumu sana. Eti na bado ukiwahitaji wanakukubali, moja kwa moja nimegundua hakuna mapenzi kwenye michepuko hapo ni pochi yako tu ndo inahusika.

Of course ni maisha magumu mkuu,ni kuishi kwa wasiwasi kimtindo......na ni kweli kuwa pesa inahusika kwa 100% maana pesa ndio inaifanya michepuko ije popote itakapohitajika kwa sababu itatumiwa nauli na ikija expenses zote juu ya dume.
Ila pamoja na cost zote michepuko haikwepeki hata iwejeeee.......
 
Back
Top Bottom